Sukuma gang ni kina nani?

Hayo mambo tumeyaacha kwa familia za sgang wanaendeleza,sisi hatuyataki
 
Alikusanya mapato au alikuwa anapora watu pesa na magenge yake ya task force, kisha akawa anapiga propaganda? Au unadhani hatukuwa tunajua upikaji wake wa data? Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Sahih chadema ndil wahasisi wa sukuma gang

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Alikusanya mapato au alikuwa anapora watu pesa na magenge yake ya task force, kisha akawa anapiga propaganda? Au unadhani hatukuwa tunajua upikaji wake wa data? Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Wewe chuki zako kwa hayati zinajulikana.
 
Sukuma Gang Ni kundi au Group la watu wajinga wenye Elimu ndogo ya Maisha na waliokata tamaa hili kundi Ni moja ya makundi ya hovyo kuwai kutokea tangu kuhasisiwa kwa Taifa letu pendwa la TANZANIA
 
Alikusanya mapato au alikuwa anapora watu pesa na magenge yake ya task force, kisha akawa anapiga propaganda? Au unadhani hatukuwa tunajua upikaji wake wa data? Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Unajua wewe na nani ?
 
Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
Ni wale wapuuzi flani (a.k.a. chawa) waliokuwa wanashangilia kila kitu hata uozo wa yule mwendazake. Kwa ufupi ni watu ambao walimwamudu yule kiumbe kuliko hata Muumba wao.
 
Kwenye uongozi wa Rais Samia Suluhu hakuna uteam yeye anachojali ni uchapakazi tu
 
Sukuma Gang ni imani siyo kabila. Mimi ni Mnyiha kutoka Songwe ila ni Sukuma Gang kindakindaki. Sukuma Gang tunaunga mkono maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano JPM. Hatusemi JPM alikuwa malaika asiye na makosa, hatusemi sera zake zilikuwa Perfect kabisa, tunasema sehemu kubwa ya sera, maono na uongozi wake ulifaa sana na unafaa sana kwa nchi yetu. Karibu Sukuma Gang useme machache kuhusu mazuri ya awamu ya tano.
 
Sukuma gang ni Imani.. huezi ukaishugulikia. Tukutane kwenye sanduku la kura.
 
Makanza na ghene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…