Super Power aomba msaada wa kijeshi kutoka kwa Ukraine ili wasaidiane kupambana na Iran

6 Pack

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
3,952
Reaction score
8,807
Niaje waungwa

Hii habari ingeandikwa na Al Jazeera misukule ya Netanyahu ingesema ni uongo, lkn kwa bahati nzuri imeandikwa na gazeti lao wenyewe kupitia kauli halali ya raisi wa Ukraine Mr Zelensky.

Inapofikia hatua ya super power kumuomba maiti sanda, au muuguzi kumuomba mgonjwa uji, basi ujue huyo muombaji anakuwa tayari katika hali mbaya mno, kiasi cha kupelekea kumuomba yule anaetakiwa kusaidiwa.

Tayari nchi 2 tulizoaminishwa zina nguvu zipo kwenye vita dhidi ya nchi 1 waliyoiwekea vikwazo vya muda mrefu ili kuidhoofisha na kuiangamiza. Lakini cha kushangaza bado nchi hiyo yenye vikwazo imesababisha super power waonekane wachovu kwa kumchangia na kuendelea kuomba msaada wa nchi nyingine ziongezeke kupambana nae 🤣🤣🤣🤣

Tukiachana na uviziaji wanaofanyaga kupambana na Iran, kama vile kukimbilia kuuwa viongozi nk, kwa vita ya ana kwa ana hawa wanaojiita super power ni wepesi mno katika medali za kivita. Hadi kupelekea kutaka kuziingiza nchi nyingine za Ulaya ziingie kuwasaidia 🤣🤣🤣

Mwamba Iran inaendelea kupanga kete zake mdogo mdogo huku watazamaji tukiendelea kusikia milio mbali mbali ya maumivu kutokea upande wa pili.
Screenshot_20260306-083312.png
Screenshot_20260306-083304.png
 
Ww akili zako zipo Sawa?
Nafikiri ungemuuliza mume wako Shetaninyau na shemej yako Trump kwamba kwanini wameingia kwenye vita kwa mbwembwe halaf leo hii wanaanza kuomba msaada kwa nchi nyingine?

Shetaninyau si mumeo unalala nae kitanda kimoja huko mafichoni kwenye banker? So huu ndio muda wa kumuuliza vizuri yeye, sio mimi.
 
Kobaz bwana 🤣🤣🤣kwa hiyo ww unaona marekani kachemka ..hebu amka kapige mswaki kumekucha acha kuota ndoto ..iran anatamani vita iishe
Kumbuka hii ni vita ya nchi 2 kuhangaika kupambana na nchi 1.

Marekani angekuwa hajachemka angeenda vitani peke yake bila kushirikisha nchi nyingine. Nyinyi wavaa pampazi tulieni muone wakubwa wenu wanavyoendelea kupanga foleni ya kwenda kupambana na nchi 1 kudadeki.
 
N
Nafikiri ungemuuliza mume wako Shetaninyau na shemej yako Trump kwamba kwanini wameingia kwenye vita kwa mbwembwe halaf leo hii wanaanza kuomba msaada kwa nchi nyingine?

Shetaninyau si mumeo unalala nae kitanda kimoja huko mafichoni kwenye banker? So huu ndio muda wa kumuuliza vizuri yeye, sio mimi
Nilijua tu ww ni zezeta.
 
Kumbuka hii ni vita ya nchi 2 kuhangaika kupambana na nchi 1.

Marekani angekuwa hajachemka angeenda vitani peke yake bila kushirikisha nchi nyingine. Nyinyi wavaa pampazi tulieni muone wakubwa wenu wanavyoendelea kupanga foleni ya kwenda kupambana na nchi 1 kudadeki.
Mkuu hiyo sio vita ya nchi mbili,
Nyuma ya Marekani na Israel yapo mataifa zaidi ya 7,
Britain pia yumo usipotezwe na comments za prime minister, refer tukio la kuruhusu military base yao kule Diego Garcia 🙏
 
Safari hii Marekani na Israel zimedhalilika vibaya huko Mashariki ya kati. Iran ishasema huu ndio utakuwa mwisho wa Marekani kuwa na kambi ya jeshi mashariki ya kati.
Kobaz 😂
 
Niaje waungwa

Hii habari ingeandikwa na Al Jazeera misukule ya Netanyahu ingesema ni uongo, lkn kwa bahati nzuri imeandikwa na gazeti lao wenyewe kupitia kauli halali ya raisi wa Ukraine Mr Zelensky.

