Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Endelea tu kujifariji lakini kipondo kwa Iran bado kinaendelea!!Hizo rada wanazo zitengenezwa ndio zimevurugwa vurugwa hazipo Tena means kama wana rada nyingine ambazo wametengeneza wao USA hazito kuwa na faida yoyote kwao that's why wanataka ku- import mzigo kutoka Nk