Pre GE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wapi nimesema nampenda Tulia? Kutoa maoni yangu nimekuwa mpambe?

Unadhani mimi ni kama wewe chawa wa Mbowe? Mimi ni mtu huru, sifungamani na yeyote wala chama chochote cha kisiasa.
 

Kwa hiyo unahalalisha Wizi wa kura .... Watui wengine akili zenu mnazijua wenyewe.

Meni Viti Maalumu ...!!
 
Kitendo cha kutompa kura huyo Tulia ni kuonyesha dunia kuwa iache kwenda kichwakichwa kwa kuchagua watu wasiostahili kuwa viongozi. Hiyo sifa unayosema tunapata kama nchi, haina maana yoyote maana ni cheo ceremonial zaidi.
 
Bado kwenu viroba vinapatikana?
 
Hayo mabunge ya kutetea ushoga duniani hayatuhusu.
Akawaombe kura huko Ulaya na uarabuni . Kura za wazungu zutamtosha.

Tulimnyima Kura Gavana wa jimbo la Tanganyika mwakilishi wa Malikia wa Uingereza Sembuse Huyo Mkoloni Mweusi tiiii.
Khaaaa.
Stanbuli😡😡😡
Congratulation Tulia !!!
😡😡😡
Mbeya akijaribu kuiba basi ajue hata Wazungu na bunduki zao hawataweza kuzuia mtiti wa Sugu na wananchi wa mbeya.
Hatutaki kulishwa keki ya sumu kwa sababu ya utamu wake.
Tutakula vitumbua visivyo na sumu.

Serikali na Bunge la awamu hii awamu hii imewadharau sana watu wa Tanganyika kwa sababu ya kuangalia maslahi ya Wazungu na waarabu.
Wamasai wamevunjiwa nyumba na sasa wanateseka na Baridi kule KIA kwa sababu ya kuwapigia magoti Waarabu . Miaka mingi tunakula nyama na maziwa ya Wamasai na kutoza Ushuru wa ngombe zao lakini leo tunawafukuza kama wanyamakwa sababu ya waarabu wapita njia.

Tulia anajiangusha Mwenyewe .

Anatetea ufisadi kutetea umaarufu wake badala ya kulinda heshima yake kwa kutetea haki na kupinga dhulma Duniani.

Tanzania tuna Wasomi wengi kama akina Tibaijuka lakini CCM imewajaza ubinafsi na roho mbaya kwa kuthamini Watu wa ulaya kuliko watanzania wanaowapigia Kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…