Sukuma gang ni itikadi siyo kabila

Sukuma gang ni itikadi siyo kabila

Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.

Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni Polepole, Ndugai, Bashiru, Mnyeti, Happi, Kabudi, n.k.

Lakini wapo Wasukuma ambao pia ni wafuasi watiifu wa itikadi hii ya sukuma gang. Sina haja ya kuwataja.

Nimeandika haya ili kuondoa dhana inayotaka kujengwa na baadhi ya watu ama kwa upotoshaji wa makusudi au kwa bahati mbaya kuwa kuwachukia wafuasi wa Sukuma gang ni kuchukia Wasukuma. Hili siyo jambo zuri na kufanya hivyo ni kupanda mbegu ya ukabila.

Mm Sexless mwandishi wa uzi huu nawachukia Sukuma gang na muasisi wao ingawa nami ni Msukuma.
NYUMBU wa KIGOGO wa kujitolea ktk ubora wako😃😃😃
 
wasukuma hatujazalilishwa sukuma gang ni genge la wapumbavu walioongozwa na dictator uchwara ndio maana hoja yenu ilishabuma na 2025 mtagongwa kikamilifu.
Tanzania hakuna Uchaguzi wowote utakaofanyika mpaka katiba Mpya ipatikane. Kinyume na hapo ni wa2 waamue kuteuana au kugawana mamlaka
 
habari za asubuhi kabla sijaenda kwenda kutafuta ugali niweke mambo sawa kuhusu sukuma gang

Hili neno najua kwako sio geni wengi wanajua sukuma gang ni wasukuma wa mwanza huko au mikoa ile

Ukweli ni huu sukuma gang ni watu walio wanaomini philosophy za magufuli watu hawa hawataki maneno wanataka vitendo hao ndo wana sukuma gang tena hawapendi rushwa , brutal kwenye maslai ya taifa ,aggressive kwenye kujenga miundo mbinu , patriotism yao sio ya kawaida kwenye taifa la za tanzania

Wapo wapi watu hawa kwanza ni kundi kubwa kuliko hata baadhi ya vyama hapa nchini watu hawa hawaipendi ccm wala chadema wapo idle tu wametulia tuli... wakisia chadema wanataka kutapika kabisa wakisia ccm wanataka hata kufa kabisa walienda kule ccm kwa sababu ya magufuli

Huwa wanafurahi sana wakiona mmoja wao akiteuliwa ya mtu wa magufulism philosophy mfano mkuu wa mkoa dsm huyu mpya mhehe yule. watu hawa wamefurahi baada ya kuona mtu wa philosophy hiyo ya magufulism kaja dar...

Wapo kila chama watu magufulism philosophy huko chadema wenje anajificha ficha nae ni muumini wa magufulism tena ndani ya chadema upande wa mwanza ndo wawe makini sana kuongelea swala la magufuli kuna siku watakula makofi huko mwanza

Sasa ukisikia sukuma gang sio wasukuma ndugu yangu next time sukuma gang member ni mtu anaamini katika idea za magufulism philosophy. Magulification process

Baada ya kuandika uzi huu nasubiria matusi kutoka ufipa ,visiwani ..na pale pwani mitaa ya chalinze
 
habari za asubuhi kabla sijaenda kwenda kutafuta ugali niweke mambo sawa kuhusu sukuma gang

Hili neno najua kwako sio geni wengi wanajua sukuma gang ni wasukuma wa mwanza huko au mikoa ile

Ukweli ni huu sukuma gang ni watu walio wanaomini philosophy za magufuli watu hawa hawataki maneno wanataka vitendo ...hao ndo wana sukuma gang tena hawapendi rushwa , brutal kwenye maslai ya taifa ,aggressive kwenye kujenga miundo mbinu , patriotism yao sio ya kawaida kwenye taifa la za tanzania

Wapo wapi watu hawa ...kwanza ni kundi kubwa kuliko hata baadhi ya vyama hapa nchini watu hawa hawaipendi ccm wala chadema wapo idle tu wametulia tuli... wakisia chadema wanataka kutapika kabisa wakisia ccm wanataka hata kufa kabisa walienda kule ccm kwa sababu ya magufuli

Huwa wanafurahi sana wakiona mmoja wao akiteuliwa ya mtu wa magufulism philosophy mfano mkuu wa mkoa dsm huyu mpya mhehe yule .... watu hawa wamefurahi baada ya kuona mtu wa philosophy hiyo ya magufulism kaja dar...

Mbona unajihami na kutukanwa? kwani umeandika baya gani?
 
