Sugu akutana na Mzee Joseph Butiku, atoa ofa kwa Taasisi ya Mwl Nyerere

Ungefanya la maana sana kama mwandishi msomi kutuwekea hapa tafsiri sahihi ya bilionea na kudhirisha kuwa Sugu siyo bilionea,ingependeza zaidi.
 
Umeipendezesha jibu lako.

Kuita Wafanyabiashara 'Bilionea' ni ushamba tu ndio ulimbukeni wenyewe huo.

Hata akiwa ni Rostamu.

Kwanza inafundhisha wizi na ufiasadi tu, manake kuna vijana watakao kuwa wanafikiri wapate hizo bilioni bila ya kuzitolea jasho alimradi waje waitwe mabilionea.... bila ya kupambana kana kina Kishimba!

Ashukuriwe Bwana Sugu kwa gesture nzuri.
 
Wacha wivu wa kichoko wewe
 
Billionaire kumbe ni mhindi na mwarabu?
Mweusi hawezi kuwa billionaire hata kama ac yake banki inasoma zaidi ya billion.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na Bilioni mbili kwwnda juu wewe ni bilionea. Ukiwa na elfu mbili kwwnda juu wewe pia wewe uko kwenye watu wenye elifuonea then laki kianzia mbili ni lakionea etc ila mo ni Dollar Bilionea
 
Unajua ndio kwanza tunaanza , sasa ukianza kulia mapema hivi huko mbele machozi yatakukauka , wallah tena !
 
Sugu ni Mr two proud kutwa JF kujisifia akipata kaugeni kidogo tu nongwa halafu muandiko wake ni ule ule mfanyabiasha wa kimataifa na muwekezaji bilionea hahahhahahha😁mi huwa ananichekesha
 
Mbona mimi bilionia wa kubomu, lakini bado ni bilionia. Kwani ubilionia unakata leseni wapi!
 
Na ya kwako je!!?
Usibishe, jamaa yupo sahihi. Nilienda , pa kawaida sana tena sana...sio nyota tatu hio hotel...watu wa live band walikua wapiga pale pia nimewatumia kwenye pub yangu , pa kawaida sana.Labda ujatembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…