Sura ya Mungu kupitia Wajapani

Sura ya Mungu kupitia Wajapani

Umeongelea agano la kale.. Hiyo ni kwenye dini.. Imani ya Kikristo.. Mimi sijasema imani yangu.. Unaniuliza kitu nisichofungamana nacho..

Kama uliyosema Dini ni utaratibu.. Hayo mambo ya mawe ilikuwa huko kwenye sheria ya Musa.. Israel.. Miaka hiyo ya agano la kale mtu waAfrica ukizini utapigwa mawe..!!?

Kingine.. Unatumia common sense sehemu ambayo hakuna sheria..
Ukifika kwenye barabarani kwenye junction.. Kama hakuna taa zinazofanya kazi utatumia common sense jinsi ya kupita.. Ila kama kuna taa.. Fuata sheria..!
Hujanijibu swali langu.

Ukifuata common sense kuprove uwepo wa mungu kuna mahala common sense inakupinga.
 
Hujanijibu swali langu.

Ukifuata common sense kuprove uwepo wa mungu kuna mahala common sense inakupinga.
Jibu lipo humo humo..
Kuna mahali walimpeleka mzinzi apigwe mawe.. Wakaambiwa ambaye hana dhambi aanze kumpiga.. Wakaondoka hapo mmoja mmoja...Huoni hapo ilitumika common sense..!!!

Wewe unachotaka ni kuprove.. Common sense haina proof.. Ni sense..!
Kama ukiiba hufeel chochote ndani yako hakuna namna ninaweza prove kuiba ni mbaya..!
 
Hakuna namna unaweza kuhakiki uwepo wa mungu nje ya misingi ya kiimani.

Zaidi ya hapo ni porojo tu.
 
Ni kweli Mungu mwenye sifa hizo hawezi kuwepo labda kama utataka kumpunguzia hizo sifa (ambapo hatakuwa tofauti na sisi) ili aweze ku fit kwenye dhana ya
Mwenye sifa zipi?
 
Shida na mashaka yako, yapo katika uweza wa Mungu na Hii haiondoi uwepo wa Mungu. Kwa kufipi unakubali Mungu yupo ila una Hoji maaumizi ya uweza wake. Labda tu nikwambie ukifananisha uwezo wa kinadamu na KiMungu basi lazima upate contradiction kwa sababu wewe utashangaa uwezo wa Dexterous kuwa Mara na Geneva kwa wakati mmoja ni jambo lisilowezekana lakini Mungu huyohuyo yupo past, present na future kwa wakati mmoja kwahiyo ni kwa mtu asiye na akili tu ndo ataona kama Mungu sio mweza.
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo, ukiondoka kwenye maelezo matupu ya siyo na uthibitisho?

Maana kama ni kupiga hadithi tu, hata mimi naweza kukuambia kwamba kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara.

Naweza kukuambia mimi ndiye Mungu, wewe huwezi kujua tu.

Je, hilo linanifanya niwe Mungu?

Pembetatu duara itakuwepo?

Mimi kusema hivyo hakufanyi pembetatu hiyo iwepo.

Au naweza kusema kuna mtu anaitwa Shokolokabangoshee ni balozi wa dunia nzima.

Wakati mtu huyo hayupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu unaoruhusu mabaya hayupo, hoja ya kuwepo kwake inqjipinga yenyewe.

Na zaidi ya huyo, hujaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu mwingine yeyote.
 
Ukishakuwa Kipofu..hakuna namna ninaweza kukuhakikishia kuna Mwanga..!
Kipofu haoni lakini akisimama juani atahisi joto la jua.

Ndio hapa huwa mnaishia mkikosa facts ambazo hazipo ndani ya imani, wengi wenu ni vijembe, nahau za kiswahili wengine huwa ni matusi n.k lakini nilijibu vizuri tu kwamba imani ni imani, sayansi ni sayansi.

Kutaka kutumia sayansi kwenye imani haiwezekani au vice versa.

Jioni njema.
 
Hakuna namna unaweza kuhakiki uwepo wa mungu nje ya misingi ya kiimani.

Zaidi ya hapo ni porojo tu.
Imani unaweza kuamini chochote, hata uongo.

Sasa utajuaje unachoamini ni kweli kama unakwenda kwa misingi ya imani tu?
 
Kipofu haoni lakini akisimama juani atahisi joto la jua.

Ndio hapa huwa mnaishia mkikosa facts ambazo hazipo ndani ya imani, wengi wenu ni vijembe, nahau za kiswahili wengine huwa ni matusi n.k lakini nilijibu vizuri tu kwamba imani ni imani, sayansi ni sayansi.

Kutaka kutumia sayansi kwenye imani haiwezekani au vice versa.

Jioni njema.
Aisee vijembe tena.. hatari kweli.. Akisimama juani atahisi joto la jua..
Usiku akisimama pembeni ya moto atahisi!!!? Sio kila joto ni la jua.. Na sio kila jua lina joto..
Mimi naongelea kuona.. Wewe kuhisi.. Hatari tupu..!

Ikija mambo ya MUNGU hakuna sehemu ya Sayansi wala Imani.. Ni Common Sense..!
Sijaelewa kwanini unakimbilia kwenye imani wakati mimi siamini..!
 
Hata huo moto unatoa mwanga ndio maana anahisi joto.
 
Hata huo moto unatoa mwanga ndio maana anahisi joto.
Whaaaat.. Kipofu changamoto yake ni kuhisi au kuona..!!?
Kwahiyo nikichukua pasi ya moto nikaweka karibu yake.. Lile joto atasema ni mwanga wa jua au wa mshumaa..!!?
Sio kila moto una mwanga..!!!
 
Kwa sababu ni mwisho wa uwezo wetu wa kufikiri kama mwanadamu.
Unajuaje mwisho wa kufikiri kama mwanadamu uko wapi kwa kufikiri kama mwanadamu?

That's against Godel's Incompleteness Theorems.
 
Back
Top Bottom