Supersport na beIn Sports, nani zaidi?

Supersport na beIn Sports, nani zaidi?

mi kwangu sina receiver na nalipa buku 13 napata chanel 80 zikiwemo beinspot tena mbili,sky sport ambazo naweza pata ligi zote ulaya kubwa 100%.

mkuu hii iko poawa xana...tungeijua hiyo campuni kwa huku Dar ingetuokoa siye...wapenda. Soka...
 
mkuu hii iko poawa xana...tungeijua hiyo campuni kwa huku Dar ingetuokoa siye...wapenda. Soka...

kuna jamaa wanaitwa barmedaz tv wapo dar pia ila sijajua kama wameshaanza kusambaza huduma kwa huko.
 
Wadau aje, mnichane channel za bein sport zko kwenye dish ip raia.
 
Be in sport inapatikana east africa
Decoder iko na pia IPTV ambayo inatumia bundles less iko
:cool2:
 
Kwa wale watu wa michezo hasa soka nadhani wanajua vituo hivi vya tv nguli vya michezo superspot ya south Afrika na bein sports ya Qatar. Sasa kipi bora katika uchambuzi wa michezo na hata matangazo yake?

hakuna hata mmoja yupo zaidi wote wanachukua toka PLTV na wachambuzi
 
beIN sport ndio mpango mzima
 

Attachments

  • 1425246196338.jpg
    1425246196338.jpg
    28.4 KB · Views: 426
Bein sport wanarusha wale watu wa huduma ya cable....mfano Barmedas tv mwanza,,mwanza cable tv,,shashi tabora.....yani kilaa mechi unayoiona Supersport hao Bein wanaonesha......wapo vizuri saana sema kwa Dar itakua rahisi kukamatwa sababu wanakua na.maofisi kweny miji mikubwa,,huduma ya cable inapatikana saana Mikoani....
 
BeIN sports haipatikani kwenye cable tokea alhamisi tar.5 machi 2015 mpaka sasa hivi haijarudi. Sijui tatizo ni nini.
 
hapa karatu tunaipata kwa kupitia KARATU CABLE NETWORK.. i dont care kama ni analojia au digitali lakini ubora wake ni wa hali ya juu sana...beIn Sport ni wazuri zaidi ila kuna upungufu mmoja tu, hawaonyeshi mechi za huku kwetu Africa, wanazichambua tu.. pia vipindi vyao vimechanganywa vizuri sanna.
 
Wapi huko? Huku kwetu ipo, tunafyonza tu!

huku mwanza bado, ila kuna jamaa nilimuuliza akasema kuna maafisa wa beinspot wapo huku mwanza ndo maana wameitoa kwa mda hadi jamaa waondoke
 
Bien safi sana, yaani husubiri kuona magoli ya mechi zingine baada ya half time ama full time, wanachofanya ukiwa unaangalia mechi 1 mechi zingine likifungwa goli wanaigawa screen ya tv kukuonyesha lile goli huku ukiendelea kula uhondo wa mechi unayoangalia
 
Bien safi sana, yaani husubiri kuona magoli ya mechi zingine baada ya half time ama full time, wanachofanya ukiwa unaangalia mechi 1 mechi zingine likifungwa goli wanaigawa screen ya tv kukuonyesha lile goli huku ukiendelea kula uhondo wa mechi unayoangalia

hawa bein sport lazima upende waje na huku sub sahara regien coz wanaoparate MENA
 
Wakuu tuykumbuke Beinsport ni kwa ajili ya Michezo tu, ila super sports ina aina zote za channel.
So super sports ndio mpango mzima, ila tatizo hela.


Ninatumia "Bein" decoder, ina chanel za movie nyingi mno pamoja na na za cartoon na za wanyama pia akina national geographic nk..... bein sport 1-19 kwa ajili ya sports pamoja na fox sports.... kwa hiyo siyo kweli kuwa ni ya michezo peke yake. bein iko vizuri kulinganisha na dstv kwa maoni yangu. na chanel zote za michezo ni High definition.
 
being sport nishiiidaaa unawapata nillsat7w yana picha yake ni fuuul hd inauzwa 700000 na inalipiwa dolla 100 kwa mwaka mzimaaaa
 
Back
Top Bottom