Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Jeshi na kilimo wapi na wapi hizo sio kazi zao za msingi jeshi linahusika na ulinziJESHI LETU HALINA KAZI YOYOTE ZAIDI YA KUPASUA MATOFALI NA KUISAIDIA CCM.
Ndio maana nikikwambia akili yako ni ndogo sana.
JWTZ, JKT
HAWA WATU WANGEWEKEZA NGUVU ZAIDI KWENYE.
1. Kilimo kulisha Dunia.
2. Ujenzi wa Maghala ya kuhifadhi vyakula.
3. Ujenzi wa Barabara kusafirisha hayo mazao.
4.Ujenzi wa Nyumba.
5. Kutengeneza viatu Maduka kila Wilaya.Nk
WAPUMBAVU HAWANA TEKNOLOJIA YA KUTENGENEZA HATA GOBOLE.
Acha UjingaJeshi na kilimo wapi na wapi hizo sio kazi zao za msingi jeshi linahusika na ulinzi
Jeshi kazi yao msingi sio kilimo ni ulinzi au na hili linahitaji ligiAcha Ujinga
Mimi ningelikuwa na mamlaka ningeligeuza Jeshi la ulinzi kuwa jeshi la Kilimo.
Moja kati ya Kazi za Msingi za Jeshi ni Kulinda Mipaka ya nchi.
1. Wahamoaji haramu wanapita kila siku kuja tanzania na kwenda South.
2. Tunaona kwimbi la Madawa ya Kulevya unga nk
Ukiingia ndani ya nchi.
3. Utekaji na Mauji yanayoendelea.
HII NCHI HAINA JESHI DOGO.
INAMUUNGANIKO WA WAPUSUA MAWE.
Qualification zinaboreshwa iwe ni form six aliyepata division 1 au 2Kwani qualification za kuingia SUMA JKT zikoje, tuanzie hapo
form four aliyepata fourKwani qualification za kuingia SUMA JKT zikoje, tuanzie hapo
Alafu tunataka miujizaform four aliyepata four
SIo kazi za msingi za jeshiWenzenu wanatengeneza makalasha ya kusaga kokoto uko msoga, kunduchi na mikoani. Pia kwa kumbukumbu zangu vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM.
Kazi ni kipimo cha utu
Soma tena nimesema qualifucation ziboreshwe iwe ni form six aliyepata division 1 au 2Alafu tunataka miujiza
Ngoja tusubiri hizi innovationsQualification zinaboreshwa iwe ni form six aliyepata division 1 au 2
Huwezi kutaka kutengeneza missile, drone, satellite na GPS tracker kwa kutegemea watu wa darasa la 7 au form four failureHivi unadhani nguvu kazi kubwa ya jeshi inayohitajika ni akili hata huko dunia ya 3 wewe ndugu?
Unafahamu hadi leo hii darasa la 7 anakuwa mwanajeshi unajua kwanini?
Acha kabisa kuwa mjuaji achaa
Acha uongoDiv iv tena ya 33 ndio hasa msingi wa jeshi lolote lile duniani.
Acha basi utani Braza..😃😃Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo
Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2
Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye manufacturing
Kama
- Drone
- GPS tracker
- Armoured vehicle
- Bunduki
- Missile
- Interceptor
- Satellite
- Na nyingine nyingi
- Iron dome
Vifaa vingine watazalisha wao direct vingine watazalisha kwa ushirikiano na kampuni zinazozalisha hizo silaha
Mfano sahivi kama tugekuwa tunazalisha hizo silaaha basi kama nchi tungekuwa tunauza sana wakati huu dunia ikiwa uwanja wa vurugu na tungeingiza mapato mengi sana
Silaha na vifaa vya kijeshi zinafedha sana na zitaendelea kuwa na fedha sababu haijawahitokea dunia ikapita miaka 10 bila kuwa na vita sehemu yeyote ile
Dunia ya sasa imebadilika buda Vita havitaki nguvu ya kupasua matofali tena kama zamani bali akili kumkichwa sasa huyo darasa la saba au form4 failure atakusaidia nini sembuse Kulenga range tu inabidi uwe na elimu ya utulivuHivi unadhani nguvu kazi kubwa ya jeshi inayohitajika ni akili hata huko dunia ya 3 wewe ndugu?
Unafahamu hadi leo hii darasa la 7 anakuwa mwanajeshi unajua kwanini?
Acha kabisa kuwa mjuaji achaa