Super Power aomba msaada wa kijeshi kutoka kwa Ukraine ili wasaidiane kupambana na Iran

Super Power aomba msaada wa kijeshi kutoka kwa Ukraine ili wasaidiane kupambana na Iran

Iran kwa sasa ndio mtemi wa eneo lote. Siku 10 kwenye vita anatoa dozi ya kichapo kwa nchi 8 ambazo ni 👇

1. Bahrain
2. Kuwait
3. Qatar
4. Dubai
5. Saudia
6. Jordan
7. Israel
8. Marekani

Halaf kafunga njia ya mafuta na kupiga marufu kenge yeyote kukatiza katika eneo hilo. Na kweli inakaribia week sasa hakuna kenge aliepeka jeshi wala meli ya kivita kuthubutu kufungua njia 🤣🤣🤣
Hiyo njia ataifungua atake asitake upo hapo Utaniambia!!!!
 
Mkuu hiyo sio vita ya nchi mbili,
Nyuma ya Marekani na Israel yapo mataifa zaidi ya 7,
Britain pia yumo usipotezwe na comments za prime minister, refer tukio la kuruhusu military base yao kule Diego Garcia 🙏
Basi kama ni vita zaidi ya nchi7 ndio wanazidi kutia aibu kabisa vita zaidi ya Nchi Saba and still Nchi Moja inazidi kuwapa mkong'oto!? What a shame
 
Naona unatafuta Mme wa kukupa!! Marekani huwezi kulinganisha na Iran kwa vyovyote vile!!

Iran mpaka sasa hivi haina Jeshi la anga na halina wanamaji meli zake zote zimezamishwa na mpaka sasa hivi ndege-vita za Israel zinalimiliki anga lote la Tehran wanajipigia tu popote wanapotaka hawana mpinzani.

Tatizo lenu Wafuga Midevu na Majini mkishiba tu daku mnakuwa na KAMDOMO hako ndiko Kali Mponza Iran apigwe!!!!!!!
Jibu hoja USA hawajaenda kuomba msaada Ukraine!?

Hayo unayoleta wewe ni mahubiri speak with fact
 
Hiyo njia ataifungua atake asitake upo hapo Utaniambia!!!!
Dream on Super power wenu wamchongo kaenda Ukraine kuomba msaada pia kaenda N.korea kuomba msaada wa rada ,

Halafu wewe unakaa hapa unaropoka ropoka unadhani Iran ni sawa na kamati ya harusi !? Kama USA haichapiki msaada alioenda kuomba Ukraine ni wakazi Gani !? Kama USA na Israel hawachapiki kwanini Aende N.korea kuomba kupewa rada !?
 
Basi kama ni vita zaidi ya nchi7 ndio wanazodi kutia aibu kabisa vita zaidi ya Nchi Saba and still Nchi Moja inazidi kuwapa mkong'oto!?
Hapana mkuu, kila siku Iran inatembeza mkong'oto kwa nchi 8 na zote analenga target. Kuna 👇

1. Bahrain
2. Qatar
3. Kuwait
4. Saudia
5. Dubai
6. Jordan
7. Israel
8. Marekani

Na sasa kafunga njia ya mafuta hakuna kenge yeyote kukatiza eneo hilo bila ruhusa yake.
 
Aiseee Iran ni lidude likubwa sana tuliongopewa mnoo
 
Dream on Super power wenu wamchongo kaenda Ukraine kuomba msaada pia kaenda N.korea kuomba msaada wa rada ,

Halafu wewe unakaa hapa unaropoka ropoka unadhani Iran ni sawa na kamati ya harusi !? Kama USA haichapiki msaada alioenda kuomba Ukraine ni wakazi Gani !? Kama USA na Israel hawachapiki kwanini Aende N.korea kuomba kupewa rada !?
Marekani kote Wamekosa radar ambayo wao ndiyo walitengeneza leo wakaombe N.Korea inaingia akilini mwako vizuri?
 
Rada zimebondwa hawana rada Tena hapo middle east
Ni ujinga kufikiria nchi kama Marekani kukosa radar ambayo wao wenyewe wanazitengeneza na wana usafiri wa kwenda ku replace!!
 
Ni ujinga kufikiria nchi kama Marekani kukosa radar ambayo wao wenyewe wanazitengeneza na wana usafiri wa kwenda ku replace!!
Hizo rada wanazo zitengenezwa ndio zimevurugwa vurugwa hazipo Tena means kama wana rada nyingine ambazo wametengeneza wao USA hazito kuwa na faida yoyote kwao that's why wanataka ku- import mzigo kutoka Nk
 
Back
Top Bottom