Sugu ana nguvu mara 100% kuliko Tulia na sababu ni moja tu - USA!

Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli.

Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA mabalozi wote wa USA wa kotoka maraisi wa vyama vyote vikubwa repuplicans na democrats ndiyo mtu wao na Samia anajua hilo. Katika watu ambao hawawezi kuguswa kwa sasa ni Sugu kwasabu yeye ndiye CIA na mabalozi wa marekani wanamuamini kuliko mtu mwingine yeyote.

Msije mkashangaa mabalozi wa Mbeya wanaenda mpaka Mbeya kuongea na Sugu sio bure. Sugu amefanikiwa kuaminika kwasababu (1) Wanajua ni mwana haki na mpenda demokrasia wa kweli (2) Ameishi Marekani na kujua utamaduni wao (3) Amewahi kuwa mwanasiasa na anajua mfumo wa siasa za Tanzania (4) Anafanya biashara na ni capitalist (5) Amewahi kuwa mwana sanaa na Tanzania ni nchi ya vijana (6) Anapendwa na rafiki binafsi wa Raisi Samia (7) Anapendwa na ni rafiki binafsi wa Mbowe.

CCM kama mkijidanganya kwamba Sugu ni mtafuta Ubunge tu mtakuwa mnakosea. Sugu ni zaidi ya Mbunge au hata spika. Tumeona Spika kabla ya Tulia akifukuzwa kama mbwa na sasa amesahaulika. Wengi ambao haufahamu iko siku mtanielewa ingawa leo mnaweza kudharau. Sugu kwa Wamarekani ni pandikizo lao muhimu na ni lazima afanikiwe na sio lazima iwe ubunge lakini wameshaamua ndiyo mtu wao.

Lazaro Nyalandu alikuwa na tamaa ya rushwa, ubinafsi na ni opportunistic/mtafuta donge ndiyo maana project yake ilishindikana

View: https://youtu.be/XhNlecpJkmw?si=t5qSej6GXt8MM-G8

Huyu wakati wa Repulicans

View: https://youtu.be/LgbB_2vXRm0?si=2IkzWK3fmcyjFW9G

🗑️🗑️🗑️🗑️
 
Binafsi namkubali sana Sugu (Mr 2) kwani kauli zake huwa zimenyooka tofauti na Wabunge wengine.
Kimsingi Uchaguzi ukiwa huru na haki Tulia hawezi kumshinda Sugu kamwe.
Mleta hoja Kamundu anaonekana yupo deep kwenye mahusiano ya kimataifa. Asante kwa kutujuza.
Wewe ni sehemu ya mbumbumbu wachache ,yaani Sugu ndio wewe unamkubali Kwa lipi hasa?

Amekuwa mbunge wa Mbeya Mjini miaka 10 kipo Cha maana amefanya?

Hata huko Chadema sio high profile figure ni mkora Fulani tuu.

Kwa Sasa mumeshawapa ccm pont kwamba huyu pandikizi ana pa kukimbilia
 
Mbona Ume-panic ndugu?
Wewe Mwerevu si weka bandiko lako la kumponda jamaa 1
Why, Unataka nikubaliane na mawazo yako kisa wewe kutomkubali Mh Sugu?
 
Mkuu Kamundu, kweli Sugu was powerful kuliko Dr. Tulia by then, lakini kwa sasa Dr. Tulia ndio the number 2 most powerful person in Tanzania save for Samia!.

Hujamtendea haki Sugu kusema power yake ni kwasababu ni Project US!. Huku ni kumu undermines Sugu kumfanya aonekane ni puppet wa hawa mabeberu wa Marekani, Sugu is powerful on his own na sio kwasababu ya Wamarekani wala Desderia!.
P
Kumbuka wananchi wa Mbeya wanajitambua sana, ndio watu wa kwanza kufanya mabadiliko kwa kuchagua mbunhe wa upinzani 1995,hawadanganyiki
 
Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli.

Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA mabalozi wote wa USA wa kotoka maraisi wa vyama vyote vikubwa repuplicans na democrats ndiyo mtu wao na Samia anajua hilo. Katika watu ambao hawawezi kuguswa kwa sasa ni Sugu kwasabu yeye ndiye CIA na mabalozi wa marekani wanamuamini kuliko mtu mwingine yeyote.

Msije mkashangaa mabalozi wa Mbeya wanaenda mpaka Mbeya kuongea na Sugu sio bure. Sugu amefanikiwa kuaminika kwasababu (1) Wanajua ni mwana haki na mpenda demokrasia wa kweli (2) Ameishi Marekani na kujua utamaduni wao (3) Amewahi kuwa mwanasiasa na anajua mfumo wa siasa za Tanzania (4) Anafanya biashara na ni capitalist (5) Amewahi kuwa mwana sanaa na Tanzania ni nchi ya vijana (6) Anapendwa na rafiki binafsi wa Raisi Samia (7) Anapendwa na ni rafiki binafsi wa Mbowe.

