Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
Kwa swala hili Bila ya kujari Mama ni mama mimi nakupongeza Mh Sugu kwa kumuokoa mtoto
Safi sana na atajifunza maishani mwake..
 
Huyu mwanamke hasitahili kabisa kumlea mtoto maana hana maadili katika mavazi ambayo itakuja kuwa fedheha kwa mtoto kama atakuwa si wa aina yake. Sugu amefanya vizuri kumchukua mtoto. Naona aliyemshauri huyu ke kutafuta umaarufu kwa njia hii alimdanganya sana.
 
Yule mwanamke inaonekana ni muhuni inawezekana Huyo mtoto kila siku alikua anabadilishiwa baba sugu yuko sashihi sana kumchukua mtoto wake kwa huyo kibaka.
 
Bora amuokoe mtoto asije akaiga tabia za mama yake.
 
huyu Faiza kimeo sana ..kuna kipindi aliwahi kusema sugu anamlewesha then anampaka mafuta anamzibua kinyeo ..hawa wote hawana maadili..Sugu ndio sheeeda zaidi maana anaharibu sana dodoma kila siku malalamiko kwenye lodge anazokaa maana mambo wanayokutana nayo asubui wahudumu ni ya hatari
 
Katika ubora wako
 
Hapo kwenye kipato si angemuwezesha mama wa mtoto ili awe na uwezo wa kumlea binti....

Ila inauma aiseee kunyanganya mtoto... Hata kama fyuzi zilikata lazima zijiunge fasta.. Namuonea huruma tu

Huyu hata umpe kiroba cha hela ataishia kula bata daily....mana naskia hela y matumizi alikua anakula nayo burudani pia mtoto alikua hana mda nae mwingi yeye kiguu na njia.
Best mbna kumlea mtoto ni simple 2 ila kwa mama kma faiza ni hatari tena ukute anakuja n jamaa mechi hapohapo n mtoto yupo
 
Huyo faiza hana haja ya kulalamika aende tu hospitali akatibiwe ugonjwa wa akili akishapona arudi mahakamani na vyeti vya madaktari kuthibitisha kuwa kapona wazimu then mahakama itamruhusu kumlea mtoto wake. Yeye mwenyewe hajijui kama ni chizi fresh kwa hiyo ndugu, marafiki, jamaa na majairani wanaweza kushirikiana kumpeleka kliniki ya akili.
 
Mbona mtoto mwenyewe hafanani kabisa na sugu? of coz kwa sura.amchukue tu Ila na yeye amta
 
Acheni ushabiki kukaa uchi sio sababu tosha ya faiza kunyan'ganyaa mtoto na akalelewe na mama mwingine yule mtoto bado mdogo sana kutengwa mbali na mama yake
 
Huyu hata umpe kiroba cha hela ataishia kula bata daily....mana naskia hela y matumizi alikua anakula nayo burudani pia mtoto alikua hana mda nae mwingi yeye kiguu na njia.
Best mbna kumlea mtoto ni simple 2 ila kwa mama kma faiza ni hatari tena ukute anakuja n jamaa mechi hapohapo n mtoto yupo

Tena mijitu mingine ilivyo ya balaa mdogo mdogo unashanga kesho wamempakata na mtoto mwenyewe.
Ndugu wamshauri huyu Mwanamke atulie amwachie Sugu amlee mtoto ,yeye ajitahidi kumtembelea mtoto kiungwana na kusahau ugomvi wao ilikuonyesha mapenzi ya mama kwa Mtoto(Mapenzi ya Wazazi).

Wazazi wengi na tena kwa dunia ya siku hizi wanajisahau sana-hasa wanawake wanajisahau sana kulinda midomo yao na ukiongeza na hizi Mitandao ni shida tu. Hakuna ulazima kubwabwaja ya chumbani kwako hata kama ulikosana na aliyekuwa bwana au Mume wako.

Kwa faida ya afya ya Mtoto mbele ya safari ya maisha yake.Akina mama hata kama mume achana kwa ugomvi na wanaume zenu tabia hii ya kuhorojeka kwenye mitandao au kwa marafiki haina faida yoyote zaidi ya kuwapa uchungu watoto au mtoto uliyemzaa.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom