Sura ya Mungu kupitia Wajapani

Sura ya Mungu kupitia Wajapani

ila japan ni nchi Tajiri sana , kwa kiswahili cha mtaani , naweza sema ina utajiri unaofurika. ni nchi ina watu kama Tanzania, lakani ni Tajiri karibu sawa na chini au nusu ya Marekenai. ni nchi ambayo unaweza kwenda jalalani na ukakuta mtu katupa tv Nzima kabisa , hata kamera nzima kabisa ukaikuta jalalani. kwanini wasiwe wastaarabu kwa mambo madogo
 
yes upo sahihi kiongozi! mambo mengi tunayoyaona katika ulimwengu wa mwili chanzo chake ni ulimwengu wa kiroho!
Sasa hii ni mjadala mpana sana tutakapoanza kuongelea mambo ya rohoni! Tuishie hapa hapa!
Pamoja kiongozi
 
Unachanganya Dini na MUNGU.. Ni vitu viwili tofauti..

Umesema kiDini ukizini unaona ni dhambi..!! Vipi Kisaynasi unaweza kulala na watu ovyo na ikawa sawa..!!?
Kuamini Mungu yupo tayari ni imani hio, ndio maana tunarudi sasaa kwenye kiini cha imani yako juu ya uwepo wa mungu, hapo ndipo utakuta evidence na facts za kiimani kuhusu uwepo wa mungu.

Wala sikuchaanganya, dini ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu kuanzia kula, kuabudu, kulala n.k..

Kujadili uwepo wa mungu lazima tayari kunafungamana na imani moja kwa moja kwa maana hio ni imani tayari na wewe ni muumini.
 
Uwepo wa MUNGU sio jambo la kuamini.. Ni jambo unatakiwa ujue.. Imani ni uhakika wa mambo yatarajiwayo.. MUNGU hatumtarajii.. Yupo tangu mwanzo..!
Hili sio swala la imani.. Ni common sense tuu..!
 
Unachanganya Dini na MUNGU.. Ni vitu viwili tofauti..

Umesema kiDini ukizini unaona ni dhambi..!! Vipi Kisaynasi unaweza kulala na watu ovyo na ikawa sawa..!!?
Kalala na watu hovyo sio sawa katika sayansi na dini, lakini kuna sababu tofauti ambayo inapinga hio tabia,dini ina sababu zake na sayansi ina sababu zake.
 
Uwepo wa MUNGU sio jambo la kuamini.. Ni jambo unatakiwa ujue.. Imani ni uhakika wa mambo yatarajiwayo.. MUNGU hatumtarajii.. Yupo tangu mwanzo..!
Hili sio swala la imani.. Ni common sense tuu..!
Kiimani upo sawa, ukija kwenye facts utaleta facts ambazo misingi yake ni imani.

Ukija kwenye evidence utaleta evidence za kiimani, huwezi toka nje ya huo mzunguko, ukijitahidi kutoka hutokuwa na fact hata moja.

Kwa hio endelea kuamini hivyo mkuu na hio ndio maana ya imani.
 
Mkuu, tumekubaliana jambo lenye contradiction isiyotatulika linaonesha uongo. Dexterous ambaye anasemwa yupo Serengeti na Geneva kwa wakati huo huo hayupo, ni wa kufikirika tu.

Ukipewa kesi ya wizi physically benki Geneva, ukaweza kumuhakikishia Jaji kuwa muda huo ulikuwa Serengeti Mara, utakuwa umeihakikishia mahakama kuwa huyo aliyeiba physically Geneva wakati wewe uko Serengeti si wewe.

Kumbuka, Dexterous aliye Serengeti si sawa na Dexterous anayeweza kuwa Serengeti na Geneva kwa wakati huohuo.

Wa Serengeti tu anawezekana kuwepo. Wa Geneva tu anawezekana kuwepo. Anayekuwa Serengeti na Geneva kwa wakati mmoja hayupo. Ni jambo la kufikirika tu kwamba kuna Dexterous anayeweza kuwa Geneva na Serengeti kwa wakati mmoja.

Sasa basi.

Mungu muweza wa yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote aliweza au hakuweza kuumba ulimwengu ambao maovu hayapo, hayawezi kuwepo, hayawezi hata kufikirika na hivyo hayawezi kutendeka?

Kama aliweza, kwa nini hakuumba ulimwengu huo? Kama aliweza, na hakuumba tu, kwa kuwa hakuumba ulimwengu huo, Je, ni kweli kuna Mungu mwenye upendo na rehema zote? Haiyumkiniki Mungu mwenye upendo na rehema zote, mwenye uwezo wote, ujuzi wote, aumbe ulimwengu ambao mabaya na maovu yanaweza kutokea.

Kama alitaka kuumba ulimwengu huo, kwa mapenzi na rehema zake, ila hakuweza tu, je, ni kweli Mungu ana uwezo wote? Mbona alitaka kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani ila akashindwa tu?

