Suluhisho la vita ya Mashariki ya kati ni kwa Wapalestina kutulia au kuhama kabisa pale Gaza

Suluhisho la vita ya Mashariki ya kati ni kwa Wapalestina kutulia au kuhama kabisa pale Gaza

uzito wa kufikiri, Golan heights, Sinai na maeneo ya Jordan unajua chanzo cha Israel kukalia maeneo hayo?
Sasa usije na BS ya kusema sijui wamefuata Bible sijui UN, maana Golan Heights, Jordan, na Sinai vis a vis UN na Biblia ni wapi na wapi?
Toa mahaba yako hapo na ujinga mnaojazana huko madrasa ok, kama hujui unauliza kwa ustarabu braza then unaeleweshwa o
Mie sio muislam ni mkristo pure kabisa so tuijadili kisiasa tu.
Sinai yalirudishwa je unajua chanzo na sababu za kuyaachia maeneo hayo?
Usibadili mjadala wewe umesema maeneo wanayokalia sijui kibiblia ndio unieleze hapa huko Golan Heights nako walifuata Bible? Au hiyo so-called UN resolution ya 1947 ndio iliwapa mandate hiyo?
 
Unafahamu kuwa kuanzia juzo kambi za Jeshi la Marekani zilizopo Syria na Iraq zinarushiwa mabomu?

Kuna watu wasiojulikana huko Mashariki ya Kati wameshatangaza, Mmarekani yoyote na chochote cha Wamarekani duniani ni halali yao.

Mambo sasa hivi yanaelekwa kuwa "out of control".
 
Tatizo lako moja tu ndugu wewe ni mzito kufikiri, huko hakukuwa Uyahudini ok, kulikuwa ni ugenini, Uyahudini ndio pale Israel na sasa wamesimama kwao so wapalestina watulie
Hoja yake ni kwamba palestina wamekataliwa kila walipoenda ndio nimemuambia kuwa hata wayahudi wamekataliwa kila walipoenda nimetoa na mifano ya France, Russia, Germany etc.

Uwe unaelewa kwanza unachojibu kabla ya kuquote
 
Uyahudini ndio pale Israel na sasa wamesimama kwao so wapalestina watulie
Watulie? Kwani West Bank hawajatulia? Kule hakuna Hamas ila mbona kila siku mnawaua na kupora ardhi yao?

Wewe sema tu unaunga mkono sababu ulikaririshwa tokea udogoni Sunday school ila usitafute justification ya kisiasa au kijamii maana HAIPO!
 
ile mipaka iliyowekwa na UN mwaka 1947,
So UN ndio alpha na omega? Mara ngapi UN imefanya resolutions kulaani uvamizi wa Israel je mmewahi kuheshimu? Au resolutions ikiwa on your favor ndio UN inakua nzuri?
 
Acha ujinga Palestina haikaliwi kwa ubavu, katika nchi ambayo mipaka yake imezungumzwa wazi wazi kwenye vitabu vya dini na kihistoria ni ISRAEL na sio SOUTH AFRICA wala TANZANIA

Israel nchi ile ni ya JEWS hata UN wanajua sasa mpumbavu mmoja kutoka Taita Taveta hata elimu hauna unatwambia nini hapa
Resolution 252: (21 May) " ... 'declares invalid' Israel's acts to unify Jerusalem as Jewish capital".
 
We kweli hamnazo.Tukija kutawaka Zanzibar na kuwakaba koo, wewe utsindoka tu kwa vile umezidiwa?
Kwani shida iko wapi?
Hivi ni lazima upigane vita ili uishi?
Nahama tu kuepusha shari zaidi na kuendelea kuishi tena kuishi kwa amani.
 
1. Kama ni suluhisho basi Waizraili nao waondoke maeneo hayo na sio Wapalestina pekee.
2. Unazungumzia chokochoko za Hamas na kuwasahau wanaowasaidia Waizrail ambao ni akina Marekani na washirika wake. Hili hujaliona?
3. Pamoja na kuhitaji msaada, Wapalestina wanapigania haki yao ya kuishi bila kujali watasaidiwa na nchi yoyote iwayo.
4. Ukisema eneo la Ghaza ni dogo hivyo Wapalestina wasilipiganie, huo udogo haubadiliki kuwa ni ukubwa kwa Israel kulipigania kwa nguvu zote. Udogo unapaswa kuonekana na pande zote na sio Wapalestina pekee. Hili nalo ulijue.
5. Ukisema Israel ndio wanamiliki Ghaza kwa namna yoyote, wengine wanasema Wapalestina ndio wanamilki Ghaza ndo sababu kubwa wanalipigania.
6. Ikiwa Israel ina dhamira na nguvu ya kuwakandamiza Wapalestina, kama unavodai, waendelee kufanya hivyo na Wapaestina wataendelea kuipigania ardhi hiyo hadi mwisho.
7. Hakuna wafia dini, kama unavyodai, wanaotaka vita iendelee ila kinachotakiwa ni kupatikana haki kwa kila upande.
8. Ni kweli tumechoka na vita na hatutaki vita. Maneno haya yanapaswa kuonekana kwa vitendo na moyo wa dhati kuanzia kusema, kuandika na katika nyanja zote. Uzi huu hauna sifa hizo. Kwa hivyo nadhani yanasemwa mdomoni, yanaadikwa makaratasini huku kukiwa hakuna imani ya kinachosemwa na kinachoandikwa. Au ndo ule msemo wetu Waswahili "mkuki kwa ngurue, kwa binadamu mchungu?"

