Sumu Kali kupita zote Duniani iliyotumika kumshambulia jasusi Wa Urusi alieasi Akiwa Uingereza

inaonekana si sumu kali sana kama ya panya..
 
Kuna nchi gani sijui walikuwa wamelala fofofo.
Kumbe huku nje ndege zikaanza kumwaga hewa ya sumu na matokeo yake watu wengi sana walikufa wakiwa usingizini.
Je, ndo kama sumu hizi?
Ndio mkuu...

Tena kijiko kimoja tuu cha unga wake inateketeza Dar nzima
 
Ndio faida ya usaliti mkuu
 
Nani ana hiyo kitu atleast hata ijae kakizibo ka soda tumpatie anayefanya vyuma vikaze.
 
Siku watu wasiojulikana wakiipata hii sumu tatakwisha wote.
 
Hicho ndicho wanachokitafuta UK, mengine mbwembwe tu. USA Eti nao wanaunga mkono wazo hilo wakati World Cup hawajafuzu. Kweli Putin kawashika pabaya
 

Unaweza pia kukamilisha misheni yako kwa kupita mule mule though!!
 

Kama alichukua Hela ili hats akifa familia ifaidi hizo Hela sasa Hamna wa kufaidi.

Au ni hivi: ukiasi tunateketeza familia yako na wewe pia.

Hii ni kiboko Kwa walio tayari kujilipua ili jamaa wa familia watakao Baki wafaidi
 
Kama alichukua Hela ili hats akifa familia ifaidi hizo Hela sasa Hamna wa kufaidi.

Au ni hivi: ukiasi tunateketeza familia yako na wewe pia.

Hii ni kiboko Kwa walio tayari kujilipua ili jamaa wa familia watakao Baki wafaidi
Dah so sad aisee.
Na kwa wana wa system wa Tanzania pia wako hv hv au?
Kwa hiyo na mwanangu akihasi system nami nitauliwa?
 
sumu kali kuliko zote? alafu hadi leo bado wanaishi!,aseee msiipe ukali maana haina ukali wowote,kuna sumu zakienyeji ukipewa humalizi sec60.
 
Kusimamisha mapigo ya Moyo, Kugandisha Damu na Kuozesha Ubongo kwa wakati Mmoja........................!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…