Chura
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,385
- 2,402
Mdau kanyoosha lakin kwa nn amuingize JPM? Kwan huwezi mkosoa Kizimkazi bila kumsifia Ngosha?Kwani uwongo?
Na watu wakifunguka zaidi kuihusu sasa, mbona wasiojulikana watafanya yao sana,,?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdau kanyoosha lakin kwa nn amuingize JPM? Kwan huwezi mkosoa Kizimkazi bila kumsifia Ngosha?Kwani uwongo?
Na watu wakifunguka zaidi kuihusu sasa, mbona wasiojulikana watafanya yao sana,,?
Sio kweli kakaSio kwamba Vita ya Putin na Ukraine ndo imesababisha?
Yule ngosha hata usipomsema utazisema kazi zake, hiyo mbona kawaida sana mkuu hasa kunapotokea dira kuyumba na anayeiyumbusha ni kiongoziMdau kanyoosha lakin kwa nn amuingize JPM? Kwan huwezi mkosoa Kizimkazi bila kumsifia Ngosha?
Kwenye baraza kuna wauza sukari kwenye bodi kuna wauza sukari unadhani watakubali kuratibu bei ambayo haiwanufaishiBodi ya sukari haistahili kuwepo na ifutiliwe mbali kwani haina msaada wo wote! Hadi upungufu unatokea Bodi ilikuwa wapi kama siyo mapandikizi ya wanasiasa wanaotafuta fedha kwa ajili ya kampeni za uchaguzi Mkuu ujao?
Mkubwa ww huna neno?@nsazagee maoni wakubwa
Mkuu huko tu hapo ofisini kwenye kiti cha kuzunguka ukipigwa na pupe hapo mbele yako ukutani kwa juu kidogo picha ya mama imening'inia.Nimeipokea kutoka group la whatsapp mchambuzi nguli katiririka jinsi bidhaa zinavyofanywa ili bei iwe juu, katumia mfano wa sukari kaeleza sababu ya yote ni kuwa nchi ina lundo la wanasiasa ambao ni wafanyabiashara hivyo hutengeneza sera ama kufanya maamuzi yenye lengo la kujitajirisha kuliko kuwasaidia wananchi
Sikiliza mwenyewe Kisha utuambie unakubaliana na mdau/mchambuzi au la?
NB: Modes uzi huu una lengo la kupata maoni msiuunganishe tafadhari mchambuzi akipata maoni atafanya uchambuzi siku moja humu.
AUDIO ipo chini
Attachments
Hapana hapo nilitoka siku nyingi 🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu huko tu hapo ofisini kwenye kiti cha kuzunguka ukipigwa na pupe hapo mbele yako ukutani kwa juu kidogo picha ya mama imening'inia.
Acha ujinga nani kakueleza kuwa wataombwa ili wakubali? Nimesema Bodi ifutwe!Kwenye baraza kuna wauza sukari kwenye bodi kuna wauza sukari unadhani watakubali kuratibu bei ambayo haiwanufaishi
You are shooting yourself in the foot my friend. Kama bei ya sugaring inapanda maana yake wakulima wa sugaring wanafurahi bwerere. Hivi hivi bei ya nyama kwa wafugaji, na mahindi, na chai, na wali. Kwa nini unataka Wakulima waandamane kuomba bei ya mahindi yao ipunguzwe? Ni 87% ya Watanzania, sawa na waliompigia Magufuli. Wale 13% ndiyo dukawallahs na wanasiasa wa mjini viyoyozi wao ndiyo wakaandamane.Kilo ya sukari Tz imefika Tshs.5,000/, nadhani serikali inatakiwa itoe tamko kutupatia walaji mwongozo wa kufuata kutoka kwenye anguko hili.
Sababu tunayopewa ni dhaifu kwamba mashamba ya miwa yamefurika maji wakati TMA ilitoa tahadhari miezi 2 kabla ya mvua kushuka. Nadhani ni Tz pekee ambako mvua na jua ni laana isiyokoma kwa kilimo, umeme, maji, mifugo, uvuvi nikitaja kwa uchache.
Aidha, viwanda vya sukari vya Magereza vilivyojengwa kwa kasi ya mwanga hatujui vimefikia wapi baada ya kutumia fedha za umma kwenye ujenzi huo kama machinjio ya kisasa ya Vingunguti, Kibaha, Simiyu na Manyara vilivyobaki kuwa makumbusho ndani ya nchi ambayo ni ya pili kwa idadi kubwa ya mifugo barani Afrika?
Tz sukari haijawahi kushuka kwa miaka 23 mfululizo tangu Julai 2001 licha ya mashamba ya miwa kuongezeka na viwanda vipya kujengwa Morogoro na Bagamoyo pamoja na uingizaji wa sukari ya nje ya nchi.
Tz sukari ni miongoni mwa bidhaa na huduma ambavyo vimekuwa vya kidemokrasia vikiwemo Korosho, Mafuta ya mitambo, Mafuta ya kula, Katani, Umeme na Maji.
Nchi kubwa, hali ya hewa ya kitropiki, mitambo ipo, rasilimaliwatu rahisi wapo, soko la ndani lipo lakini tumeshindwa hata kwenda kujifunza Uganda tu hapo namna ya kuendesha sekta ya sukari.
Ni kama vifuatavyo vyote 4 vimefeli jumla kwenye sekta ya sukari:-
1. Sheria ya Taifa ya Sukari 2001 (National Sugar Act 2001).
2. Taasisi ya Sukari Tz (National Sugar Institute).
3. Shirika la Maendeleo ya Sukari (Sugar Development Corporation SUDECO).
4. Makampuni ya Sukari (Sugar Factories).
NB.
1. Tz ina makampuni 5 ya sukari kwenye mikoa 4.
2. Kenya ina makampuni 16 ya sukari.
3. Uganda ina makampuni 14 ya sukari.
4. Zambia ina kiwanda cha sukari kikubwa kuliko vyote barani Afrika tangu 1964.
Uganda ina sukari kuzidi mahitaji ya ndani na hawajui wapeleke wapi ziada hadi waliwahi kuiomba Tz ichukuwe sukari yao hata kwa mkopo ili maghala yao yawe wazi kupokea uzalishaji mpya maana hawawezi kumwaga ziada ziwani.
Sasa mapapa wa biashara ya sukari wanapiga jaramba ili serikali iruhusu uagizaji toka nje ya jamhuri. Nadhani kwa spirit ya EAC serikali ichukuwe sukari ya Uganda ambayo nayo pia itapunguza bei kwa sababu ni jirani nasi kuliko kutoa sukari ng'ambo ya bahari. Let us think over and handle this matter strategically, progressively and proactively.
Bei ya sukari ikipanda vifuatavyo navyo vinapanda kwa sababu kuna aina nyingi za sukari zinazotengeneza bidhaa mbalimbali:-
1. Bei ya Soda kufuatia kupanda bei ya sukari.
2. Bei ya vitafunwa (mikate, maandazi, vitumbua, keki nk) kufuatia kupanda bei ya sukari.
3. Bei za madawa ya syrups kufuatia kupanda bei ya sukari.
4. Bei za sharubati kufuatia kupanda bei ya sukari.
5. Bei za sweets kufuatia kupanda bei ya sukari.
6. Bei ya wanzuki (inayotumia sukariguru) kufuatia kupanda bei ya sukari. Whatnot?
NB.
Miili yetu inapokea sukari kwa 99% ya vitu tunavyokula na kunywa hivyo sukari ni maisha (Sugar is Life)
Sir Richard Gordon Turnbull GCMG hakukosea kutumia viboko kutawala Tanganyika.