Sugu azidi kutikisa Marekani, Atafuta uwekezaji kwenye Afya na Utalii

📣Peoples

Ningefurahi zaidi mwamba na Raisi ajaye Mh. Lissu angekuwa anatiletea mapicha picha kama ya sugu.

Kuuliza sio ujinga, hv safari zake huwa zinaishia Ubeligiji tyu?
 
Zelenski amehaidi 50% ya rare earth minerals. Ndio apatiwe msaada.

Sisi CHADEMA tutatoa ahadi zipi. Tambua mkoa wa mbeya umebarikiwa na rare earth minerals, labda hata kuishinda Ukraine.

Sugu mnafikiri atatoa ahadi zipi kufanikosha azma yake ya kupata misaada?💭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…