AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,053
- 3,586
Kweli kabisa mkuu. Hayo yote yanafanyika kumkandamiza mfanyabiashara. Huku serikali ikijitafutia umaarufu kwa wananchiView attachment 1441333Hizi ndio bei elekezi kwa Mikoa yote,chunguzeni kwa makini bei za mkoa wa Dar es salaam mtapata majibu sahihi kwa nini sukari hamna madukani,maana haiwezekani kwa mtu wa dsm auze sukari kilo 50 na kupata faida ya tsh 3000,wakati mikoa mingine wanapata zaidi ya 13000.