Kwani unataka kujua Chama? Baadhi ya members niwajuaawooo ni covid19 na team leader ni shotiii aka nzee ya gerejii. Kwa uchache waweza anziaa hapo🏃🏃🏃Wadau Nawasabahi
Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI?
Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
mkuu hilo neno ni propaganda za kihuni zilizoanzishwa na wanasiasa kwa kengo maalumu ambao walikuwa mlengo wa kushoto na JPM kuanzia upinzani hadi ndani ya ccm na kama ni mmoja wao chagua ulipo wewe mwenyewe hakuna cha ofisi wala kiongozi yeyote neno hili lilianzishwa kwa lengo maalumu ili RAISI aliyetwaa madaraka kupitia katiba ya jamhuri ya muungano tarehe 17.03 2021 aone hao waliokuwa karibu na utawala wa jpm hawafai na hawezi kufanya nao kazi na hilo lilifanikiwa kwa asilimia 100.Wadau Nawasabahi
Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI?
Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
Wadau Nawasabahi

Hongera wenye vyeti feki lakini pole sana kwani mwasisisi wa vyeti feki yuko Chato na wenye vyeti feki wanasota mitaani wakililia mwamba afufuke pole sana maana kuna nafasi ya kwenda kulala karibu na kaburi lake kule Chato,bado nafasi hazijaisha.Team JPM ni akina nani?
Ni ujinga kulazimisha eti JPM hakuwahi kupendwa! Ni wachache saana wanaoamini hivyo, na wakitaka kumsema JPM, utawaona hadi mishipa itawatoka ili waamini wanasikiwa! Lakini wengi wa watanzania tuliomkubali mwamba, lugha ya kumsemea ni laiiini na inaeleweka! Mpumbavu zao vyeti feki na duni.. a...www.jamiiforums.com
Nakataa Nchi yangu nzuri ya Tanzania kugawanywa ktk makundi ya KIKABILA, KIDINI, JINSIA, UKANDA, RANGI n.k nk.Kiongozi wa Sukuma Gang ni Magufuri akiwa na wasaidizi wake kama vile Humphrey Polopole,Cyprian Musiba,Paul Makonda,Aleksanda Mnyeti,Gwajima kwa lengo la kuimarisha Kanda ya Ziwa na kabila la Wasukuma ili kuondoa rasilimali zilizoasisiwa kwenye Mikoa ya Kilimanjaro,Arusha,Tanga na Dar es Salaam kwa ajili ya kuifanya Chato kuwa Makao makuu ya nchi ya Tanzania.
Amen. Ubarikiwe.HILO NENO TUNATAKA KATIBA MPYA KATIBA YA WANANCHIView attachment 2291484
Hilo kundi halipo na halijawahi kuwepo na halitakuwepo ni mkakati umesukwa na watu wachache ili kuua hoja mahususi za wananchi ikiwemo udhaifu wa baadhi ya mawaziri, kuua hoja za ziko wapi Bilioni 260 za CSR za Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere, ziko wapi Trilioni 1 na ushee anazotakiwa kulipa Mkandarasi kwa kuchelewesha mradi.Wadau Nawasabahi
Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI?
Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
Uchakachuzi ulioingizwa na wasioitakia MEMA Nchi yetu ufutwe, Arudishwe Judge Warioba.HILO NENO TUNATAKA KATIBA MPYA KATIBA YA WANANCHIView attachment 2291484
Hapa jukwaani hiyo propaganda ilienezwa sana na Mshana Jr, ambaye ni senior tribalist hapa jf, kwa kushadadia kwamba kila aliyemuunga mkono Hayati Magufuli basi ni sukuma gang, bila kujali kama ni mmakonde au mfipa!Desperate people katika uongozi wa JPM na aina ya siasa yake aliyokuwa anaifanya,Wengi wao kutoka chadema chama cha upinzani
Huyo Wakujiita Mshana Jr ni Mbumbumbu,Thickheaded na guruguja ndani ya raia wengi waliopo Tanzania...Ni wa kupuuzwa ila akivuka Mstari Mwekundu,Nikushugulika naye.Hapa jukwaani hiyo propaganda ilienezwa sana na Mshana Jr, ambaye ni senior tribalist hapa jf, kwa kushadadia kwamba kila aliyemuunga mkono Hayati Magufuli basi ni sukuma gang, bila kujali kama ni mmakonde au mfipa!
Haaaaa wewe bwana mdogo unachekesha sana ..sukuma gang linamiliki asilimia 90% ya watu waliokataa chanjo na linamiliki asilimia 20% ya walio kubal8 chanjo sasa unasemaje ni kundi dogo ...samia asipo taka kuacha uhuni atakwenda na majiNi kundi dogo la kufikirika (mtandao), much as hawajajiweka hadharani (a mythical network with faceless members) lililomeguka kutoka kwenye CCM mpya; hili zaidi likiwa na wanamtandao wengi kutoka kanda ya ziwa.
Lengo lao hasa ni kusaka fursa kuelekea 2025!
Etwege Nyankurungu2020 Mudawote Nyani Ngabu GENTAMYCINE Sang'udi Crimea johnthebaptist magu2016 Kilatha Suzy Elias na wengineoWadau Nawasabahi
Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI?
Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
Umepanic mpaka unakuja na vitisho vya kishamba. Mshana jr ni msema kweli, na kama kusema ukweli ni kuvuka mstari mchukulie hatua utakayo. Lakini sukuma gang ni kundi hatari lenye mwelekeo wa siasa na utawala wa kikatili, kwa kisingizio cha uzalendo uchwara.Huyo Wakujiita Mshana Jr ni Mbumbumbu,Thickheaded na guruguja ndani ya raia wengi waliopo Tanzania...Ni wa kupuuzwa ila akivuka Mstari Mwekundu,Nikushugulika naye.