Sura ya Mungu kupitia Wajapani

Na sisi ngozi nyeusi tuko kundi gani?
itakuwa shetani wa mwisho kabisa asiyekuwa na hadhi hata ushetanini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.Tushaambiwa mjapani anakuomba radhi kwa kusikia mlio wa simu yake, jitu jeusi linakula mayai ya kuchemsha halafu linajamba kwenye basi huku nje kuna mvua kulazimu kufungwa kwa dirisha halafu linakuangalia wewe kama vile ndie uliejamba.
 
Unajua kwamba maelezo yenye contradiction yanaweza kupatikana hata kwa kitu ambacho unajua kabisa kuwa kipo? Mfano mimi naweza nikatoa maelezo yenye contradiction kumhusu rais wa Tanzania na hali wewe unajua kabisa kuwa rais wa Tanzania yupo na ni Samia suluhu, sasa tukisema kwamba kila maelezo yenye contradiction kwenye kitu fulani basi hitimisho ni kwamba hicho kitu hakipo basi pia tutasema rais wa Tanzania hayupo kwa sababu tu mimi nimetoa maelezo yenye contradiction kumuhusu huyo Rais wa Tanzania.

Lakini pia huo mfano wa chupa haupo kwenye contradiction labda uite ni uongo wa moja kwa moja.
 
Na hicho kitu hicho kinaweza kikawepo hivyo hivyo kama ambavyo maelezo yenye contradiction yalivyo eleza?

Kama hicho kitu kimepatikana kikiwa hakina hizo sifa ambazo zilielezwa kwenye maelezo ya awali (yenye contradiction) basi ni wazi kabisa kuwa hicho kilichopatikana sio kile kilichozungumziwa kwasababu kimekosa unique features ambazo zinakitambulisha kupitia maelezo ya awali

Huwezi ukasema chupa ya chai iliyozungumziwa kuwa ina orbit kwenye jua kuwa ipo kwa kurefer chupa ya chai nyingin ambayo haina sifa ambazo zimezungumziwa kwenye chupa ya chai ya mwanzo
 
Shida ni umasikini tu, umasikini ukiingia basi civilisation ndio inaishia hapo
 
Wewe uliyemtaja Mungu umeambiwa uthibitishe uwepo wa Mungu. Yeye kasema hataki mambo ya kuamini bali anataka fact. Sasa unapomuuliza kama anaamini uwepo wa Mungu au haamini sijui umelenga nini kama ameshasema hataki mambo ya kuamini.
Hakuna binadamu asiye na imani! hata hao tunaosema wapagani ni kwamba tu hawamuamini huyu Mungu ila kuna sehemu huwa wana imani napo!
Kwani Paganism ni kutokumuamini huyu Mungu mkuu ( Alfa and Omega). Ila imani yao ipo sehem nyingine.

So Bwana kiranga na yeye kuna sehemu imani yake ilipo!

Kwahiyo Lazima aulizwe kama anaamini yupo au hayupo hapo ndipo Hekima inapotumika na sio mabishano ya kujiona nani anajua zaidi ya mwenzake.."Hekima"
 
Jamaa huyu anaitwa Kiranga amewabana mbavu, linapokuja suala la kuthibitisha mnatumia mihemko, hasira na akili za hisia kujibu hoja zake.

Wengi wenu hamjui hata ni kwa nini ni waumini wa hizo dini zenu, ili muelewe jikite zaidi kuelewaa nini maana ya 'imani'?

Muumini wa imani ya dini ya kikristo.
Muumini wa imani ya dini ya kiislamu.
Muumini wa imani ya dini ya budha n.k, hizi zote ni imani, dini ni imani na kila dini ina misingi yake.

Kwa hio kuwa mfuasi wa dini fulani, tayari ume base zaidi kwenye spiritual conviction rather than proof ambapo hio ndio imani.

Kiranga na wewe hio ni imani yako, kwa kuamini mungu hayupo ina maana unaamini hakuna maisha baada ya kifo, tukifa tunaishia hapo hapo, hiyo ni imani yako kwani huwezi thibitisha hilo.

Hivyo wewe pia una imani kama wenye dini tu, tofauti zenu mnaamini vitu tofauti.

Imani ni kuamini pasipo evidince sasa unapotaka kuamini kwa evidence lazima uweke evidence ambazo bado zipo ndani ya imani unapotoka nje ya misingi ya imani ndipo hapo unakosa jibu kwa sababu umetoka nje, sawa na tafiti za kisayansi lazima ziwe katika misingi na taratibu za kisayansi.

Huwezi weka facts kwenye suala la imani hapo umetoka kabisa kwenye misingi ya imani.

