Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

Hongera Sana JWTZ na Africa kusini hakika tunatakiwa kutengeneza alliance Tanzania na south Africa kwa Sasa

Ili kulinda maslahi ya waafrika wasio vibaraka wa wazungu juu ya ukoloni Mambo leo!!

Kagame anatakiwa kulipa garama ya Vita!!
100%
 
Hadi Sasa watu zaidi ya 900 Wameuwawa.

Sasa hao M23 ilikuaje wakapoteza wapiganaji wengi kiasi hicho?

Yaani wameiteka Goma Kwa gharama hiyo?

Pia kama ni kweli ilikuaje Wanajenga wa S.A na Tanzania,Burundi,Malawi nk wakashindwa kuzuia kutekwa Kwa Goma?

Kuna harufu ya propaganda hapa

Inasemekana waliwaua Sake, mapigano ya sake yalikuwa kabla ya Goma.

Jeshi lililopoteza askari 600, linawezaje kusonga mbele na kuteka mji mkubwa wa Goma?
 
View attachment 3224846

Kwa mujibu wa gazeti la Sunday World la Afrika Kusini, Wanajeshi wa Afrika Kusini walipambana vikali na kuwaua waasi 600 wa M23 katika mapigano makali ya saa 24 mjini Sake, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waasi wa M23 walikusanya miili ya wenzao na kuitia moto ili kuficha ushahidi. Wanajeshi wa Afrika Kusini walifuata sheria za kimataifa kwa kuruhusu waasi kuchukua miili ya wenzao walipoinua bendera nyeupe. Katika mapigano hayo, wanajeshi 14 wa Afrika Kusini waliuawa. Rais Cyril Ramaphosa aliwasifu wanajeshi wake kama mashujaa waliokuwa na ujasiri mkubwa na kujitoa kwa dhati kutekeleza majukumu yao barani Afrika.
So 14+14 au sijaelewa Kiswahili?
 
View attachment 3224846

Kwa mujibu wa gazeti la Sunday World la Afrika Kusini, Wanajeshi wa Afrika Kusini walipambana vikali na kuwaua waasi 600 wa M23 katika mapigano makali ya saa 24 mjini Sake, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waasi wa M23 walikusanya miili ya wenzao na kuitia moto ili kuficha ushahidi. Wanajeshi wa Afrika Kusini walifuata sheria za kimataifa kwa kuruhusu waasi kuchukua miili ya wenzao walipoinua bendera nyeupe. Katika mapigano hayo, wanajeshi 14 wa Afrika Kusini waliuawa. Rais Cyril Ramaphosa aliwasifu wanajeshi wake kama mashujaa waliokuwa na ujasiri mkubwa na kujitoa kwa dhati kutekeleza majukumu yao barani Afrika.ivy
Kama hali ilikuuwa hivyo,waliwezeje kuukamata Goma? Wakati Sake ni kabla ya Goma ukitokea Rwanda!
 
Wameachiwa Goma na wamewazunguka wanajeshi wa SADC kwenye kambi yao na kuwanyanganya simu zao kuwaacha na silaha zao kama heshima.Time will tell.

Kumbe ni kweli unit ya JW imeshikiliwa na wanatumika kama human shield na hao waasi!?
Hivyo wanasonga freely tu maana ni ngumu kushambuliwa..
 
Hadi Sasa watu zaidi ya 900 Wameuwawa.

Sasa hao M23 ilikuaje wakapoteza wapiganaji wengi kiasi hicho?

Yaani wameiteka Goma Kwa gharama hiyo?

Pia kama ni kweli ilikuaje Wanajenga wa S.A na Tanzania,Burundi,Malawi nk wakashindwa kuzuia kutekwa Kwa Goma?

Kuna harufu ya propaganda hapa
Inawzekana kuna propaganda lakini pia inawezekana hii taarifa imewekwa iwe ni taarifa fiche kwa kuchanganywa-changanywa lakini kiukweli JW wameshafanya yao.
 
Inawzekana kuna propaganda lakini pia inawezekana hii taarifa imewekwa iwe ni taarifa fiche kwa kuchanganywa-changanywa lakini kiukweli JW wameshafanya yao.
Hamna kitu hapo jw ndio wamepokea kichapo mpaka wametangaza wenyewe kwamba wamechezea kichapo kama unabishana na taarifa ya jeshi lako sawa huenda wewe upo ground maana jamii forum wajuaji mpo wengi sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
View attachment 3224846

Kwa mujibu wa gazeti la Sunday World la Afrika Kusini, Wanajeshi wa Afrika Kusini walipambana vikali na kuwaua waasi 600 wa M23 katika mapigano makali ya saa 24 mjini Sake, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waasi wa M23 walikusanya miili ya wenzao na kuitia moto ili kuficha ushahidi. Wanajeshi wa Afrika Kusini walifuata sheria za kimataifa kwa kuruhusu waasi kuchukua miili ya wenzao walipoinua bendera nyeupe. Katika mapigano hayo, wanajeshi 14 wa Afrika Kusini waliuawa. Rais Cyril Ramaphosa aliwasifu wanajeshi wake kama mashujaa waliokuwa na ujasiri mkubwa na kujitoa kwa dhati kutekeleza majukumu yao barani Afrika.
sio rahisi kihivyo, sasa mbona majamaa bado yanazurura tu goma na hakuna wa kuwafanya kitu. wametawala goma hadi leo.
 
Back
Top Bottom