Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Kichekesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna bosi. Hii ni imani.Bosi wenu John Shibuda hahahaaaa
Mtu hata hujakaribishwa lakini tayari umeshaanza kuongea.Mshukuruni Dr Samia Suluhu Hassani
Ameruhusu uhuru wa Mawazo,
Angekuwepo huyo mwenda kaburini
Siku nyingi mngeshashughulikiwa na hilo genge lenu lisilo na mauzo...
Mmekalia tu unaa watoto wa kiume mliokosa maadili
Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
Sisi Chaga gang twende wapi?Sukuma Gang ni imani siyo kabila. Mimi ni Mnyiha kutoka Songwe ila ni Sukuma Gang kindakindaki. Sukuma Gang tunaunga mkono maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano JPM. Hatusemi JPM alikuwa malaika asiye na makosa, hatusemi sera zake zilikuwa Perfect kabisa, tunasema sehemu kubwa ya sera, maono na uongozi wake ulifaa sana na unafaa sana kwa nchi yetu. Karibu Sukuma Gang useme machache kuhusu mazuri ya awamu ya tano.
Unaweza kuwa mchaga na ukawa Sukuma Gang.Sisi Chaga gang twende wapi?
USSR
Shauri yako usitengeneze maadui wafu huwezi juwa ukifa utapokelewa na nani. Kama ulivyoshindwa kujua utakapo zaliwa utapokelewa na wazazi gani. Kuwa na heshima yule ni Hayati na wewe ni marehemu mtarajiwa. Umeona tofauti yake?Mshukuruni Dr Samia Suluhu Hassani
Ameruhusu uhuru wa Mawazo,
Angekuwepo huyo mwenda kaburini
Siku nyingi mngeshashughulikiwa na hilo genge lenu lisilo na mauzo...
Mmekalia tu unaa watoto wa kiume mliokosa maadili
Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
Ndugu, hiyo katiba pendekezwa ni feki (fake). Hiyo ni ya ccm, ilichakachuliwa na kina Andrew change & co.Amen. Ubarikiwe.
Kikundi kinachoongozwa na Mukandala kitoswe baharini.
Judge WARIOBA arudishwe na AAPISHWE Ili amalizie KAZI aliyoianza Kwa gharama kubwa ya Kodi za Wananchi.
Ndiyo nayomaanisha.Ndugu, hiyo katiba pendekezwa ni feki (fake). Hiyo ni ya ccm, ilichakachuliwa na kina Andrew change & co.
Ile rasimu ya jaji Warioba ndiyo yenye mapendekezo/maoni ya wananchi.
Kujitoa fahamu mnaweza,Sukuma gang ni Imani.. huezi ukaishugulikia. Tukutane kwenye sanduku la kura.
Kufa ni kufa tu, kifo cha samaki, kifo cha mnyama na kifo cha binadamu ni kilekile, aliyekufa kafa enzi yake imepita, zama hazirudi nyuma.... Yupo Maiti moja tu aliyeshinda maut, hao wengine woote takataka kama ulivyo wewe.Shauri yako usitengeneze maadui wafu huwezi juwa ukifa utapokelewa na nani. Kama ulivyoshindwa kujua utakapo zaliwa utapokelewa na wazazi gani. Kuwa na heshima yule ni Hayati na wewe ni marehemu mtarajiwa. Umeona tofauti yake?
Kufa sio kufa kakaKufa ni kufa tu, kifo cha samaki, kifo cha mnyama na kifo cha binadamu ni kilekile, aliyekufa kafa enzi yake imepita, zama hazirudi nyuma.... Yupo Maiti moja tu aliyeshinda maut, hao wengine woote takataka kama ulivyo wewe.
Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app