Inapofikia hatua ya super power kumuomba maiti sanda, au muuguzi kumuomba mgonjwa uji, basi ujue huyo muombaji anakuwa tayari katika hali mbaya mno, kiasi cha kupelekea kumuomba yule anaetakiwa kusaidiwa.

Tayari nchi 2 tulizoaminishwa zina nguvu zipo kwenye vita dhidi ya nchi 1 waliyoiwekea vikwazo vya muda mrefu ili kuidhoofisha na kuiangamiza. Lakini cha kushangaza bado nchi hiyo yenye vikwazo imesababisha super power waonekane wachovu kwa kumchangia na kuendelea kuomba msaada wa nchi nyingine ziongezeke kupambana nae 🤣🤣🤣🤣

Tukiachana na uviziaji wanaofanyaga kupambana na Iran, kama vile kukimbilia kuuwa viongozi nk, kwa vita ya ana kwa ana hawa wanaojiita super power ni wepesi mno katika medali za kivita. Hadi kupelekea kutaka kuziingiza nchi nyingine za Ulaya ziingie kuwasaidia 🤣🤣🤣

Mwamba Iran inaendelea kupanga kete zake mdogo mdogo huku watazamaji tukiendelea kusikia milio mbali mbali ya maumivu kutokea upande wa pili.
View attachment 3553445View attachment 3553446
Aisee
 
Wamechokoza nyuki, ngoja wakione cha mtema kuni!
Iran kwa sasa ndio mtemi wa eneo lote. Siku 10 kwenye vita anatoa dozi ya kichapo kwa nchi 8 ambazo ni 👇

1. Bahrain
2. Kuwait
3. Qatar
4. Dubai
5. Saudia
6. Jordan
7. Israel
8. Marekani

Halaf kafunga njia ya mafuta na kupiga marufu kenge yeyote kukatiza katika eneo hilo. Na kweli inakaribia week sasa hakuna kenge aliepeka jeshi wala meli ya kivita kuthubutu kufungua njia 🤣🤣🤣
 
Niaje waungwa

Hii habari ingeandikwa na Al Jazeera misukule ya Netanyahu ingesema ni uongo, lkn kwa bahati nzuri imeandikwa na gazeti lao wenyewe kupitia kauli halali ya raisi wa Ukraine Mr Zelensky.

Inapofikia hatua ya super power kumuomba maiti sanda, au muuguzi kumuomba mgonjwa uji, basi ujue huyo muombaji anakuwa tayari katika hali mbaya mno, kiasi cha kupelekea kumuomba yule anaetakiwa kusaidiwa.

Tayari nchi 2 tulizoaminishwa zina nguvu zipo kwenye vita dhidi ya nchi 1 waliyoiwekea vikwazo vya muda mrefu ili kuidhoofisha na kuiangamiza. Lakini cha kushangaza bado nchi hiyo yenye vikwazo imesababisha super power waonekane wachovu kwa kumchangia na kuendelea kuomba msaada wa nchi nyingine ziongezeke kupambana nae 🤣🤣🤣🤣

Tukiachana na uviziaji wanaofanyaga kupambana na Iran, kama vile kukimbilia kuuwa viongozi nk, kwa vita ya ana kwa ana hawa wanaojiita super power ni wepesi mno katika medali za kivita. Hadi kupelekea kutaka kuziingiza nchi nyingine za Ulaya ziingie kuwasaidia 🤣🤣🤣

Mwamba Iran inaendelea kupanga kete zake mdogo mdogo huku watazamaji tukiendelea kusikia milio mbali mbali ya maumivu kutokea upande wa pili.
View attachment 3553445View attachment 3553446
Ukraine ina uzoefu wa kukabiliana na drone za Iran
 
Naona unatafuta Mme wa kukupa!! Marekani huwezi kulinganisha na Iran kwa vyovyote vile!!

Iran mpaka sasa hivi haina Jeshi la anga na halina wanamaji meli zake zote zimezamishwa na mpaka sasa hivi ndege-vita za Israel zinalimiliki anga lote la Tehran wanajipigia tu popote wanapotaka hawana mpinzani.

Tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini mkishiba tu daku mnakuwa na KAMDOMO hako ndiko Kali Mponza Iran apigwe!!!!!!!
 
Back
Top Bottom