mi kwangu sina receiver na nalipa buku 13 napata chanel 80 zikiwemo beinspot tena mbili,sky sport ambazo naweza pata ligi zote ulaya kubwa 100%.
mkuu hii iko poawa xana...tungeijua hiyo campuni kwa huku Dar ingetuokoa siye...wapenda. Soka...
Kwa wale watu wa michezo hasa soka nadhani wanajua vituo hivi vya tv nguli vya michezo superspot ya south Afrika na bein sports ya Qatar. Sasa kipi bora katika uchambuzi wa michezo na hata matangazo yake?
hakuna hata mmoja yupo zaidi wote wanachukua toka PLTV na wachambuzi
beIN sport ndio mpango mzima
BeIN sports
haipatikani kwenye cable tokea alhamisi tar.5 machi 2015 mpaka sasa hivi
haijarudi. Sijui tatizo ni nini.
kweli kabisa haipatikani wiki sasa
Wapi huko? Huku kwetu ipo, tunafyonza tu!
Bien safi sana, yaani husubiri kuona magoli ya mechi zingine baada ya half time ama full time, wanachofanya ukiwa unaangalia mechi 1 mechi zingine likifungwa goli wanaigawa screen ya tv kukuonyesha lile goli huku ukiendelea kula uhondo wa mechi unayoangalia
Wakuu tuykumbuke Beinsport ni kwa ajili ya Michezo tu, ila super sports ina aina zote za channel.
So super sports ndio mpango mzima, ila tatizo hela.