Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

si walisema vita mpk Kinshasa ? au walisahau kuwa kuna raia wanaitah kuish vzr , na ww hutumii hata akil kuona hayo maamuz yamekuja ghafla lazima kuna namna
Hamna namna yeyote sababu bado wameshikilia goma wiki ya pili Sasa jamaa wababe sana
 
Hadi Sasa watu zaidi ya 900 Wameuwawa.

Sasa hao M23 ilikuaje wakapoteza wapiganaji wengi kiasi hicho?

Yaani wameiteka Goma Kwa gharama hiyo?

Pia kama ni kweli ilikuaje Wanajenga wa S.A na Tanzania,Burundi,Malawi nk wakashindwa kuzuia kutekwa Kwa Goma?

Kuna harufu ya propaganda hapa
Naungamkono hoja.


Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom