Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

hujui usemalo!

nakubaliana na wewe aya tatu kuendelea;

mengine nimekuachia;
Najua sana nisemayo.

Hivyo vyuo umetaja hapo nimesoma kimoja wapo.

Na hizo project nimeshawafanyia sana kwa hiyo ninachokwambia najua nje ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sana.
Kila mtu anajiwekea atakavyo.
Ils ngoja tuone.
Teknolojia inakua kwa kasi siku hiz....ni suala la muda tu
Soon zitakuja meters zenye channels; unachagua channel unayotaka kuwekwa umeme. Channel ikiishiwa umeme inakata bila kuathiri channels nyingine zenye salio. Simple badala ya kuwa rundo la submeter ukutani worse enough mwenye nayo kama sio mwenye nyumba akihama anang'oa. Usumbufu!
 
Mkuu mimi nimenunua mwenyewe kwa hela yangu baada ya hapo ndo mwenye nyumba akaamua kufungia kila mpangaji. Bado itahitajika umeme uwekwe unaojitegemea kwenye mita kubwa ili submita zifanye kazi. So nazungumza jambo la uhakika.

Kuhusu kununua mbili ninemuelewa ila naona bado ni usumbufu maana still bado utahitajika mita kubwa ile iwe na umeme ambao pia ni wa kununua.

Submita unapunguza tatizo ila huondoi tatizo moja kwa moja suluhisho ni kununua Luku yako ya tanesco.
 
Mimi ninuavyo bei 110k-120k na kuna 140k-150k ila yeye kaweka kuanzia 130k.
 
Basi itakuwa haina tofauti na zile za 20,000
 
"Wenye nyumba tuna mbinu nyingi, ukitutoka katika umeme tutakupata tu hata katika maji, ukizidi sana tunaona umepapenda kwetu halafu mjanja mjanja tuna mitoto yetu mikorofi itakuibia.πŸ˜€

Ukiendelea kukomaa tutapandisha bei za vitu vya ajabu ajabu kama vile usafi, tutawakumbusha wazawa wenzetu kukukomalia pesa ya ulinzi na usafi wa jiji tuwapokelee ili uwe haupumui, mida ya utulivu na mkeo ndio tunagonga mlango kukukumbusha πŸ˜€

Ukiwa mwema, mwema tutakuwa tunakupiga piga mizinga na kukopa kopa, yani kwa kifupi sera ni mpangaji asi relax ajenge haraka, au akodi nyumba nzima. Ukikaa na sisi wewe ni familia yetu kwa manufaa yetu, shda zetu zinakuhusu ila zako inategemea
Mkitubana sana kwa sababu ni ya urithi tutauza,tunaenda kukuza tena mji pembezoni na kuendelea kuwabana"

NATANIA ILA INAKUJA KUJA HIVIIII KAMA KWELI
πŸ˜€
 
DohπŸ™ƒ!!
Kwahiyo hapa lazima pesa yangu iliwe kinamna yoyote ile !!!
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…