Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

CCM ya Magufuli ujinga wote huo ulikomeshwa ajabu tulimzodoa sasa acha tuisome namba.
 
CCM inatakiwa kutoka na kufutwa kabisa katika siasa za Tz , tunahitaji Tanzania mpya lakini asiyo chini ya Chadema, act, na vyama vingine vya upinzani mana vyote ni ovyo
 
Na pia bila kumuondoa Mbowe chadema haitakaa ishike dola!. Hakuna mwanasiasa mwenye ndimi mbili akafanikiwa... Zitto, Mrema,Lipumba!.
#kataa mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti cdm.
 
Mbowe alipokuwa anaenda kula vikukuu na juis za Samia ikulu hizi kelele hatukuziona, mlisema ndio mwanasiasa jabali 😅😅 Ila saizi maridhiano ya mchongo yamebuma mnawalazimisha kila mtu amfate mbowe?, Harakati sio lazima zianzishwe na mbowe tu. Aliyaanza mwenyewe ayamalize mwenyewe....
 
Kama unalijua hilo unasubiri nini
 
Kwa.mwendo huu na ukondoo wetu, kuna siku si nyingi kilo ya sukari itafika laki mbili.

Majitu mazima eti ni vyama vya upinzani yanatumwa na CCM kuharibu mapambano haya. Leo hakuna umeme sijui yenyewe yana Tanesco ya kwao, yako Kwenye giza lkn kwa vile yamepewa suti za mitumba hayaoni nyuma wala mbele
Upo sahihi sana
 
CCM inatakiwa kutoka na kufutwa kabisa katika siasa za Tz , tunahitaji Tanzania mpya lakini asiyo chini ya Chadema, act, na vyama vingine vya upinzani mana vyote ni ovyo
Maneno yenye busara sana
 
Kizimkazi finest hao ndo wanatufanya tunaona yote haya na bado tutapata tabu sana
 
Kwani uwongo?

Na watu wakifunguka zaidi kuihusu sasa, mbona wasiojulikana watafanya yao sana,,?
 
Back
Top Bottom