CCM kama mkijidanganya kwamba Sugu ni mtafuta Ubunge tu mtakuwa mnakosea. Sugu ni zaidi ya Mbunge au hata spika. Tumeona Spika kabla ya Tulia akifukuzwa kama mbwa na sasa amesahaulika. Wengi ambao haufahamu iko siku mtanielewa ingawa leo mnaweza kudharau. Sugu kwa Wamarekani ni pandikizo lao muhimu na ni lazima afanikiwe na sio lazima iwe ubunge lakini wameshaamua ndiyo mtu wao.

Lazaro Nyalandu alikuwa na tamaa ya rushwa, ubinafsi na ni opportunistic/mtafuta donge ndiyo maana project yake ilishindikana

View: https://youtu.be/XhNlecpJkmw?si=t5qSej6GXt8MM-G8

Huyu wakati wa Repulicans

View: https://youtu.be/LgbB_2vXRm0?si=2IkzWK3fmcyjFW9G

Sugu bora ela yake kwanza aitunze. Uchaguzi ujao akishindana na tulia lazima tulia atangazwe ndiye mshindi iwe halali au haramu. Serikali ya ccm inayowambia watumishi wake kuwa haiwezi kuwa inawalipa mshahara halafu watangaze wapinzani haiwezi kumwacha spika wake aabike.
Hivyo ni lazima watamtangaza yeye tu
 
Nyerere alipoweka kura ya maoni ya Vyama vingi au chama Kimoja mbumbumbu walichagua chama Kimoja.

Akasema Wingi wa mbumbumbu sio hautoi uhalali wa maamuzi,akawachinjia Baharini.

Sasa yaani tumpoteze Rais wa IPU kisa Kuna mbumbumbu kibao wamemchagua 😂😂😂😂

Sugu anaweza chaguliwa na nani kwenye uga wa Kimataifa?

Tanzania sio Nchi ya vibaraka
 
Mbona kua karibu na marekani na kuungwa mkono na marekani ndio sifa mbaya kwa watanzania wazalendo. Sugu ni mtu mkora tu kwa hivyo wamarekani wanahitaji mtu wa kutetea mashoga na uhuru zisizo na mpaka ili kufarakanisha watu na kufanikisha mipango yao kuiweka nchi kiganjani kwao. Binafsi simpendi tulia kwa jinsi alichangia kutuingiza mkata wa kibeberu na dubai ila sugu sio chaguo zuri kwa wana mbeya.
Umechangia kimalayamalaya huna msimamo.sugu for mbeya kubali yaishe
 
Kumbuka wananchi wa Mbeya wanajitambua sana, ndio watu wa kwanza kufanya mabadiliko kwa kuchagua mbunhe wa upinzani 1995,hawadanganyiki
Wana Mbeya wepi hao wanaojitambua sana?!. Mbeya wangekuwa wanajitambua sana kama unavyodai, maharage ya Mbeya yangekuwa maji mara moja?!. Angalia swali hili "Maharage ya Mbeya maji mara moja" ni kauli ya kweli? Ni kwenye maharage tu au hadi kwa wanambeya? Kama kauli huumba, Jibu sahihi ni Oktoba 2020!
Kilichotokea ni uthibitisho kuwa hakuna tofauti kati ya maharage ya Mbeya na Wana Mbeya!, they are all the same!, maji mara moja!. Sugu is powerful kwasababu Mbeya ni kikeni Mama yake ya Msafwa ila baba ni damu ya Shaka Zulu kupitia kwa Zongendamba!.
P
 
Nilisema jana humu humu...

Hawa wajinga wanachukulia swala la kutumiwa na waamerika ni la kujivunia...

Doh hahaha.

Polepole alikuwa anaenda kufanya nini China. Nani kajenga chuo cha CCM Dodoma ni wachina mbona hamjaongea hayo.
 
Wana Mbeya wepi hao wanaojitambua sana?!. Mbeya wangekuwa wanajitambua sana kama unavyodai, maharage ya Mbeya yangekuwa maji mara moja?!. Angalia swali hili "Maharage ya Mbeya maji mara moja" ni kauli ya kweli? Ni kwenye maharage tu au hadi kwa wanambeya? Kama kauli huumba, Jibu sahihi ni Oktoba 2020!
Kilichotokea ni uthibitisho kuwa hakuna tofauti kati ya maharage ya Mbeya na Wana Mbeya!, they are all the same!, maji mara moja!. Sugu is powerful kwasababu Mbeya ni kikeni Mama yake ya Msafwa ila baba ni damu ya Shaka Zulu kupitia kwa Zongendamba!.
P
Sikiyegemea kama unaweza kujibu kishabiki kiasi hiki, kumbe wajumbe walioma mbali sana kukukata,

Emdelea na uchawa unaweza kupata uDC
 
Huyo Sugu mnampa sifa za bure kawa mbunge 10 yrs hajawahi kuleta maajabu yoyote Mbeya zaidi ya kujisifia kwamba ni MVP😕
 
Back
Top Bottom