Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,553
Hujanijibu swali langu.Umeongelea agano la kale.. Hiyo ni kwenye dini.. Imani ya Kikristo.. Mimi sijasema imani yangu.. Unaniuliza kitu nisichofungamana nacho..
Kama uliyosema Dini ni utaratibu.. Hayo mambo ya mawe ilikuwa huko kwenye sheria ya Musa.. Israel.. Miaka hiyo ya agano la kale mtu waAfrica ukizini utapigwa mawe..!!?
Kingine.. Unatumia common sense sehemu ambayo hakuna sheria..
Ukifika kwenye barabarani kwenye junction.. Kama hakuna taa zinazofanya kazi utatumia common sense jinsi ya kupita.. Ila kama kuna taa.. Fuata sheria..!
Ukifuata common sense kuprove uwepo wa mungu kuna mahala common sense inakupinga.