Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
majuzi mjukuu wangu kanambia shuleni wanapikiwa mtori saa 4 kumbe shida ni sukari banaTunywe mtori nyama ziko chini....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
majuzi mjukuu wangu kanambia shuleni wanapikiwa mtori saa 4 kumbe shida ni sukari banaTunywe mtori nyama ziko chini....!
Mwili wa mtu unahitaji sukari ila kuna umri ukifika mahitaji yanapungua na uwezo wa mwili wako kuchakata sukari unapungua hilo ndio la kuangalia.wanaosema hayo si wazungu ni wataalamu wa afya , au Janabi ni mzungu ?? MZUNGU YUPI ALIANDIKA MSAHAFU , WACHA KUPAKAZIA
Ubinafsi huu.Gonga like ambao hatutumii sukari.
Chadema hii hii ya mwenyekiti Mbowe? Mazingaombwe.Mpaka ifike 10K, ndio tutaelewa kwanini chadema wanaitisha maandamano!
Kilo ya sukari Tz imefika Tshs.5,000/, nadhani serikali inatakiwa itoe tamko kutupatia walaji mwongozo wa kufuata kutoka kwenye anguko hili.
Sababu tunayopewa ni dhaifu kwamba mashamba ya miwa yamefurika maji wakati TMA ilitoa tahadhari miezi 2 kabla ya mvua kushuka. Nadhani ni Tz pekee ambako mvua na jua ni laana isiyokoma kwa kilimo, umeme, maji, mifugo, uvuvi nikitaja kwa uchache.
Aidha, viwanda vya sukari vya Magereza vilivyojengwa kwa kasi ya mwanga hatujui vimefikia wapi baada ya kutumia fedha za umma kwenye ujenzi huo kama machinjio ya kisasa ya Vingunguti, Kibaha, Simiyu na Manyara vilivyobaki kuwa makumbusho ndani ya nchi ambayo ni ya pili kwa idadi kubwa ya mifugo barani Afrika?
Tz sukari haijawahi kushuka kwa miaka 23 mfululizo tangu Julai 2001 licha ya mashamba ya miwa kuongezeka na viwanda vipya kujengwa Morogoro na Bagamoyo pamoja na uingizaji wa sukari ya nje ya nchi.
Tz sukari ni miongoni mwa bidhaa na huduma ambavyo vimekuwa vya kidemokrasia vikiwemo Korosho, Mafuta ya mitambo, Mafuta ya kula, Katani, Umeme na Maji.
Nchi kubwa, hali ya hewa ya kitropiki, mitambo ipo, rasilimaliwatu rahisi wapo, soko la ndani lipo lakini tumeshindwa hata kwenda kujifunza Uganda tu hapo namna ya kuendesha sekta ya sukari.
Ni kama vifuatavyo vyote 4 vimefeli jumla kwenye sekta ya sukari:-
1. Sheria ya Taifa ya Sukari 2001 (National Sugar Act 2001).
2. Taasisi ya Sukari Tz (National Sugar Institute).
3. Shirika la Maendeleo ya Sukari (Sugar Development Corporation SUDECO).
4. Makampuni ya Sukari (Sugar Factories).
NB.
1. Tz ina makampuni 5 ya sukari kwenye mikoa 4.
2. Kenya ina makampuni 16 ya sukari.
3. Uganda ina makampuni 14 ya sukari.
4. Zambia ina kiwanda cha sukari kikubwa kuliko vyote barani Afrika tangu 1964.
Uganda ina sukari kuzidi mahitaji ya ndani na hawajui wapeleke wapi ziada hadi waliwahi kuiomba Tz ichukuwe sukari yao hata kwa mkopo ili maghala yao yawe wazi kupokea uzalishaji mpya maana hawawezi kumwaga ziada ziwani.
Sasa mapapa wa biashara ya sukari wanapiga jaramba ili serikali iruhusu uagizaji toka nje ya jamhuri. Nadhani kwa spirit ya EAC serikali ichukuwe sukari ya Uganda ambayo nayo pia itapunguza bei kwa sababu ni jirani nasi kuliko kutoa sukari ng'ambo ya bahari. Let us think over and handle this matter strategically, progressively and proactively.
Bei ya sukari ikipanda vifuatavyo navyo vinapanda kwa sababu kuna aina nyingi za sukari zinazotengeneza bidhaa mbalimbali:-
1. Bei ya Soda kufuatia kupanda bei ya sukari.
2. Bei ya vitafunwa (mikate, maandazi, vitumbua, keki nk) kufuatia kupanda bei ya sukari.
3. Bei za madawa ya syrups kufuatia kupanda bei ya sukari.
4. Bei za sharubati kufuatia kupanda bei ya sukari.
5. Bei za sweets kufuatia kupanda bei ya sukari.
6. Bei ya wanzuki (inayotumia sukariguru) kufuatia kupanda bei ya sukari. Whatnot?
NB.
Miili yetu inapokea sukari kwa 99% ya vitu tunavyokula na kunywa hivyo sukari ni maisha (Sugar is Life)
Sir Richard Gordon Turnbull GCMG hakukosea kutumia viboko kutawala Tanganyika.
Kuna watu wanashangaza sana.Acha ubwege sasa sukari inatumika kwenye chai tu?

[emoji47][emoji2][emoji2][emoji2]Nchi imefunguka tulieni hivyo hivyo.
Magufuli si aliitwa dikteta au….Hapo shida kubwa ni kutaka asilimia wao kila jambo wanauliza vipi tunakulaje hapo na sisi?? Yetu ngapi? Hapa flani bado hajala.... Si.kweli kuwa wanatukumbuka na kutuwaza hawa watu.. Bora atokee dictator mmojawemye uchungu na nchi na raia..hata kama takuwa anakula pia si mbaya.. eg the late Muamar Ghdafi
What is this in Lower Middle Income Economy!? Alafu eti wanataka tujadili dira mpya ya taifa 2050!?
Huo mchezo mchafu wa ku-rebag products wanaufanya kampuni ya maziwa ya Tanga Fresh wakitumia maziwa ya ASAS, nyumbani kwangu nimeweka ban kutumia Tanga Fresh until further notice.
Pata poteaMtu anawekez kweny sukari hana tofaut sana na wale wanao nunua viwa ja kwa lak 6/7 then unakuja kuuza baada ya mfup million 10
Nazn sukari ni biashara nzuri sana kwa Tz unawez kununua sukura January ukawek ndan ikifk July sukari umepanda bei kwa zaid ya 43.7% ukaiuza na kupg ela bila wasiwas
My country , labda wana control kisukari
Hapo tusubr kupanda bei ya bidhaa ambazo zinatumia sukari
😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😁Ubinafsi huu.
Sili nyama nakula kuku na samaki na mboga mboga basi. Situmii nyama nyekundu.Mtakamatika kwenye nyama, kilo 1 imetinga 12,000/
Mgahawa mnoja leo nimeomba mishikaki ya ng'ombe wakasema hapa tumeacha kuuza nyama ya ng'ombe na mbuzi, tuna-serve kuku wa kisasa tu maana hatuwezi bei ya nyama ya ng'ombe buchani.
Miss you😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😁
Me too, kweli kitambo na vile humu siku hizi naingia kwa nadra😊Miss you