Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

uwoga wetu ndiyo umaskini wetu acha ccm waendelee kutusulubu mpaka maji tuite mmaaa
 
Safi sana professor Janabi kwa kuishauri na kuishinikiza Serikali kuongeza bei ya sukari na mafuta ya kula. Usiishie hapo hakikisha nyama inapanda hadi elfu 30.

Haiwezekani watu kufa vifo vya kizembezembe tu kwa kula hovyohovyo unhealthy foods.

Janabi the national treasure.


Victoire
Hapo kwenye Nyama ungefanya hata TSHs 45,680 per Kg....
 
Back
Top Bottom