Jibu ni Ndio.Kwahiyo mkiamdamana ndio sukari itashuka bei?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu ni Ndio.Kwahiyo mkiamdamana ndio sukari itashuka bei?
Ahahahahaha!!!!Jibu ni Ndio.
Unavyosema vyote ni hovyo ulishawapa nafasi ya kutawala au unarusha jiwe gizaniCCM inatakiwa kutoka na kufutwa kabisa katika siasa za Tz , tunahitaji Tanzania mpya lakini asiyo chini ya Chadema, act, na vyama vingine vya upinzani mana vyote ni ovyo
Kama unalijua hilo unasubiri niniMbowe alipokuwa anaenda kula vikukuu na juis za Samia ikulu hizi kelele hatukuziona, mlisema ndio mwanasiasa jabali 😅😅 Ila saizi maridhiano ya mchongo yamebuma mnawalazimisha kila mtu amfate mbowe?, Harakati sio lazima zianzishwe na mbowe tu. Aliyaanza mwenyewe ayamalize mwenyewe....
Upo sahihi sanaKwa.mwendo huu na ukondoo wetu, kuna siku si nyingi kilo ya sukari itafika laki mbili.
Majitu mazima eti ni vyama vya upinzani yanatumwa na CCM kuharibu mapambano haya. Leo hakuna umeme sijui yenyewe yana Tanesco ya kwao, yako Kwenye giza lkn kwa vile yamepewa suti za mitumba hayaoni nyuma wala mbele
Tatizo lako hjafuatilia contains zilizomo kwenye nia ya kufanya maandamanoKwahiyo mkiamdamana ndio sukari itashuka bei?
UnakijuaTukitoa ccm tuweke chama gani?
Magufuli aliikuta sukari kilo moja sh 1800 akaipaisha hadi sh 3000CCM ya Magufuli ujinga wote huo ulikomeshwa ajabu tulimzodoa sasa acha tuisome namba.
Maneno yenye busara sanaCCM inatakiwa kutoka na kufutwa kabisa katika siasa za Tz , tunahitaji Tanzania mpya lakini asiyo chini ya Chadema, act, na vyama vingine vya upinzani mana vyote ni ovyo
Sio kwamba Vita ya Putin na Ukraine ndo imesababisha?Kizimkazi finest hao ndo wanatufanya tunaona yote haya na bado tutapata tabu sana