Pamoja kiongoziyes upo sahihi kiongozi! mambo mengi tunayoyaona katika ulimwengu wa mwili chanzo chake ni ulimwengu wa kiroho!
Sasa hii ni mjadala mpana sana tutakapoanza kuongelea mambo ya rohoni! Tuishie hapa hapa!
Kuamini Mungu yupo tayari ni imani hio, ndio maana tunarudi sasaa kwenye kiini cha imani yako juu ya uwepo wa mungu, hapo ndipo utakuta evidence na facts za kiimani kuhusu uwepo wa mungu.Unachanganya Dini na MUNGU.. Ni vitu viwili tofauti..
Umesema kiDini ukizini unaona ni dhambi..!! Vipi Kisaynasi unaweza kulala na watu ovyo na ikawa sawa..!!?
Tunajadili vyoteKwani hapa tuzungumzia kuhusu kuthibitisha au tunajadili kuhusu contradiction?
Uwepo wa MUNGU sio jambo la kuamini.. Ni jambo unatakiwa ujue.. Imani ni uhakika wa mambo yatarajiwayo.. MUNGU hatumtarajii.. Yupo tangu mwanzo..!Kuamini Mungu yupo tayari ni imani hio, ndio maana tunarudi sasaa kwenye kiini cha imani yako juu ya uwepo wa mungu, hapo ndipo utakuta evidence na facts za kiimani kuhusu uwepo wa mungu.
Wala sikuchaanganya, dini ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu kuanzia kula, kuabudu, kulala n.k..
Kujadili uwepo wa mungu lazima tayari kunafungamana na imani moja kwa moja kwa maana hio ni imani tayari na wewe ni muumini.
Kalala na watu hovyo sio sawa katika sayansi na dini, lakini kuna sababu tofauti ambayo inapinga hio tabia,dini ina sababu zake na sayansi ina sababu zake.Unachanganya Dini na MUNGU.. Ni vitu viwili tofauti..
Umesema kiDini ukizini unaona ni dhambi..!! Vipi Kisaynasi unaweza kulala na watu ovyo na ikawa sawa..!!?
Kiimani upo sawa, ukija kwenye facts utaleta facts ambazo misingi yake ni imani.Uwepo wa MUNGU sio jambo la kuamini.. Ni jambo unatakiwa ujue.. Imani ni uhakika wa mambo yatarajiwayo.. MUNGU hatumtarajii.. Yupo tangu mwanzo..!
Hili sio swala la imani.. Ni common sense tuu..!
Shida na mashaka yako, yapo katika uweza wa Mungu na Hii haiondoi uwepo wa Mungu. Kwa kufipi unakubali Mungu yupo ila una Hoji maaumizi ya uweza wake. Labda tu nikwambie ukifananisha uwezo wa kinadamu na KiMungu basi lazima upate contradiction kwa sababu wewe utashangaa uwezo wa Dexterous kuwa Mara na Geneva kwa wakati mmoja ni jambo lisilowezekana lakini Mungu huyohuyo yupo past, present na future kwa wakati mmoja kwahiyo ni kwa mtu asiye na akili tu ndo ataona kama Mungu sio mweza.Mkuu, tumekubaliana jambo lenye contradiction isiyotatulika linaonesha uongo. Dexterous ambaye anasemwa yupo Serengeti na Geneva kwa wakati huo huo hayupo, ni wa kufikirika tu.
Ukipewa kesi ya wizi physically benki Geneva, ukaweza kumuhakikishia Jaji kuwa muda huo ulikuwa Serengeti Mara, utakuwa umeihakikishia mahakama kuwa huyo aliyeiba physically Geneva wakati wewe uko Serengeti si wewe.
Kumbuka, Dexterous aliye Serengeti si sawa na Dexterous anayeweza kuwa Serengeti na Geneva kwa wakati huohuo.
Wa Serengeti tu anawezekana kuwepo. Wa Geneva tu anawezekana kuwepo. Anayekuwa Serengeti na Geneva kwa wakati mmoja hayupo. Ni jambo la kufikirika tu kwamba kuna Dexterous anayeweza kuwa Geneva na Serengeti kwa wakati mmoja.
Sasa basi.
Mungu muweza wa yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote aliweza au hakuweza kuumba ulimwengu ambao maovu hayapo, hayawezi kuwepo, hayawezi hata kufikirika na hivyo hayawezi kutendeka?
Kama aliweza, kwa nini hakuumba ulimwengu huo? Kama aliweza, na hakuumba tu, kwa kuwa hakuumba ulimwengu huo, Je, ni kweli kuna Mungu mwenye upendo na rehema zote? Haiyumkiniki Mungu mwenye upendo na rehema zote, mwenye uwezo wote, ujuzi wote, aumbe ulimwengu ambao mabaya na maovu yanaweza kutokea.
Kama alitaka kuumba ulimwengu huo, kwa mapenzi na rehema zake, ila hakuweza tu, je, ni kweli Mungu ana uwezo wote? Mbona alitaka kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani ila akashindwa tu?
