Suluhisho la vita ya Mashariki ya kati ni kwa Wapalestina kutulia au kuhama kabisa pale Gaza

uzito wa kufikiri, Golan heights, Sinai na maeneo ya Jordan unajua chanzo cha Israel kukalia maeneo hayo?
Sasa usije na BS ya kusema sijui wamefuata Bible sijui UN, maana Golan Heights, Jordan, na Sinai vis a vis UN na Biblia ni wapi na wapi?
Toa mahaba yako hapo na ujinga mnaojazana huko madrasa ok, kama hujui unauliza kwa ustarabu braza then unaeleweshwa o
Mie sio muislam ni mkristo pure kabisa so tuijadili kisiasa tu.
Sinai yalirudishwa je unajua chanzo na sababu za kuyaachia maeneo hayo?
Usibadili mjadala wewe umesema maeneo wanayokalia sijui kibiblia ndio unieleze hapa huko Golan Heights nako walifuata Bible? Au hiyo so-called UN resolution ya 1947 ndio iliwapa mandate hiyo?
 
Unafahamu kuwa kuanzia juzo kambi za Jeshi la Marekani zilizopo Syria na Iraq zinarushiwa mabomu?

Kuna watu wasiojulikana huko Mashariki ya Kati wameshatangaza, Mmarekani yoyote na chochote cha Wamarekani duniani ni halali yao.

Mambo sasa hivi yanaelekwa kuwa "out of control".
 
Tatizo lako moja tu ndugu wewe ni mzito kufikiri, huko hakukuwa Uyahudini ok, kulikuwa ni ugenini, Uyahudini ndio pale Israel na sasa wamesimama kwao so wapalestina watulie
Hoja yake ni kwamba palestina wamekataliwa kila walipoenda ndio nimemuambia kuwa hata wayahudi wamekataliwa kila walipoenda nimetoa na mifano ya France, Russia, Germany etc.

Uwe unaelewa kwanza unachojibu kabla ya kuquote
 
Uyahudini ndio pale Israel na sasa wamesimama kwao so wapalestina watulie
Watulie? Kwani West Bank hawajatulia? Kule hakuna Hamas ila mbona kila siku mnawaua na kupora ardhi yao?

Wewe sema tu unaunga mkono sababu ulikaririshwa tokea udogoni Sunday school ila usitafute justification ya kisiasa au kijamii maana HAIPO!
 
ile mipaka iliyowekwa na UN mwaka 1947,
So UN ndio alpha na omega? Mara ngapi UN imefanya resolutions kulaani uvamizi wa Israel je mmewahi kuheshimu? Au resolutions ikiwa on your favor ndio UN inakua nzuri?
 
Resolution 252: (21 May) " ... 'declares invalid' Israel's acts to unify Jerusalem as Jewish capital".
 
We kweli hamnazo.Tukija kutawaka Zanzibar na kuwakaba koo, wewe utsindoka tu kwa vile umezidiwa?
Kwani shida iko wapi?
Hivi ni lazima upigane vita ili uishi?
Nahama tu kuepusha shari zaidi na kuendelea kuishi tena kuishi kwa amani.
 

7. Wapalestin na waarabu hawaoni haki ya myahudi kuwepo hapo,na walijaribu mara nyingi kuanzisha vita ili kuwaondoa wayahudi hapo na wengine wamejiapiza kwa mujibu wa mafundisho yao kuwa wataiangamiza israel,wewe unazungumzia haki zipi kwa mfano?
 
Hizo sehem ulizozitaja unajua ni kwa nini Israel inazikalia??
 
Mbona waisrael million 6 walichinjwa na Hitler unataka kusema Mungu wao hayupo? Sisi waTanzania hatuna dini? Mbona miaka yote bado masikini ina maana hatuna Mungu? China mbona hawaamini Mungu na wana maendeleo?

Illogical reasoning

Ndio mana dhana ya mungu hawa wa kutoka middle east huwa siimini,ni dhana ya kufikirika yenye lengo la kuwagawa watu na kutawala fikra ili kuwa tawala wanadamu wajinga.
 

Sinai ilirudishwa misri.
 
Mlitakiwa muwape Israel eneo wakae kwa sababu wapalestine ile ni ardhi yao. Israel alikaribishwa tu kupewa hifadhi ndo akajikita kuwatoa palestina kimabavu
 
Suluhu kuwe na nchi mbililakini siyo kila siku taifa teule linachukua aridhi ya watu alafu achiwe abadani hiyo haiwezekani.
 
1 Ndio, Wapalestina wanaweza kushinda.
2.
Your browser is not able to display this video.
Sikilza hiyo. Vita hivi kila mtu ana nadharia yake. Jitahidi kuzitambua ili michango ilete faida. Hapa hakuna paukwa pakawa.
3. Wataendelea kupigania haki zao hadi mwisho, kama ilivyo kwa Israel.
4. Kama ilivyo kwa Wapalestina, nao hawatakubali, na ndo maana halisi ya mapambano.
5 Ndiyo, linathamani kubwa kwao kama ilivyo kwa Israel.

NB: Kwenye vita hivi kila upande unadai kuwa na haki, hivyo watu hupigania haki yao ili waipate.
 
7. Wapalestin na waarabu hawaoni haki ya myahudi kuwepo hapo,na walijaribu mara nyingi kuanzisha vita ili kuwaondoa wayahudi hapo na wengine wamejiapiza kwa mujibu wa mafundisho yao kuwa wataiangamiza israel,wewe unazungumzia haki zipi kwa mfano?
Pengine ama umesahau au hujui. Waisrael wanaendelea kupanua makaazi kwenye ardhi ya Wapalestina; nilitarajia hili unalielewa. Wapalestina wanapigania haki ya ardhi ambayo Israel wanaendelea kuichukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…