7. Wapalestin na waarabu hawaoni haki ya myahudi kuwepo hapo,na walijaribu mara nyingi kuanzisha vita ili kuwaondoa wayahudi hapo na wengine wamejiapiza kwa mujibu wa mafundisho yao kuwa wataiangamiza israel,wewe unazungumzia haki zipi kwa mfano?
 
Acheni kuongea msivyovijua, mfano golan heights ni eneo la Syria ila Israel amelikalia kimabavu na yenyewe ilijadiliwa kwenye UN? Same to West Bank kuna maeneo yalinyofolewa Jordan hapo bado kipande cha Sinai kule Misri kilikaliwa kimabavu!!

Acheni justification, kama UN ndio kila kitu kwani mara ngapi UN resolutions zimefanyika kupinga uvamizi wa Israel huko Palestina na hamjaingia humu kusema Israel iheshimu maazimio ya UN?

Au pendekezo likilazimisha palestina linakua halali ila likiipinga Israel linakua batili? Hizi ndimi mbili kwa faida ya nani
Hizo sehem ulizozitaja unajua ni kwa nini Israel inazikalia??
 
Mbona waisrael million 6 walichinjwa na Hitler unataka kusema Mungu wao hayupo? Sisi waTanzania hatuna dini? Mbona miaka yote bado masikini ina maana hatuna Mungu? China mbona hawaamini Mungu na wana maendeleo?

Illogical reasoning

Ndio mana dhana ya mungu hawa wa kutoka middle east huwa siimini,ni dhana ya kufikirika yenye lengo la kuwagawa watu na kutawala fikra ili kuwa tawala wanadamu wajinga.
 
Acheni kuongea msivyovijua, mfano golan heights ni eneo la Syria ila Israel amelikalia kimabavu na yenyewe ilijadiliwa kwenye UN? Same to West Bank kuna maeneo yalinyofolewa Jordan hapo bado kipande cha Sinai kule Misri kilikaliwa kimabavu!!

Acheni justification, kama UN ndio kila kitu kwani mara ngapi UN resolutions zimefanyika kupinga uvamizi wa Israel huko Palestina na hamjaingia humu kusema Israel iheshimu maazimio ya UN?

Au pendekezo likilazimisha palestina linakua halali ila likiipinga Israel linakua batili? Hizi ndimi mbili kwa faida ya nani

Sinai ilirudishwa misri.
 
Hapa kwetu ni pakubwa, isingekuwa udini wao tungewapa msomera wakaishi huko kama wahamiaji na baadae kuwa raia wa nchi hii. Congo mashariki nako ni pakubwa kuliko msomera ila huko nako moto unawaka hapajatulia. Wapalestina wakae watengeneze amani na israel kwa kuchoreana mipaka ya mataifa yao na wasichokozane. Wengine wanaweza kuondoka kwa amani kwenda mataifa mengine duniani kuomba uraia huko na maisha yakaendelea
Mlitakiwa muwape Israel eneo wakae kwa sababu wapalestine ile ni ardhi yao. Israel alikaribishwa tu kupewa hifadhi ndo akajikita kuwatoa palestina kimabavu
 
Suluhu kuwe na nchi mbililakini siyo kila siku taifa teule linachukua aridhi ya watu alafu achiwe abadani hiyo haiwezekani.
 
Nimekusoma na kukuelewa.
Nataka kukuuliza haya maswali.
1. Hizi unadhani katika mazingira haya, wapalestina wanaweza kushinda hii vita?

2. Toka wapalestina waanze chokochoko za kupambana na Israel mpaka sasa, wapalestina wamefanikiwa kwa lipi katika kurudisha ardhi yao, kuishi kwa uhuru na kuepusha maafa kwa raia wa kipalestina?

3. Nini kitaendelea kwa wapalestina ikiwa vita hii itaendelea kwa muda mrefu zaidi?

4. Hivi unadhani ipo siku Israel kwa hiari yake tu au kushinikizwa kwa maneno ataamua kuandoka na kuyaacha hayo maeneo ya Gaza kwa wapalestina?

5. Hivi unaamini hilo eneo lina thamani kubwa kimaisha (kuishi kwa raha, furaha, amani, uhuru na mafanikio ya kiuchumi) kwa wapelestina kuliko sehemu zingine duniani?
1 Ndio, Wapalestina wanaweza kushinda.
2.
Sikilza hiyo. Vita hivi kila mtu ana nadharia yake. Jitahidi kuzitambua ili michango ilete faida. Hapa hakuna paukwa pakawa.
3. Wataendelea kupigania haki zao hadi mwisho, kama ilivyo kwa Israel.
4. Kama ilivyo kwa Wapalestina, nao hawatakubali, na ndo maana halisi ya mapambano.
5 Ndiyo, linathamani kubwa kwao kama ilivyo kwa Israel.

NB: Kwenye vita hivi kila upande unadai kuwa na haki, hivyo watu hupigania haki yao ili waipate.
 
7. Wapalestin na waarabu hawaoni haki ya myahudi kuwepo hapo,na walijaribu mara nyingi kuanzisha vita ili kuwaondoa wayahudi hapo na wengine wamejiapiza kwa mujibu wa mafundisho yao kuwa wataiangamiza israel,wewe unazungumzia haki zipi kwa mfano?
Pengine ama umesahau au hujui. Waisrael wanaendelea kupanua makaazi kwenye ardhi ya Wapalestina; nilitarajia hili unalielewa. Wapalestina wanapigania haki ya ardhi ambayo Israel wanaendelea kuichukua.
 
Back
Top Bottom