Ni mali ya CCM ndio maana viongozi wanatoka jeshini kuwa wanasiasa na baadaye wanarudi jeshini.Wenzenu wanatengeneza makalasha ya kusaga kokoto uko msoga, kunduchi na mikoani. Pia kwa kumbukumbu zangu vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM.
Kazi ni kipimo cha utu
Wewe ni mjinga haswaIsrael mtu anafariki akiwa vitani akiwa na miaka 20 tayari ni SGT huyu alisoma shule nini? Na alimaliza lini? Mfumo wao wa elimu ukoje?
Haya mtu anakufa vitani akiwa na miaka 23 israel tayari ni captain je kwenye nchi yako inawezekana?
GPS, missile na drone hazihitaji div 1 kuunda
Kuna tofauti kubwa kati ya mazoezi ya kuupa mwili utimamu na ukomavu na mazoezi ya kuumiza mwili. Teknolojia imebadilikaTwende taratibu Jeshi la ardhini ni kitu gani?
Kwanini inasemekana US Navy ni jeshi lenye mazoezi magumu na ya nguvu kushinda jeshi lolote lile duniani?
Mleta uzi ni ANITHI MKUBWA SANA WA AKILI ...UNA DARAJA YA JUU YA UANITHI WA AKILI... UNASTAHILI KUMILIKI GWANDA LA UCHAWA KUTOKA LUMUMBA NA FUNGUO YA GETO MILEMBE.Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo
Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2
Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye manufacturing
Kama
- Drone
- GPS tracker
- Armoured vehicle
- Bunduki
- Missile
- Interceptor
- Satellite
- Na nyingine nyingi
- Iron dome
Vifaa vingine watazalisha wao direct vingine watazalisha kwa ushirikiano na kampuni zinazozalisha hizo silaha
Mfano sahivi kama tugekuwa tunazalisha hizo silaaha basi kama nchi tungekuwa tunauza sana wakati huu dunia ikiwa uwanja wa vurugu na tungeingiza mapato mengi sana
Silaha na vifaa vya kijeshi zinafedha sana na zitaendelea kuwa na fedha sababu haijawahitokea dunia ikapita miaka 10 bila kuwa na vita sehemu yeyote ile
NIKIEA RAIS SUMA JKT HAWATAFANYA KAZI ZA UJENZI WA MAJENGO NA BARABARA
Ujenzi wa barabara? Mbona umeenda mbali sana?Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo
Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2
Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye manufacturing
Kama
- Drone
- GPS tracker
- Armoured vehicle
- Bunduki
- Missile
- Interceptor
- Satellite
- Na nyingine nyingi
- Iron dome
Vifaa vingine watazalisha wao direct vingine watazalisha kwa ushirikiano na kampuni zinazozalisha hizo silaha
Mfano sahivi kama tugekuwa tunazalisha hizo silaaha basi kama nchi tungekuwa tunauza sana wakati huu dunia ikiwa uwanja wa vurugu na tungeingiza mapato mengi sana
Silaha na vifaa vya kijeshi zinafedha sana na zitaendelea kuwa na fedha sababu haijawahitokea dunia ikapita miaka 10 bila kuwa na vita sehemu yeyote ile
NIKIEA RAIS SUMA JKT HAWATAFANYA KAZI ZA UJENZI WA MAJENGO NA BARABARA
Wenzio wanafikiria madili makubwa ya kuuzia silaha Cartel za huko Mexico wewe unasema nini?NIKIEA RAIS SUMA JKT HAWATAFANYA KAZI ZA UJENZI WA MAJENGO NA BARABARA
Na kufagia barabaraWamejikita kwenye kutengeneza clips (snacks)
Unaongelea jeshi gani hili linalofanya deal za udalali wa silaha kwa magenge ya madawa ya kulevya sasa wakisema watengeneze wenyewe hali itakuwaje huko duniani..Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo
Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2
Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye manufacturing
Kama
- Drone
- GPS tracker
- Armoured vehicle
- Bunduki
- Missile
- Interceptor
- Satellite
- Na nyingine nyingi
- Iron dome
Vifaa vingine watazalisha wao direct vingine watazalisha kwa ushirikiano na kampuni zinazozalisha hizo silaha
Mfano sahivi kama tugekuwa tunazalisha hizo silaaha basi kama nchi tungekuwa tunauza sana wakati huu dunia ikiwa uwanja wa vurugu na tungeingiza mapato mengi sana
Silaha na vifaa vya kijeshi zinafedha sana na zitaendelea kuwa na fedha sababu haijawahitokea dunia ikapita miaka 10 bila kuwa na vita sehemu yeyote ile
NIKIEA RAIS SUMA JKT HAWATAFANYA KAZI ZA UJENZI WA MAJENGO NA BARABARA
Itakuwa waliangalia yale ma series ya south america ya kina pablo, na n.k wakaona wajaribu kwenye upande huo wa silaha..ila tumetia aibu sana na fedhea sana sasa Mexico sahivi inachukulia vipi nchi ya Tanzania..!Wenzio wanafikiria madili makubwa ya kuuzia silaha Cartel za huko Mexico wewe unasema nini?
