Subaru vs Vanguard

Kwa hiyo Mzee baba wewe kipimo chako ni Bei!!?? Tuanzie hapo
 
Diesel LC200 haikimbii au sio..!!
Umeshawahi kukutana nayo highway au ni hizi short trips za Mikocheni Posta..!
Mkuu hao ndiyo wabongo wanaitwa huyo jamaa hajawahi kuendesha crown wala kupewa lift kwenye LC200..
Hapa jukwaaani kuna story nyingi za kwenye kahawa hii ndiyo shida nimesoma comments nyingi kule juu nimeshangaa Sana
 
Kuna uzi nimeuona mahala unazungumzia uzuri wa kutembea kwa miguu kwa afya ya binadamu, unaweza jaribu kuchangia kwenye huo uzi. Achana na nyuzi za watu wanaotembea wakiwa wamekaa!
Kwa kizazi hiki ni,wachache sana wanaotambua kuwa kutembea ni mazoezi kila mtu ana ndoto ya kumiliki gari mimi ni mmoja wa viumbe wanaopenda sana kutembea kwa mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…