Subaru vs Vanguard

Vanguard ni gari iliyoizidi Subaru Forester kwa mbali sana. Tuache yote kama performance n.k twende tu kwenye bei. Vanguard ina range kuanzia 30 - 35M wakati Forester inacheza kuanzia 17 - 22M

Bei tu ni kigezo tosha kuwa hizo gari si sawa
Model ipi ya subaru unaisemea mkuu, manake zipo models nyingi.
 
We pia Ni wale wale crame v8 inakimbia?🤔

Sasa v8 na crown wapi na wapi?


V8 beighali ila sijaona 200series ya kuisumbua crown, brevis, mark x na magari mengi Sana Ni nyie kukariri kwenu 200 series labda isumbue wakubwa wenzie eg Prado , na magari mengine SUV
 
Mimi SUBARU FORESTER kama hii nilichukua Mil 40+ gari inakupa stability ya hali ya juu, haiondoki barabarani kizembe, speed, afu laini ile mbaya.
Chukua Subaru forester XT hizi kubwa zinafanana na Kluger na VanguardView attachment 2465889
Ya mwaka gani hii?..mimi nilichukua ya 2009 kwa 25M+ mwezi November. Na nilichukua hii kwa sababu nilishindwa Vanguard. Vanguard ni habari nyingine. Hata huyo alisema anashindanisha Vanguard na Dualis amechemka sana. Utofauti utauona tu kwenye bei. Dualis bei yake ni nusu ya bei ya Vanguard.
 
Kama ni bei hakuna debate1
1.vanguard
2.forrester
3.dualis
 
Nilichoelewa ni kwamba hukunielewa nilimaanisha nn.
 
Vanguard ni gari iliyoizidi Subaru Forester kwa mbali sana. Tuache yote kama performance n.k twende tu kwenye bei. Vanguard ina range kuanzia 30 - 35M wakati Forester inacheza kuanzia 17 - 22M

Bei tu ni kigezo tosha kuwa hizo gari si sawa
Forester ipi unayoizungumzia wewe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…