Supu ya pweza inanimalizia hela nashindwa kuiacha

Jumlisha na seringeti 2 au 3 ili kushushia mambo! Starehe gharama. Hakikisha na nyumbani unaacha maokoto sio kujipendelea mwenyewe. Haya sasa piga hesabu kwa mwezi. Labda uwe mfanyakzi wa TRA au traffic wa barabarani.
 
Jumlisha na seringeti 2 au 3 ili kushushia mambo! Starehe gharama. Hakikisha na nyumbani unaacha maokoto sio kujipendelea mwenyewe. Haya sasa piga hesabu kwa mwezi. Labda uwe mfanyakzi wa TRA au traffic wa barabarani.
πŸ˜‚
 
Inategemea ni wapi umepita ukaona au umeenda kula bibie...

Sijawahi kula kwasababu ya hayo mazingira yake...kila nakopita sijawahi kuona ule 'ustaarabu' wa hata kufunika...nzi kwao wanafukuzwa kwa kuwapepea πŸ€¦β€β™€οΈ
 
Punguza uwe unakula mchuzi wa buku, wanakuwekea na kipande cha mkia,, pia badala ya KILA siku.. fanya KWa wiki mara 3... Ambaa nayo hiyo ratiba,, badae unapunguza tena mwisho wa siku itakuwa unakunywa mara moja au mbili KILA baada ya wiki 2 au mwezi. ..
 
Kikubwa siyo pombe wala mihadarati, we endelea tu! Pia fikiria kuongeza kipato chako.
Mi kinachonisumbua ni magemu πŸ˜‚ yani kwa wiki namaliza zaidi ya 20k kisa fc24
 
mi nimekuelewa unazungumzia gharama na sio shida supu ya pweza kwanza pole sana utaacha mwenyewe maana tayari mpaka hapo gharama zimeanza kukushinda na umetumia 65600 ambayo ni sawa na 2186 kwa siku mi nabet na sina mpango wa kuacha mwaka jana jumla ya pesa niliyolost ni M.13 .66 na bado staki hata kushauriwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…