Sukuma gang ni itikadi siyo kabila

CHADEMA is a hate group. CHADEMA coined "Sukuma Gang" na sintoshangaa wakishindwa safari hii wakamuita SSH kama Islamic Gang. endeleeni na siasa za Uhasama.

CHADEMA ni sawa na magaidi tu.
 
YES Sukuma Gang sio ukabila

Hata tupo waluguru wenye falsafa za Sukuma gang yani Magufulism
😁😁😁
 
CHADEMA is a hate group. CHADEMA coined "Sukuma Gang" na sintoshangaa wakishindwa safari hii wakamuita SSH kama Islamic Gang. endeleeni na siasa za Uhasama.

CHADEMA ni sawa na magaidi tu.
Tupe ushahidi kama leta mada ni kada wa Chadema au katumwa na Chadema.
 
Mambo ya Mdude yameingiaje kwenye huu uzi? jikite kwenye Mada iliko mezani.
Mdude ndie anayewaita kabila la Wasukuma, genge la wasukuma kana kwamba kabila hilo halina maana na nguvu na uwezo. Analiita ni "Sukuma Gang" unabisha?
 
Mdude ndie anayewaita kabila la Wasukuma, genge la wasukuma kana kwamba kabila hilo halina maana na nguvu na uwezo. Analiita ni "Sukuma Gang" unabisha?
Sawa sasa hapa ndude yuko wapi? Mtafute mdude mkamalizane nje ya huu uzi sione connection ya huu uzi na Chadema.

Umeambiwa na nani kuwa mdude ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo?

Mim sio mwanacha Chadema bali nachukia kuingia Chadema kwenye uzushi bila ushahidi.
 
Sawa
 
Wacha upuuzi. Narudia, CHADEMA na wanaharakati wake ndio waliovumbua na kutumia msamiati huu. Wao ndio watoke na waseme Kuwa wanachukizwa na hawahusiki na msamiati huo. CHADEMA must accept the responsibility. Mdude ameeingia juzi hapa, ingawaje inawezekana yumo, na jina lake na alitumia msamiati huo....aliujulia wapi?

Vilevile, sijakuona ukikemea hapanutumiaji wa msamiati huo zaidi ya kuja kuni attack
 
Huu msamiati umeanzia huko ccm wenyewekwawenyewe na siasa zenu za chuki mkamalizane huko bila kuingiza Chadema.
 
Huu msamiati umeanzia huko ccm wenyewekwawenyewe na siasa zenu za chuki mkamalizane huko bila kuingiza Chadema.
CHADEMA ndio wanaotumia msamiati huo. Nimeweka ushahidi wa Mdude kutumia....sasa Weka huo uthibitisho wa CCM au Viongozi wa CCM wakitumia msamiati huo....zaidi ya hapo utulie tu.
 
CHADEMA ndio wanaotumia msamiati huo. Nimeweka ushahidi wa Mdude kutumia....sasa Weka huo uthibitisho wa CCM au Viongozi wa CCM wakitumia msamiati huo....zaidi ya hapo utulie tu.
Angalia hizo threads hapo juu ccm kwa ccm mkishangilia nakufurahi vifo vya wana ccm wenzenu nakuitana majina ya chuki sijui unataka ushahidi gani au una mimba ya Chadema?
 
Ila Makonda hayupo kwenye hii movement wala hatakiwi kuwepo wala hakaribishwi
 
CHADEMA is a hate group. CHADEMA coined "Sukuma Gang" na sintoshangaa wakishindwa safari hii wakamuita SSH kama Islamic Gang. endeleeni na siasa za Uhasama.

CHADEMA ni sawa na magaidi tu.
Sukuma Gang ni genge la watu masikini wa mali na akili wanaomuona Magufuli kama mungu wao.
 
Pascal Mayalla
 
bila kujua wanazidi kulibaisha kabila la Sukuma kwanini wasiite Magufulisim.
 
Sukuma gang ni propaganda tu za watu walizozianzisha ambao walibanwa na mzee warejeshe pesa za UMMA, wakishirikiana na baadhi ya watu wa vyama vya siasa ambavyo kimsingi vina ukanda fulani, hakuna cha Sukuma gang wala nini, ni mafisadi tu fulani ndo yalianzisha hilo, majina uliyo yataja pia ni watu wazarendo, sasa mtu kua mzarendo, mnyoofu na msimamia Mali za UMMA amekua Sukuma gang na si Mzarendo wa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…