SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Kamuulize Mdude wa CHADEMA anayesambaza uharakati wake na lugha hiyo hapa mtandaoni.Chadema imeingiaje hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuulize Mdude wa CHADEMA anayesambaza uharakati wake na lugha hiyo hapa mtandaoni.Chadema imeingiaje hapa?
Mambo ya Mdude yameingiaje kwenye huu uzi? jikite kwenye Mada iliko mezani.Kamuulize Mdude wa CHADEMA anayesambaza uharakati wake na lugha hiyo hapa mtandaoni.
CHADEMA is a hate group. CHADEMA coined "Sukuma Gang" na sintoshangaa wakishindwa safari hii wakamuita SSH kama Islamic Gang. endeleeni na siasa za Uhasama.Siasa za chuki mnazo huko CCM,usikatae kuna sukuma Gang na msoga Gang haya ni makundi ndani ya CCM. Chadema wako bize kuhubiri Katiba mpya kwenye operesheni 255. Kinachowauma ni maridhiano,mumezoea zile siasa za Magufuli za chuki kwa upinzani hasa Chadema.
Tupe ushahidi kama leta mada ni kada wa Chadema au katumwa na Chadema.CHADEMA is a hate group. CHADEMA coined "Sukuma Gang" na sintoshangaa wakishindwa safari hii wakamuita SSH kama Islamic Gang. endeleeni na siasa za Uhasama.
CHADEMA ni sawa na magaidi tu.
Mdude ndie anayewaita kabila la Wasukuma, genge la wasukuma kana kwamba kabila hilo halina maana na nguvu na uwezo. Analiita ni "Sukuma Gang" unabisha?Mambo ya Mdude yameingiaje kwenye huu uzi? jikite kwenye Mada iliko mezani.
Sawa sasa hapa ndude yuko wapi? Mtafute mdude mkamalizane nje ya huu uzi sione connection ya huu uzi na Chadema.Mdude ndie anayewaita kabila la Wasukuma, genge la wasukuma kana kwamba kabila hilo halina maana na nguvu na uwezo. Analiita ni "Sukuma Gang" unabisha?
SawaSukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni Polepole, Ndugai, Bashiru, Mnyeti, Happi, Kabudi, n.k.
Lakini wapo Wasukuma ambao pia ni wafuasi watiifu wa itikadi hii ya sukuma gang. Sina haja ya kuwataja.
Nimeandika haya ili kuondoa dhana inayotaka kujengwa na baadhi ya watu ama kwa upotoshaji wa makusudi au kwa bahati mbaya kuwa kuwachukia wafuasi wa Sukuma gang ni kuchukia Wasukuma. Hili siyo jambo zuri na kufanya hivyo ni kupanda mbegu ya ukabila.
Mm Sexless mwandishi wa uzi huu nawachukia Sukuma gang na muasisi wao ingawa nami ni Msukuma.
Wacha upuuzi. Narudia, CHADEMA na wanaharakati wake ndio waliovumbua na kutumia msamiati huu. Wao ndio watoke na waseme Kuwa wanachukizwa na hawahusiki na msamiati huo. CHADEMA must accept the responsibility. Mdude ameeingia juzi hapa, ingawaje inawezekana yumo, na jina lake na alitumia msamiati huo....aliujulia wapi?Sawa sasa hapa ndude yuko wapi? Mtafute mdude mkamalizane nje ya huu uzi sione connection ya huu uzi na Chadema.
Umeambiwa na nani kuwa mdude ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo?
Mim sio mwanacha Chadema bali nachukia uzushi kuchafuana chuki bila ushahidi.
kwa sababu wazazi wa kisiasa wa Bashe ambao wanazo kashfa nzito nchi hii wameshinda vita dhidi ya mafisadi wa Sukuma Gang ambao nao walitesa kwa miaka mitano.
Huu msamiati umeanzia huko ccm wenyewekwawenyewe na siasa zenu za chuki mkamalizane huko bila kuingiza Chadema.Wacha upuuzi. Narudia, CHADEMA na wanaharakati wake ndio waliovumbua na kutumia msamiati huu. Wao ndio watoke na waseme Kuwa wanachukizwa na hawahusiki na msamiati huo. CHADEMA must accept the responsibility. Mdude ameeingia juzi hapa, ingawaje inawezekana yumo, na jina lake na alitumia msamiati huo....aliujulia wapi?
Vilevile, sijakuona ukikemea hapanutumiaji wa msamiati huo zaidi ya kuja kuni attack
CHADEMA ndio wanaotumia msamiati huo. Nimeweka ushahidi wa Mdude kutumia....sasa Weka huo uthibitisho wa CCM au Viongozi wa CCM wakitumia msamiati huo....zaidi ya hapo utulie tu.Huu msamiati umeanzia huko ccm wenyewekwawenyewe na siasa zenu za chuki mkamalizane huko bila kuingiza Chadema.
Angalia hizo threads hapo juu ccm kwa ccm mkishangilia nakufurahi vifo vya wana ccm wenzenu nakuitana majina ya chuki sijui unataka ushahidi gani au una mimba ya Chadema?CHADEMA ndio wanaotumia msamiati huo. Nimeweka ushahidi wa Mdude kutumia....sasa Weka huo uthibitisho wa CCM au Viongozi wa CCM wakitumia msamiati huo....zaidi ya hapo utulie tu.
Sukuma Gang ni genge la watu masikini wa mali na akili wanaomuona Magufuli kama mungu wao.CHADEMA is a hate group. CHADEMA coined "Sukuma Gang" na sintoshangaa wakishindwa safari hii wakamuita SSH kama Islamic Gang. endeleeni na siasa za Uhasama.
CHADEMA ni sawa na magaidi tu.
Kwa hiyo wewe unajiona mtu tajiri mpaka uwaite watu wengine watu masikiniSukuma Gang ni genge la watu masikini wa mali na akili wanaomuona Magufuli kama mungu wao.
Pascal MayallaSukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni Polepole, Ndugai, Bashiru, Mnyeti, Happi, Kabudi, n.k.
Lakini wapo Wasukuma ambao pia ni wafuasi watiifu wa itikadi hii ya sukuma gang. Sina haja ya kuwataja.
Nimeandika haya ili kuondoa dhana inayotaka kujengwa na baadhi ya watu ama kwa upotoshaji wa makusudi au kwa bahati mbaya kuwa kuwachukia wafuasi wa Sukuma gang ni kuchukia Wasukuma. Hili siyo jambo zuri na kufanya hivyo ni kupanda mbegu ya ukabila.
Mm Sexless mwandishi wa uzi huu nawachukia Sukuma gang na muasisi wao ingawa nami ni Msukuma.
Sukuma gang ni propaganda tu za watu walizozianzisha ambao walibanwa na mzee warejeshe pesa za UMMA, wakishirikiana na baadhi ya watu wa vyama vya siasa ambavyo kimsingi vina ukanda fulani, hakuna cha Sukuma gang wala nini, ni mafisadi tu fulani ndo yalianzisha hilo, majina uliyo yataja pia ni watu wazarendo, sasa mtu kua mzarendo, mnyoofu na msimamia Mali za UMMA amekua Sukuma gang na si Mzarendo wa kweliSukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.