Kweli kabisa mkuu. Hayo yote yanafanyika kumkandamiza mfanyabiashara. Huku serikali ikijitafutia umaarufu kwa wananchiView attachment 1441333Hizi ndio bei elekezi kwa Mikoa yote,chunguzeni kwa makini bei za mkoa wa Dar es salaam mtapata majibu sahihi kwa nini sukari hamna madukani,maana haiwezekani kwa mtu wa dsm auze sukari kilo 50 na kupata faida ya tsh 3000,wakati mikoa mingine wanapata zaidi ya 13000.
Mmh Aisee!View attachment 1441333Hizi ndio bei elekezi kwa Mikoa yote,chunguzeni kwa makini bei za mkoa wa Dar es salaam mtapata majibu sahihi kwa nini sukari hamna madukani,maana haiwezekani kwa mtu wa dsm auze sukari kilo 50 na kupata faida ya tsh 3000,wakati mikoa mingine wanapata zaidi ya 13000.
Tunakwama kwenye bei ya asaliKama sukari adimu tumieni asali. Mnakwama wapi?
Kufungwa kwa importation ya sukari na uzalishaji mdogo nchini kumepelekea demand kuwa kubwa kuliko supply, pia kuna baadhi ya wafanyabiashara wameficha sukari kwenye stores zao kupinga bei elekezi ya serikali kwa sababu hailipi.Hivi tatizo hili la sukari kuadimika chanzo ni nini?
Sio visiga tu... mpk Picha ya Ndege... Maili Moja..... hakuna sukari... walisema tutumie asali...Kiukweli, sukari imekuwa tatizo. Kwetu Visiga, Kibaha pia tunaitafuta kwa tochi sukari. Soon Serikali itafanya jambo!
. Kibamba yote haina sukari siku ya nne sasaSio visiga tu... mpk Picha ya Ndege... Maili Moja..... hakuna sukari... walisema tutumie asali...
. Kibamba yote haina sukari siku ya nne sasaSio visiga tu... mpk Picha ya Ndege... Maili Moja..... hakuna sukari... walisema tutumie asali...
Tatizo wanaleta ligi na matajiri,tajiri hafokewi anabembelezwa,pesa sio makalio kusema Kila mtu anayo.!
Tatizo ni kuwa na viongozi ambao hawaangalii ya mbele(hawana mipango) kila kitu ni zima moto, miaka yote ina julikana kuanzia mwezi wa tatu, viwanda vya ndani huwa vinasimamisha uzalishaji kutokana na matengenezo, na inajulikana uzalishaji wa ndani huwa hautosherezi matumizi kwa upungufu wa zaidi ya metric tones, 100,000,sasa viwanda vina simamisha, uzalishaji, huku serikali haiagizi huo upungufu kwa muda muafaka, inategemea nini??? Uhaba unatokea, wanaanza kutumia vitisho, wakati wanajua tatizo ni wao, sheria ya uchumi lazima tu itafanya kazi, supply vs demand. Juzi waziri wa biashara anaanza kusingizia eti corona, ndio chanzo!!! Kifupi sukari iliyopo nchini hautosherezi mahitaji, lazima bei iwe juu tu, hata iweje, yale yale ya kipindi kile eti bei elekezi iwe 1800!!! Ndio wakawa wameharibu!!! Mtu anauziwa kilo moja na muuzaji wa jumla kwa 2900, yeye una mwambia akauze kwa 2600!!!!???eti bei elekezi!!Hivi tatizo hili la sukari kuadimika chanzo ni nini?