FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Samia ni dhaifuUnahangaika kufungua threads ili ku undermine performance ya serikali ya Samia lakini wala hupati wachangiaji wa kutosha. Hizi ni pumba tu kutoka sukuma hang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia ni dhaifuUnahangaika kufungua threads ili ku undermine performance ya serikali ya Samia lakini wala hupati wachangiaji wa kutosha. Hizi ni pumba tu kutoka sukuma hang
Sawa. TumekusikiaSamia ni dhaifu
Hayo mambo tumeyaacha kwa familia za sgang wanaendeleza,sisi hatuyatakiHayati Magifuli alikusanya pesa za umma kwa manufaa ya watanzania. Alikusanya kodi, faini na kila mapato ya serikali na kuyatunza mfuko mkuu wa serikali. Mafisadi na wapigaji wakashindwa kuzipiga pesa za umma maana zote zilimulikwa na kuwekewa kufuli.
Rais Samia kwa nini asiendeleze ya hayati. Kukusanya na kutumia vyema mapato. Haya mapungufu ya mapato yanatoka wapi mpaka tozo za kila namna zinazalishwa?
Watanzania wapo kimya ila wanajua namna wanavyopigwa nondo na vyuma vizito.
Hayati Magifuli alikusanya pesa za umma kwa manufaa ya watanzania. Alikusanya kodi, faini na kila mapato ya serikali na kuyatunza mfuko mkuu wa serikali. Mafisadi na wapigaji wakashindwa kuzipiga pesa za umma maana zote zilimulikwa na kuwekewa kufuli.
Rais Samia kwa nini asiendeleze ya hayati. Kukusanya na kutumia vyema mapato. Haya mapungufu ya mapato yanatoka wapi mpaka tozo za kila namna zinazalishwa?
Watanzania wapo kimya ila wanajua namna wanavyopigwa nondo na vyuma vizito.
Sahih chadema ndil wahasisi wa sukuma gangDesperate people katika uongozi wa JPM na aina ya siasa yake aliyokuwa anaifanya,Wengi wao kutoka chadema chama cha upinzani:sasa wanachafua kabila safi la wasukuma,walikosa matumaini/kata-tamaa/legea/vurugwa na kutandikwa na siasa za JPM,Sasa wakawa wanandandia huku na huku wapate mwokozi mara wanaibuka na kigogo,mara wanaibuka na blueprint of biggest bitch tanzania mange,kiufupi walikuwa hoi bin taabani walikosa njia za kupambana naye,JPM mimi nilimuona MYOPIA & LOW Intelligence:Hivyo nadharia ya kuchafua kabila la wasukuma ni zao la desperate people... DESPERATE PEOPLE DO DESPERATE THINGS!
Hawaja wahasi si,huo utakuwa uongo🏃
We mburula una uelewa gani zaidi ya chuki tu.Sawa. Tumekusikia
Wewe chuki zako kwa hayati zinajulikana.Alikusanya mapato au alikuwa anapora watu pesa na magenge yake ya task force, kisha akawa anapiga propaganda? Au unadhani hatukuwa tunajua upikaji wake wa data? Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Unajua wewe na nani ?Alikusanya mapato au alikuwa anapora watu pesa na magenge yake ya task force, kisha akawa anapiga propaganda? Au unadhani hatukuwa tunajua upikaji wake wa data? Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Mimi na mke wangu.Unajua wewe na nani ?
Ni wale wapuuzi flani (a.k.a. chawa) waliokuwa wanashangilia kila kitu hata uozo wa yule mwendazake. Kwa ufupi ni watu ambao walimwamudu yule kiumbe kuliko hata Muumba wao.Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
Dhaifu ni yule tulimzika Chato mwaka jana. Alishindwa kutoboa kwenye COVID 19.Samia ni dhaifu
Kwenye uongozi wa Rais Samia Suluhu hakuna uteam yeye anachojali ni uchapakazi tuWadau Nawasabahi
Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI?
Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
Sukuma gang ni Imani.. huezi ukaishugulikia. Tukutane kwenye sanduku la kura.Mshukuruni Dr Samia Suluhu Hassani
Ameruhusu uhuru wa Mawazo,
Angekuwepo huyo mwenda kaburini
Siku nyingi mngeshashughulikiwa na hilo genge lenu lisilo na mauzo...
Mmekalia tu unaa watoto wa kiume mliokosa maadili
Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
Makanza na gheneSukuma Gang ni imani siyo kabila. Mimi ni Mnyiha kutoka Songwe ila ni Sukuma Gang kindakindaki. Sukuma Gang tunaunga mkono maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano JPM. Hatusemi JPM alikuwa malaika asiye na makosa, hatusemi sera zake zilikuwa Perfect kabisa, tunasema sehemu kubwa ya sera, maono na uongozi wake ulifaa sana na unafaa sana kwa nchi yetu. Karibu Sukuma Gang useme machache kuhusu mazuri ya awamu ya tano.