Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Tunakujua vizuri jinsi ulivyo mnafikiUmepanic mpaka unakuja na vitisho vya kishamba. Mshana jr ni msema kweli, na kama kusema ukweli ni kuvuka mstari mchukulie hatua utakayo. Lakini sukuma gang ni kundi hatari lenye mwelekeo wa siasa na utawala wa kikatili, kwa kisingizio cha uzalendo uchwara.