Mungu muweza yote anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi asiweze kulibeba?
Kama anaweza, Mungu huyo si muweza yote, maana kutakuwa na jiwe hawezi kulibeba.
Kama hawezi, Mungu huyo si muweza yote, maana hawezi kuumba jiwe ambalo hawezi kulibeba.
Unaona jinsi dhana ya Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo/ rehema zote ilivyo na utata ukiiangalia kwa umakini wa kimantiki?
Achana na hizo sababu ulizopewa kwenye Dini au Sayansi.. Wewe common sense yako inasemaje..!!?Kalala na watu hovyo sio sawa katika sayansi na dini, lakini kuna sababu tofauti ambayo inapinga hio tabia,dini ina sababu zake na sayansi ina sababu zake.
Sina evidence wala fact ya kiimani.. Mimi natumia common sense..!Kiimani upo sawa, ukija kwenye facts utaleta facts ambazo misingi yake ni imani.
Ukija kwenye evidence utaleta evidence za kiimani, huwezi toka nje ya huo mzunguko, ukijitahidi kutoka hutokuwa na fact hata moja.
Kwa hio endelea kuamini hivyo mkuu na hio ndio maana ya imani.
Huko kutajwa Mungu,na watu wengi,ndio kuwepo kwake.Ustaarabu wafanye Wajapani, sifa umpe Mungu?
Thibitisha huyo Mungu yupo kwanza.
Huko kutajwa Mungu,na watu wengi ndio kuweko kwake.Ngoja niweke kambi hapa, labda leo tutapata uthibitisho wa uwepo wa mungu.
Sifahamu ningejisikiaje.Achana na hizo sababu ulizopewa kwenye Dini au Sayansi.. Wewe common sense yako inasemaje..!!?
Bila kuambiwa na Dini au Sayansi how ungefeel kulala na watu ovyo..!!?
Huko kutajwa Mungu,na watu wengi,ndio uwepo wa Mungu.Mimi nakumbusha ustaarabu ni wa Wajapani, Mungu kasingiziwa tu.
Hivyo, hata sisi tunaweza kuwa wastaarabu, hatuhitaji upendeleo wa Mungu wala kuomba kwa Mungu.
Mimi ndiye nasisitiza Wajapani na kuondoa mawenge ya uongo wa Mungu.
Huko kutajwa Mungu,na watu wengi,ndio uwepo wa Mungu.Sitaki kuamini, nataka kujua.
Thibitisha Mungu yupo.
Kundi la yule kiongozi wa malaika aliyetumbuliwa na MunguNa sisi ngozi nyeusi tuko kundi gani?
Umemaliza mjadala.Umeelezea vizuri sana.Shida na mashaka yako, yapo katika uweza wa Mungu na Hii haiondoi uwepo wa Mungu. Kwa kufipi unakubali Mungu yupo ila una Hoji maaumizi ya uweza wake. Labda tu nikwambie ukifananisha uwezo wa kinadamu na KiMungu basi lazima upate contradiction kwa sababu wewe utashangaa uwezo wa Dexterous kuwa Mara na Geneva kwa wakati mmoja ni jambo lisilowezekana lakini Mungu huyohuyo yupo past, present na future kwa wakati mmoja kwahiyo ni kwa mtu asiye na akili tu ndo ataona kama Mungu sio mweza.
Katika agano la kale, kumpiga mzinzi mawe unahisi dini isingesema, ungeweza kutumia common sense kumuadhibu mtu kwa kumpiga mawe mpaka kufa?Sina evidence wala fact ya kiimani.. Mimi natumia common sense..!
Sihitaji kwenda kwenye nyumba ya ibada kufundishwa uzinzi sio kitu sawa.. Ni common sense tuu..!
Umeelezea vizuri,na amekuelewa,ila atajifanya,hajakuelewa,kwa vile hajataka kukuelewa.Na hajapenda kukuelewa, ili uonekane hujamuelewesha,na akakuelewa,wakati umeshamuelewesha,na amekuelewa.Shida na mashaka yako, yapo katika uweza wa Mungu na Hii haiondoi uwepo wa Mungu. Kwa kufipi unakubali Mungu yupo ila una Hoji maaumizi ya uweza wake. Labda tu nikwambie ukifananisha uwezo wa kinadamu na KiMungu basi lazima upate contradiction kwa sababu wewe utashangaa uwezo wa Dexterous kuwa Mara na Geneva kwa wakati mmoja ni jambo lisilowezekana lakini Mungu huyohuyo yupo past, present na future kwa wakati mmoja kwahiyo ni kwa mtu asiye na akili tu ndo ataona kama Mungu sio mweza.
Umeongelea agano la kale.. Hiyo ni kwenye dini.. Imani ya Kikristo.. Mimi sijasema imani yangu.. Unaniuliza kitu nisichofungamana nacho..Katika agano la kale, kumpiga mzinzi mawe unahisi dini isingesema, ungeweza kutumia common sense kumuadhibu mtu kwa kumpiga mawe mpaka kufa?