Sukuma gang ni kina nani?

Sukuma gang ni kina nani?

Umepanic mpaka unakuja na vitisho vya kishamba. Mshana jr ni msema kweli, na kama kusema ukweli ni kuvuka mstari mchukulie hatua utakayo. Lakini sukuma gang ni kundi hatari lenye mwelekeo wa siasa na utawala wa kikatili, kwa kisingizio cha uzalendo uchwara.
Tunakujua vizuri jinsi ulivyo mnafiki
 
Umepanic mpaka unakuja na vitisho vya kishamba. Mshana jr ni msema kweli, na kama kusema ukweli ni kuvuka mstari mchukulie hatua utakayo. Lakini sukuma gang ni kundi hatari lenye mwelekeo wa siasa na utawala wa kikatili, kwa kisingizio cha uzalendo uchwara.
Politiko fanatiki Unachekesha sana,Huwa Sipotezi Adenosine Triphosphate(ATP) kwa kujadiliana/kulumbana na Politiko fanatiki.
 
Wadau Nawasabahi

Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI?

Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
Majority ya pro maghufuri walikuwa watu wa Kanda ya ziwa,mwanza,shinyanga,tabora,katavi,sukuma na nyamwezi,
Siku huyu JPM alipohutubia kwa kisukuma kwenye tv na redio,hapo ndipo tulipojua nchi imeingizwa Cha kike,sasa alihutubia kisukuma Ili kumfikia nani!!?wasukuma wenzie.
 
Hayati Magifuli alikusanya pesa za umma kwa manufaa ya watanzania. Alikusanya kodi, faini na kila mapato ya serikali na kuyatunza mfuko mkuu wa serikali. Mafisadi na wapigaji wakashindwa kuzipiga pesa za umma maana zote zilimulikwa na kuwekewa kufuli.

Rais Samia kwa nini asiendeleze ya hayati. Kukusanya na kutumia vyema mapato. Haya mapungufu ya mapato yanatoka wapi mpaka tozo za kila namna zinazalishwa?

Watanzania wapo kimya ila wanajua namna wanavyopigwa nondo na vyuma vizito.
 
Sukuma gang ni wale Wabunge wa Chadema waliohamia CCM wakkongozwa na Mwita Waitara
 
Umeandika kwa uchungu San Kaka pole lkn ,,,,[emoji55]
IMG-20221007-WA0002.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hayati Magifuli alikusanya pesa za umma kwa manufaa ya watanzania. Alikusanya kodi, faini na kila mapato ya serikali na kuyatunza mfuko mkuu wa serikali. Mafisadi na wapigaji wakashindwa kuzipiga pesa za umma maana zote zilimulikwa na kuwekewa kufuli.

Rais Samia kwa nini asiendeleze ya hayati. Kukusanya na kutumia vyema mapato. Haya mapungufu ya mapato yanatoka wapi mpaka tozo za kila namna zinazalishwa?

Watanzania wapo kimya ila wanajua namna wanavyopigwa nondo na vyuma vizito.
Eti alikusanya kwa faida ya Watanzania!!
Hebu tuambie alikusanya sh. ngapi ya vitambulisho vya wajasiriamali na alizipeleka wapi
 
Aliwaaambia IPO SIKU MTANIKUMBUKA. Wale waliopokea Vipande vya Pesa kumpakazia Ubaya wooote leo laaana zinawaaandama. Mwisho wao utakuwa mbaya zaidi, Laaana itaawandama vizazi na vizazi
 
Bi tozo hatawahi kufaulu kuiongoza hii nchi..afanye faster atupishe
 
Wadau Nawasabahi

Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI?

Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
Unahangaika kufungua threads ili ku undermine performance ya serikali ya Samia lakini wala hupati wachangiaji wa kutosha. Hizi ni pumba tu kutoka sukuma hang
 
Back
Top Bottom