Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Ha ni nke huyo au.? Jitu lenda vitakovye nje kama sando za mtoo.?! Sugu bangi moto ela na kwa faiza sebu.! Lile linkaa ka jenda heka.!
Thubutu, kile kinyangarakata ukifananishe na mimi? Unanchekesha!
huyu Faiza kimeo sana ..kuna kipindi aliwahi kusema sugu anamlewesha then anampaka mafuta anamzibua kinyeo ..hawa wote hawana maadili..Sugu ndio sheeeda zaidi maana anaharibu sana dodoma kila siku malalamiko kwenye lodge anazokaa maana mambo wanayokutana nayo asubui wahudumu ni ya hatari
Huyu mwanamke hafai, umri huo anavaa pampas!! Mpumbavu sana
[/B]kwa hizi nilizo bold mahakama imetenda haki basi sawa asipewe mtto
Hapo kwenye kipato si angemuwezesha mama wa mtoto ili awe na uwezo wa kumlea binti....
Ila inauma aiseee kunyanganya mtoto... Hata kama fyuzi zilikata lazima zijiunge fasta.. Namuonea huruma tu
Huyu hata umpe kiroba cha hela ataishia kula bata daily....mana naskia hela y matumizi alikua anakula nayo burudani pia mtoto alikua hana mda nae mwingi yeye kiguu na njia.
Best mbna kumlea mtoto ni simple 2 ila kwa mama kma faiza ni hatari tena ukute anakuja n jamaa mechi hapohapo n mtoto yupo