Sukuma gang ni itikadi siyo kabila

Muasisi wa sukuma gang ni msukuma
 
Genge S ndio lina makabila mengine lakini hasa wengi (97%) ni wasukuma. Ni vigumu kutenganisha hili genge na ukabila.
 
Aisee,
We ni Sexless jaribu uwe Sex kwanza pumbavu sana loophead
 
Siyo itikadi ni ukosefu wa akili na ni ujinga

Kiongozi lazima afuate rule of law kinyume chake ni ukosefu wa akili na ujinga

Hakuna kuitikadia uvunjifu wa sheria, sukuma gang ni kama panya road, wote ni criminals

Kabila la wasukuma hapo limekua mbuzi wa kafara tu, ila ni criminal mentality ambayo inapaswa kukemewa
 
Nyanabe/Nyanoko.

Kwani lazima uandike uzi wa kishamba hivi?.

Umeshaipromote sasa, ndio utajua unaichukia au la.
 
Alivyoenda bwawa la Nyerere alimvyomtaja chuma watu wakapiga vigelegele huko kusini hadi akapatwa na aibu ...huko nako Rufiji walikuwepo wasukuma? Hivi sukuma gang ni kanda ya ziwa tu?
 
Sukuma gang itaungana na msoga gang kuwapelekea moto machadema kwenye uchaguzi mkuu 2025!
 
Mmeufyata kwa akina January na Nape sasa mnasingizia CDM.
 
Acha uongo, na hiyo 'Sukuma' ilitoka wapi. Endelea kulamba asali huku maisha yakizidi kuwa tete kwa wananchi.
 
Jina Sukuma ni kwa sababu mpendwa wetu alikuwa Msukuma. Tuheshimiwe, tupo wengi na nchi ni yetu.
 
Hamjui kama chadema mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe kwa kuhusisha kabila la wasukuma na sukuma gang so wasukuma wengi wanaanza kuona mmewabagua na mmewaweka kundi hilo kumbuka wasukuma tupo wengi?you spirit hii mnauoijenga mmetumia akili fupi sana hamuoni mbele
 
Mleta mada, mmeishalikoroga ni wakati wenu Sasa kulinywa.
 
Cha ajabu, Mbowe maandamano, mikutano ya siasa na kampeni anazindulia Usukumani hadi sasa sijasikia mkutano wa kisiasa Kilimanjaro ama Arusha ila kila siku Mwanza, Shinyanga, Kahama, Geita, Simiyu, Tabora nk.
.

Mchepuko ndio unaohongwa sio mke kwa sababu mke tayati yupo ndani.
 
Hii kitu kinamwagiliwa maji na malkia mwenyewe akifikiri anajijenga kumbe hola na washukuru wasukuma ni watu kidogo hawafikiri kwa undani ingekuwa sisi wachaga wangeomba poo
Lakini hiki kitu kama Kuna watu serious nje ya ccm wangeitumia vzuri sana Sasa kwa Sasa wote wamekuwa chawa wa ccm
 
Wasukuma hawaongeagi ujinga kama huu,wewe wala huwezi tenganisha Sukuma Gang na kundi la wasukuma.....Nenda usukumani kote Kataje Jina la JPM mahali utajua nnachoongea,bado Kuna nyumba nyingi sana zinakalenda na picha JPM ukutani....ukiwauliza mbona zishaisha muda wake wanakwambia huyu ndo anafaa kukaa kwenye nyumba yetu kalenda Update tutaangalia kwenye Simu.
 
Ile inaitwa Magufulification ilishindika a ndio ikawa hiyo Sukuma gang..

Ndio maana Kuna msoga gang nk japo ukweli inabakia kwamba wengi wa wafuasi wa Mwendazake ni Wasukuma na hiyo ni kutokana na tabia yake ya kuendekeza ukabila..

Sukama gang kubalini mumeshapigwa bao 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…