Usiwe mgumu kuelewa Mazoezi wanayofanya yameboreshwa kuendana na mahitaji ya teknolojia ya sasa. Umenichekesha 😂😂 kwani combat training wanapasua matofali?kama kule kabuku? Nikufungue huo upeo wako combat training inahusisha mapambano ya karibu(hand to hand), utumiaji wa silaha,mbinu za kivita,utimamu wa mwili na akili na mengineyo na kamwe huwezi fananisha Mazoezi ya Majeshi ya Nchi zilizoendelea na haya ya Dunia ya 3Ni jeshi lipi ambalo halina combat training duniani lipi ambalo hawaumii?
Lipi hilo litaje
Hilo jeshi la Wajinga na Vilaza ningelipeleka kuwa Jeshi la kilimo.Jeshi kazi yao msingi sio kilimo ni ulinzi au na hili linahitaji ligi
Hakunaga kinaitwa jeshi la kilimo hala duniani
Mjinga sio tusi na wewe ni mjinga sababu hutaki kuelewaKwenye matusi usiende kaa mbali kabisa kama ni lengo la uzi sema nina matusi kinoma hehehe nakuonea huruma nitakutukana mpaka ushangae.
Jikite kwenye uzi wako
Haelewi alafu imagine kuna baadhi ya viongozi wa jeshi wanaakili kama za nafka ni hatari yaani kila wazo ukiwapelekea wanalipiga chiniUsiwe mgumu kuelewa Mazoezi wanayofanya yameboreshwa kuendana na mahitaji ya teknolojia ya sasa. Umenichekesha 😂😂 kwani combat training wanapasua matofali?kama kule kabuku? Nikufungue huo upeo wako combat training inahusisha mapambano ya karibu(hand to hand), utumiaji wa silaha,mbinu za kivita,utimamu wa mwili na akili na mengineyo na kamwe huwezi fananisha Mazoezi ya Majeshi ya Nchi zilizoendelea na haya ya Dunia ya 3
Kwani ukichukua mtu aliyefaulu kwenda jeshini anshindwa nini kufanya hayo mazoeziHapa kipi kimeboreshwa div 1 hapa inakujaje? Usome hadi uwe kipofu uvae ma miwani hapa hutoboi hapa ni chenja na matusi tu ndo moraliView attachment 3694219View attachment 3694220View attachment 3694221
View attachment 3694217View attachment 3694216
Huenda ukawa hujui hii inaitwa Hills to conquer ni moja ya zoezi gumu kingese div 1 inakujaje hapa? View attachment 3694225
Hujui lolote bado. Tafuta njia nyingine ya kunielewesha kwanini div iv ya 33 na darasa la 7 wasiende jeshini
Yani div 1 akafanye mazoezi ya artillery awe kiziwe aache kwenda kukaa kwenye kiti atoke likitambi
HAkuna sehemu kwenye uzi nimesema wanajeshi wasifanye mazoeziView attachment 3694229
Hili ni jeshi ambalo liko more advanced kuliko lolote ulimwenguni wanafanya Rappelling inayofanywa na watu wa RTS Kihangaiko huko
Haya nieleweshe walitakiwa wafanye nini
Tukana ila fahamu hakuna tuzo ya matusi na kutukana sio sifa mjinga weweKakandwe kafilimbwe kushoto na kulia kubabako wewe
Wewe poromosha matusi yaani unantishia na matusi we tukana mjinga weweHoja au matusi? Chagua moja twende nalo
umesahau kuwa SUMA pia ni WALINZI wa OFISI na WASAFISHA BARABARABinafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo