Sultani gani aliye na shutuma za mauaji Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Hahhahaha mkuu Pasco nasadiki andiko lako la kifimbo haswaaa ndio uhalisia
 


Mzee.wangu mimi sisemi waarabu wafukuzwe Zanzibar.kwanza wala sisemi sio.kwao.mana wamelowea vizazi na vizazi laki.tuweke tu historia sawa haiwezekani watawala wa kioman wawatendee mema.waafrica hicho kitu hakipo hakiwezekani kabisaaaa
 


Hizo habar za heven on earth ni historia ilioandikwa na watawala kaka kujipendelea yes it was heven for Arabs not black Africans,ingekuwa heven wasingepinduliwa 64 hamna mkoloni asiekuwa dhalimu acheni kuamini kila sultani.kuwa ni mjukuu wa mtume sio kweli
 
Still utakuwa Rafiki na tunachangia utaifa... ila vijana wengi mmekoshwa na maji ya kuaminishwa..BRAIN WASH....waarabu walijenga udugu na wawazawaa..Waarabu waliunganisha makabila hadi kulizaa LUGHA taamu ya Kiswahili na waarabu walishirikisha watemi na wenyeji kuunda USTAARABU kwa UMMA huu unaoishi hapa!!

Waarabu kamwe hawakuwa na msilahi tu ya kutawala ndo maana walivyo pinduliwa kwa damu... wakakubali kuwa raia wema na kusalim amri (kama dini yao invyosema SALIM SALAAMA) Uhakiki huu umedhihirisha tangu UHURU hapakuwa na machafuko from any ARABs hapa !!
Udhalimu ni haramu na Mwenyeezi Mungu kakataza dhulma...
 
Zamiluni Zamiluni,
Nami naongozea.

Kutokana na propaganda za utumwa ndipo Waarabu wengi
wakadhulumiwa roho zao na kuuawa na wala hawakuuliwa
na ndugu zao Wazanzibari bali na mamluki kutoka kambi ya
Kipumbwi na Sakura, Tanga.

Tujitahidini sana kuondoa hizi fitna leo hazina nafasi katika
jamii tunayoijenga.
 
Sjjaangalia lini umejiunga na JamiiForum,

Je, mabandikk ya Muhamed Said umewahi kjyasoma?
Mshughulishaji,
Nami naongeza.

Huyu Bwana Hiram kwanza awe na adabu katika majadiliano kwa
afya ya kubadilishana fikra.

Ikiwa ana ugomvi na Uislam hakika atapata shida kubwa na mimi
kwani sifa yangu kuu ni kuirejesha katika historia yetu mchango wa
Waislam katika uhuru wa Tanganyika.
 
Ilan Ramon,
Huenda wewe kwa kuna si Muislam hujui hadhi ya Mtume Muhammad (SAW).
Usilete jina lake katika haya.

Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar si kama unavyoijua wewe.
Mapinduzi hayakutoka Zanzibar.

Zanzibar ilivamiwa na mamluki kutoka kambi ya Kipumbwi.

Sitoweza kukueleza kila kitu hapa lakini nakushauri usome
kitabu cha Harith Ghassany ''Kwaheri Uhuru Kwaheri Ukoloni.''
 
Mzee.wangu mimi sisemi waarabu wafukuzwe Zanzibar.kwanza wala sisemi sio.kwao.mana wamelowea vizazi na vizazi laki.tuweke tu historia sawa haiwezekani watawala wa kioman wawatendee mema.waafrica hicho kitu hakipo hakiwezekani kabisaaaa
Ilan Ramon,
Lete ushahidi kuwa masultani waliweka jela za mateso kama
''Kwa Ba Mkwe,'' na ''Kiinua Miguu,'' katika utawala wao.

Lete shahidi ambae atashuhudia kuwa ndugu yake aliuawa na
Sultani au mali yake imedhulumiwa na Sultani.

Unaandika jambo ambalo huna ujuzi nalo.
Soma historia ya Zanzibar kwanza kisha ndiyo urejee hapa.
 

Hata Neo-Nazi wanaamini Hilter hakuwa mtu mbaya.
 
Mkuu Afrodance, damu ni kwenye nyororo na kwenye jambia na sio kwenye mikono yao, mikono yao ni safi kabisa!.
Pasco
Na je waliruhusu Utumwa au waliupinga?

Maana kuwa Sultan na dhani una nguvu fulani ya kukataa au kukubali kitu. Au walikuwa kimya tu ?
 
Na je waliruhusu Utumwa au waliupinga?

Maana kuwa Sultan na dhani una nguvu fulani ya kukataa au kukubali kitu. Au walikuwa kimya tu ?
Afrodenzi,
Toka tumeanza huu mjadala.
Hajatokea mtu na ushahidi kuwa alikuwapo Sultani aliyeua.

Au kulikuwako na Sultani aliyekuwa na jela ya mateso au
alikuwapo Sultani na watu waliokuwa wakipita majiani na
kupiga watu au kuwatisha kwa hili au lile.
 

Mzee Mohammed hivi una ushahidi gani kama Hitler aliua?
 


Ushahidi seyyid saidi alikuwa mfanya biashara mkubwa wa utumwa
 
Full Propaganda na Upandikizaji wa historiya ilimradi Mamissionaries wakubalike kuweka kambi lao Africa!! Na kweli walicheza fitina hizo na kujipamba.. hadi walipo nyakuwa utawala na kutamaliki UKOLONI mambosasa....
DIVIDE and RULE !! "" Wagaweni ili muwatawale"

afrodenzi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…