Pre GE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Bulelaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
1,342
Reaction score
3,247
Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!

Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo

Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani

Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mara tu itakapoonekana kashinda

Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU kwa sababu tu kuna Dr Tulia kamzidi kura? Isingewezekana bhana!

Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
 
Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!

Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo

Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani

Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda

Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?

Atapewa Ubunge wa kuteuliwa ili mradi demokrasia ichukue mkondo wake. Ubunge wa nguvu utamvunjia heshima ya kimataifa na sifa ya kuongoza Mabunge. Suluhisho wazalishe jimbo lingine Mbeya mjini ili kulinda heshima yake.fullstop
 
Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!

Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo

Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani

Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda

Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?

Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
Kama vipi mpeni ubunge wa viti maalum. Kwani huo urai wa IPU unaisadia nini Tanzania au wana Mbeya? Hivi akili hizi mnazitoa wapi?
 
Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana!

Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo

Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa mabunge Duniani

Inafahamika kabisa kwamba, Wanambeya wanaweza wasimpe kura za kutosha Dr.Akson Tulia, Je, hata sisi Watanzania tukubali kukosa hii heshima mojawapo katika nchi yetu ya Dr. Tulia kuwa kiongozi mkubwa anayetambulika Duniani kwa kushindwa kumwambia Sugu asigombee au kumwibia kura zake mra tu itakapoonekana kashinda

Embu fikiri..! Nafasi hiyo hiyo ingelikuwa iko kwa Sugu, ni kweli wanachadema na Watanzania wangependa Sugu atoke kwenye nafasi hiyo na kupoteza sifa ya kuwa Rais wa IPU?

Mh Sugu, tafadhari tafuta jimbo lingine mapemaa!
kwamba sugu atamshinda Dr.Tulia?🤣

thubut!
labda sugu atamshinda tulia kwa mihemko ya mitandaoni lakin sio kule field 🐒
 
Labda mfufueni Magufuli, Lakini Tulia hawezi kumshinda Sugu hata akifanya kampeni bila mavazi, hili lichukueni na mlizoee
Tusihangaike kumaliza nguvu ilhali muda utatupatia majibu yote. Mie niko nimejibanza zangu palee 👉🤣🤣🤣
 
Sugu atafute tu kingine cha kufanya, hiyo mikutano na mabalozi haitomfaa chochote kuurejesha ubunge.
Wakati anachaguliwa Mbunge ni Balozi gani alikuwepo? Halafu kuna kitu wengi hamjui kuhusu Mbeya, Huyu Tulia hiyo 2020 pamoja na kugawa rushwa mbeya nzima lakini aliangushwa kwenye ubunge bila huruma yoyote, ni vile meza ilipinduliwa nchi nzima mbele ya mtutu wa bunduki

Kingine ni hiki, mpaka leo hii Tulia hana anachoweza kuonyesha kwamba amekifanya kwa Wana Mbeya, ama kama kipo wewe hapo mpambe wake tuonyeshe, Jiji la Mbeya linaongoza kwa kuchepusha mapato ya halmashauri, umewahi kusikia Tulia akilisemea hili?

KAMA UNAMPENDA MTU KUTOKANA NA SURA YAKE NENDA KANYWE NAYE CHAI - JK NYERERE
 
Labda mfute uchaguzi katika jimbo la Mbeya au figisu za 2020 zifanyike!
Hata hivyo Tulia anaweza kuchaguliwa kuwa mbunge wa kuteuliwa katika zile nafasi 10 za mheshimiwa Rais then akaendelea na nafasi yake kuyawakilisha mabunge yote duniani.
 
Back
Top Bottom