Dini ni kuamini katika kitu ambacho hukifahamu, mfano ukifanya uzinzi unaona umetenda dhambi lakini dhambi huioni, wala huwezi ishika bali una amini una dhambi, unakwenda kanisani kutubu ukiamini mungu anakusamehe, unatoka kanisani ukiamini mungu amekusamehe, we umejua vipi amekusamehe? unajua vipi ile dhambi haipo?
Kwa maana hakuna sehemu ya kuangalia kama ile dhambi ipo ama haipo, hio ndio imani.

Hivyo kujibu swali la uthibitisho wa uwepo wa mungu kwa kufuata facts mtakesha kwa sababu mnataka kutumia taratibu za kisayansi kwenye imani, beliefs doesnt care about facts.

Hivyo inatosha kabisa kusema kwamba hakuna facts katika imani, which means huwezi tumia proof na facts kuthibitisha uwepo wa mungu.
Thats it.

Kikubwa kila imani ya mtu iheshimiwe, anayeamini, asiyeamini.
 
Point hapo ni hicho kinachokusudiwa, mfano anaweza akaja mtu akasema rais wa Tanzania ni mpole sana na mwengine akasema ni katili, hapo kila mmoja ana mtazamo wake pengine na sababu zake zilizofanya akasema hivyo alivyosema. Lakini hao wote tunajua wanamkusudia Samia suluhu ndio rais wa Tanzania, kwahiyo inaweza kuwa Samia suluhu sio mpole na sio katili ila bado tukawa tunamzungumzia huyo huyo rais wa Tanzania na si mwengine.
 
Usiseme point ni hicho kinachokusudiwa wakati majibu yanayokuja baadaye ni irrelevant na maelezo ambayo yalitolewa

Mimi nimetoa maelezo kuhusu chupa isiyoonekana wala kupimika na kifaa chochote, halafu wewe unakuja kuniletea chupa ya chai unayotumia kwako inayoonekana na ina pimika kuwa ndio hii niliyokuwa naizungumzia

Hapo utakuwa umethibitisha chupa ya chai isiyoonekana au utakuwa umeleta jambo lingine lipya ambalo mimi sijalizungumzia?
 
Watu wengi wanamkosea sana kiranga kwa majibu wanayompa wengi hutumia vitisho tu na kejeri kiranga yeye ni fact tu fact.
 
Unachanganya Dini na MUNGU.. Ni vitu viwili tofauti..

Umesema kiDini ukizini unaona ni dhambi..!! Vipi Kisaynasi unaweza kulala na watu ovyo na ikawa sawa..!!?
 
[emoji108]
 
Ndio maana kila nikijiangalia huwa nawaona hao kama ndugu zangu.

Tunafanana kwa mambo mengi.
Kwajinsi ulivyo hapana. [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

We jamaa hapa umeyumba, huu mfano wako hauna uhalisia, na haufai kupigiwa katika suala la kiimani.

Kwa sababu kama mganga ni muongo, na anadanganya kuhusu dawa.

1.Ima anasema anadawa ambayo hana, lakini hili ni rahisi kudhihirika kwa sababu atatakiwa kuonyesha, sasa kunahajagani ya madaktari kujenga hoja za kumpinga wakati hata hiyo dawa hana.

Au wagonjwa watakaomuendea atawapa dawa gani, ikiwa hana?

2.Au ima anayodawa lakini ni yauongo, hivyo hapa madaktari wajuzi watasema hii dawa ni yauongo lakini sio kusema haipo.

Sasa kinachostaajabisha ni wewe unaejiita daktari mjuzi, unapojenga hoja za kupinga dawa ambayo unasema haipo[emoji3][emoji3][emoji3]

Na hii inaonyesha ni kiasi gani hujui ni maana ya Imani(kuamini)
 
Mkuu nadhani wewe na yeye mnabisha vitu viwili tofauti. Unaposema una amini maana yake una uhakika na mambo yasiyoonekana yaani ya ulimwengu wa kiroho zaidi. Kiranga anaposema uthibitishe sidhani kama ni sahihi maana anataka mambo ya ulimwengu wa kiroho kuyashuhudia katika ulimwengu wa kimwili ili hapa ni swala la imani
 
Kwani hapa tuzungumzia kuhusu kuthibitisha au tunajadili kuhusu contradiction?
 
yes upo sahihi kiongozi! mambo mengi tunayoyaona katika ulimwengu wa mwili chanzo chake ni ulimwengu wa kiroho!
Sasa hii ni mjadala mpana sana tutakapoanza kuongelea mambo ya rohoni! Tuishie hapa hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