CHADEMA Stop your hatred Speech towards the Wasukuma Tribe.

Narudia, hakuna Genge lelote lile Tanzania linaloitwa "Sukuma Gang" kuna Kabila la WASUKUMA.

CHADEMA Wasipewe nafasi ya kufanya Siasa za Chuki na Visasi dhidi ya Kabila la Wasukuma ati kwa sababu Hayati Raisi alikuwa ni Msukuma.

Serikali, JF ijufunze na haya ya Vifo. Mwishowe Raisi SSH akitoka aitwe Islamic Gang na wengine wote watakaofuata. Tanzania yetu tunaiyoijua itaingia katika Vita hasi za Kijamii. Wacheni kukumbatia Chuki kwa kigezo cha Uhuru wa Kuongea.
 
Mimi nilikuwa najua sukuma gang ni kundi la wasukuma wanao unga mkono juhudi za msukuma mwenzao na hii ilitokana na uhalisia kwamba wasukuma wengi walisimama na mugufuli kwa sababu ya usukuma wake na ukanda wake na si vinginevyo labda sasa ndio tuanze kuhama kwenye itikadi ya ukabila twende sasa kwenye philosophy yake.
 
Subiri uoge matusi kutoka vyeti feki na walamba asali
 
Mimi nilikuwa najua sukuma gang ni kundi la wasukuma wanao unga mkono juhudi za msukuma mwenzao na hii ilitokana na uhalisia kwamba wasukuma wengi walisimama na mugufuli kwa sababu ya usukuma wake na ukanda wake na si vinginevyo labda sasa ndio tuanze kuhama kwenye itikadi ya ukabila twende sasa kwenye philosophy yake.
Mbona wachaga wengi wanaunga mkono chadema
 
Mimi nilikuwa najua sukuma gang ni kundi la wasukuma wanao unga mkono juhudi za msukuma mwenzao na hii ilitokana na uhalisia kwamba wasukuma wengi walisimama na mugufuli kwa sababu ya usukuma wake na ukanda wake na si vinginevyo labda sasa ndio tuanze kuhama kwenye itikadi ya ukabila twende sasa kwenye philosophy yake.
Hii ni Imani ,na sio kabila mkuu.ndani wapo Wana ccm ,wa chadema ,wasio na vyama n.k.ni Imani inayo amini katka philosophy na kazi alizofanya hayati za kulijenga taifa. Ila hii Imani /philosophy haipendwi Sana na msoga gang !!
 
CHADEMA Stop your hatred Speech towards the Wasukuma Tribe.

Narudia, hakuna Genge lelote lile Tanzania linaloitwa "Sukuma Gang" kuna Kabila la WASUKUMA.

CHADEMA Wasipewe nafasi ya kufanya Siasa za Chuki na Visasi dhidi ya Kabila la Wasukuma ati kwa sababu Hayati Raisi alikuwa ni Msukuma.

Serikali, JF ijufunze na haya ya Vifo. Mwishowe Raisi SSH akitoka aitwe Islamic Gang na wengine wote watakaofuata. Tanzania yetu tunaiyoijua itaingia katika Vita hasi za Kijamii. Wacheni kukumbatia Chuki kwa kigezo cha Uhuru wa Kuongea.
Siasa za chuki mnazo huko CCM,usikatae kuna sukuma Gang na msoga Gang haya ni makundi ndani ya CCM. Chadema wako bize kuhubiri Katiba mpya kwenye operesheni 255. Kinachowauma ni maridhiano,mumezoea zile siasa za Magufuli za chuki kwa upinzani hasa Chadema.
 
Ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo. Umenena penyewe penye utamu mtoa mada sukuma gang mwanakwetu patriotism foreveeeeeeeeeeer we believe on magulification of Africa
 
CHADEMA Stop your hatred Speech towards the Wasukuma Tribe.

Narudia, hakuna Genge lelote lile Tanzania linaloitwa "Sukuma Gang" kuna Kabila la WASUKUMA.

CHADEMA Wasipewe nafasi ya kufanya Siasa za Chuki na Visasi dhidi ya Kabila la Wasukuma ati kwa sababu Hayati Raisi alikuwa ni Msukuma.

Serikali, JF ijufunze na haya ya Vifo. Mwishowe Raisi SSH akitoka aitwe Islamic Gang na wengine wote watakaofuata. Tanzania yetu tunaiyoijua itaingia katika Vita hasi za Kijamii. Wacheni kukumbatia Chuki kwa kigezo cha Uhuru wa Kuongea.
Chadema imeingiaje hapa?
 
Back
Top Bottom