Sugu ana nguvu mara 100% kuliko Tulia na sababu ni moja tu - USA!

πŸ—‘οΈπŸ—‘οΈπŸ—‘οΈπŸ—‘οΈ
 
Nilisema jana humu humu...

Hawa wajinga wanachukulia swala la kutumiwa na waamerika ni la kujivunia...

Doh hahaha.
Kuna watu wanatumiwa na Waarabu hili unaliongelea je
 
Wewe ni sehemu ya mbumbumbu wachache ,yaani Sugu ndio wewe unamkubali Kwa lipi hasa?

Amekuwa mbunge wa Mbeya Mjini miaka 10 kipo Cha maana amefanya?

Hata huko Chadema sio high profile figure ni mkora Fulani tuu.

Kwa Sasa mumeshawapa ccm pont kwamba huyu pandikizi ana pa kukimbilia
 
Mbona Ume-panic ndugu?
Wewe Mwerevu si weka bandiko lako la kumponda jamaa 1
Why, Unataka nikubaliane na mawazo yako kisa wewe kutomkubali Mh Sugu?
 
Kumbuka wananchi wa Mbeya wanajitambua sana, ndio watu wa kwanza kufanya mabadiliko kwa kuchagua mbunhe wa upinzani 1995,hawadanganyiki
 
Sugu bora ela yake kwanza aitunze. Uchaguzi ujao akishindana na tulia lazima tulia atangazwe ndiye mshindi iwe halali au haramu. Serikali ya ccm inayowambia watumishi wake kuwa haiwezi kuwa inawalipa mshahara halafu watangaze wapinzani haiwezi kumwacha spika wake aabike.
Hivyo ni lazima watamtangaza yeye tu
 
Nyerere alipoweka kura ya maoni ya Vyama vingi au chama Kimoja mbumbumbu walichagua chama Kimoja.

Akasema Wingi wa mbumbumbu sio hautoi uhalali wa maamuzi,akawachinjia Baharini.

Sasa yaani tumpoteze Rais wa IPU kisa Kuna mbumbumbu kibao wamemchagua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sugu anaweza chaguliwa na nani kwenye uga wa Kimataifa?

Tanzania sio Nchi ya vibaraka
 
Umechangia kimalayamalaya huna msimamo.sugu for mbeya kubali yaishe
 
Kumbuka wananchi wa Mbeya wanajitambua sana, ndio watu wa kwanza kufanya mabadiliko kwa kuchagua mbunhe wa upinzani 1995,hawadanganyiki
Wana Mbeya wepi hao wanaojitambua sana?!. Mbeya wangekuwa wanajitambua sana kama unavyodai, maharage ya Mbeya yangekuwa maji mara moja?!. Angalia swali hili "Maharage ya Mbeya maji mara moja" ni kauli ya kweli? Ni kwenye maharage tu au hadi kwa wanambeya? Kama kauli huumba, Jibu sahihi ni Oktoba 2020!
Kilichotokea ni uthibitisho kuwa hakuna tofauti kati ya maharage ya Mbeya na Wana Mbeya!, they are all the same!, maji mara moja!. Sugu is powerful kwasababu Mbeya ni kikeni Mama yake ya Msafwa ila baba ni damu ya Shaka Zulu kupitia kwa Zongendamba!.
P
 
Nilisema jana humu humu...

Hawa wajinga wanachukulia swala la kutumiwa na waamerika ni la kujivunia...

Doh hahaha.


Polepole alikuwa anaenda kufanya nini China. Nani kajenga chuo cha CCM Dodoma ni wachina mbona hamjaongea hayo.
 
Sikiyegemea kama unaweza kujibu kishabiki kiasi hiki, kumbe wajumbe walioma mbali sana kukukata,

Emdelea na uchawa unaweza kupata uDC
 
Huyo Sugu mnampa sifa za bure kawa mbunge 10 yrs hajawahi kuleta maajabu yoyote Mbeya zaidi ya kujisifia kwamba ni MVPπŸ˜•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…