Sugu ana nguvu mara 100% kuliko Tulia na sababu ni moja tu - USA!

Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli.

Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA mabalozi wote wa USA wa kotoka maraisi wa vyama vyote vikubwa repuplicans na democrats ndiyo mtu wao na Samia anajua hilo. Katika watu ambao hawawezi kuguswa kwa sasa ni Sugu kwasabu yeye ndiye CIA na mabalozi wa marekani wanamuamini kuliko mtu mwingine yeyote.

Msije mkashangaa mabalozi wa US wanaenda mpaka Mbeya kuongea na Sugu sio bure. Sugu amefanikiwa kuaminika kwasababu (1) Wanajua ni mwana haki na mpenda demokrasia wa kweli (2) Ameishi Marekani na kujua utamaduni wao (3) Amewahi kuwa mwanasiasa na anajua mfumo wa siasa za Tanzania (4) Anafanya biashara na ni capitalist (5) Amewahi kuwa mwana sanaa na Tanzania ni nchi ya vijana (6) Anapendwa na rafiki binafsi wa Raisi Samia (7) Anapendwa na ni rafiki binafsi wa Mbowe.

CCM kama mkijidanganya kwamba Sugu ni mtafuta Ubunge tu mtakuwa mnakosea. Sugu ni zaidi ya Mbunge au hata spika. Tumeona Spika kabla ya Tulia akifukuzwa kama mbwa na sasa amesahaulika. Wengi ambao haufahamu iko siku mtanielewa ingawa leo mnaweza kudharau. Sugu kwa Wamarekani ni pandikizo lao muhimu na ni lazima afanikiwe na sio lazima iwe ubunge lakini wameshaamua ndiyo mtu wao.

Lazaro Nyalandu alikuwa na tamaa ya rushwa, ubinafsi na ni opportunistic/mtafuta donge ndiyo maana project yake ilishindikana

View: https://youtu.be/XhNlecpJkmw?si=t5qSej6GXt8MM-G8

Huyu wakati wa Repulicans

View: https://youtu.be/LgbB_2vXRm0?si=2IkzWK3fmcyjFW9G

Nimecheka sana .. sasa hiyo nguvu ya USA si akogombee huko USA??
Sisi watu wa Mbeya tunajua kiasi gani Tulia kagusa mioyo yetu
 
Iwe jua, iwe mvua Kamanda Sugu atashinda kwa kura nyingi sana. Mwananchi wa kawaida wa Mbeya Mjini hawezi kujua IPU ni nini na inampa faida gani.
 
Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli.

Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA mabalozi wote wa USA wa kotoka maraisi wa vyama vyote vikubwa repuplicans na democrats ndiyo mtu wao na Samia anajua hilo. Katika watu ambao hawawezi kuguswa kwa sasa ni Sugu kwasabu yeye ndiye CIA na mabalozi wa marekani wanamuamini kuliko mtu mwingine yeyote.

Msije mkashangaa mabalozi wa US wanaenda mpaka Mbeya kuongea na Sugu sio bure. Sugu amefanikiwa kuaminika kwasababu (1) Wanajua ni mwana haki na mpenda demokrasia wa kweli (2) Ameishi Marekani na kujua utamaduni wao (3) Amewahi kuwa mwanasiasa na anajua mfumo wa siasa za Tanzania (4) Anafanya biashara na ni capitalist (5) Amewahi kuwa mwana sanaa na Tanzania ni nchi ya vijana (6) Anapendwa na rafiki binafsi wa Raisi Samia (7) Anapendwa na ni rafiki binafsi wa Mbowe.

CCM kama mkijidanganya kwamba Sugu ni mtafuta Ubunge tu mtakuwa mnakosea. Sugu ni zaidi ya Mbunge au hata spika. Tumeona Spika kabla ya Tulia akifukuzwa kama mbwa na sasa amesahaulika. Wengi ambao haufahamu iko siku mtanielewa ingawa leo mnaweza kudharau. Sugu kwa Wamarekani ni pandikizo lao muhimu na ni lazima afanikiwe na sio lazima iwe ubunge lakini wameshaamua ndiyo mtu wao.

Lazaro Nyalandu alikuwa na tamaa ya rushwa, ubinafsi na ni opportunistic/mtafuta donge ndiyo maana project yake ilishindikana

View: https://youtu.be/XhNlecpJkmw?si=t5qSej6GXt8MM-G8

Huyu wakati wa Repulicans

View: https://youtu.be/LgbB_2vXRm0?si=2IkzWK3fmcyjFW9G

Unaposema Sugu ni CIA unamaanisha ni mtumishi wao? Sugu anaweza kuwa chawa wa USA lakini hawezi kuwa mtumishi wa CIA

Kumbuka Marekani hawana rafiki wala adui wa kudumu rejea Sadam Hussein na Iraq yake alikuwa kipenzi cha Marekani lakini baadaye wakamfanyia kitu mbaya

Ni kweli kuwa Sugu ananguvu kubwa Mbeya mjini na mtaji wa kupendwa na watu lakini kusipokuwa na mizania sawa ya uchaguzi Sugu hawezi kutoboa jimbo la Mbeya regardless anaungwa mkono na USA
 
Ila kuwa mbunge kutoka chama cha upinzani moja ya faida yake ni kutoangaliwa nini umefanya katika jimbo lako yani upinzani unakubeba.
 
Back
Top Bottom