Mungu muweza yote anaweza kuumba jiwe zito sana kiasi asiweze kulibeba?

Kama anaweza, Mungu huyo si muweza yote, maana kutakuwa na jiwe hawezi kulibeba.

Kama hawezi, Mungu huyo si muweza yote, maana hawezi kuumba jiwe ambalo hawezi kulibeba.

Unaona jinsi dhana ya Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo/ rehema zote ilivyo na utata ukiiangalia kwa umakini wa kimantiki?
Shida na mashaka yako, yapo katika uweza wa Mungu na Hii haiondoi uwepo wa Mungu. Kwa kufipi unakubali Mungu yupo ila una Hoji maaumizi ya uweza wake. Labda tu nikwambie ukifananisha uwezo wa kinadamu na KiMungu basi lazima upate contradiction kwa sababu wewe utashangaa uwezo wa Dexterous kuwa Mara na Geneva kwa wakati mmoja ni jambo lisilowezekana lakini Mungu huyohuyo yupo past, present na future kwa wakati mmoja kwahiyo ni kwa mtu asiye na akili tu ndo ataona kama Mungu sio mweza.
 
Kalala na watu hovyo sio sawa katika sayansi na dini, lakini kuna sababu tofauti ambayo inapinga hio tabia,dini ina sababu zake na sayansi ina sababu zake.
Achana na hizo sababu ulizopewa kwenye Dini au Sayansi.. Wewe common sense yako inasemaje..!!?
Bila kuambiwa na Dini au Sayansi how ungefeel kulala na watu ovyo..!!?
 
Kiimani upo sawa, ukija kwenye facts utaleta facts ambazo misingi yake ni imani.

Ukija kwenye evidence utaleta evidence za kiimani, huwezi toka nje ya huo mzunguko, ukijitahidi kutoka hutokuwa na fact hata moja.

Kwa hio endelea kuamini hivyo mkuu na hio ndio maana ya imani.
Sina evidence wala fact ya kiimani.. Mimi natumia common sense..!
Sihitaji kwenda kwenye nyumba ya ibada kufundishwa uzinzi sio kitu sawa.. Ni common sense tuu..!
 
Achana na hizo sababu ulizopewa kwenye Dini au Sayansi.. Wewe common sense yako inasemaje..!!?
Bila kuambiwa na Dini au Sayansi how ungefeel kulala na watu ovyo..!!?
Sifahamu ningejisikiaje.
 
Mimi nakumbusha ustaarabu ni wa Wajapani, Mungu kasingiziwa tu.

Hivyo, hata sisi tunaweza kuwa wastaarabu, hatuhitaji upendeleo wa Mungu wala kuomba kwa Mungu.

Mimi ndiye nasisitiza Wajapani na kuondoa mawenge ya uongo wa Mungu.
Huko kutajwa Mungu,na watu wengi,ndio uwepo wa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida na mashaka yako, yapo katika uweza wa Mungu na Hii haiondoi uwepo wa Mungu. Kwa kufipi unakubali Mungu yupo ila una Hoji maaumizi ya uweza wake. Labda tu nikwambie ukifananisha uwezo wa kinadamu na KiMungu basi lazima upate contradiction kwa sababu wewe utashangaa uwezo wa Dexterous kuwa Mara na Geneva kwa wakati mmoja ni jambo lisilowezekana lakini Mungu huyohuyo yupo past, present na future kwa wakati mmoja kwahiyo ni kwa mtu asiye na akili tu ndo ataona kama Mungu sio mweza.
Umemaliza mjadala.Umeelezea vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina evidence wala fact ya kiimani.. Mimi natumia common sense..!
Sihitaji kwenda kwenye nyumba ya ibada kufundishwa uzinzi sio kitu sawa.. Ni common sense tuu..!
Katika agano la kale, kumpiga mzinzi mawe unahisi dini isingesema, ungeweza kutumia common sense kumuadhibu mtu kwa kumpiga mawe mpaka kufa?
 
Shida na mashaka yako, yapo katika uweza wa Mungu na Hii haiondoi uwepo wa Mungu. Kwa kufipi unakubali Mungu yupo ila una Hoji maaumizi ya uweza wake. Labda tu nikwambie ukifananisha uwezo wa kinadamu na KiMungu basi lazima upate contradiction kwa sababu wewe utashangaa uwezo wa Dexterous kuwa Mara na Geneva kwa wakati mmoja ni jambo lisilowezekana lakini Mungu huyohuyo yupo past, present na future kwa wakati mmoja kwahiyo ni kwa mtu asiye na akili tu ndo ataona kama Mungu sio mweza.
Umeelezea vizuri,na amekuelewa,ila atajifanya,hajakuelewa,kwa vile hajataka kukuelewa.Na hajapenda kukuelewa, ili uonekane hujamuelewesha,na akakuelewa,wakati umeshamuelewesha,na amekuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika agano la kale, kumpiga mzinzi mawe unahisi dini isingesema, ungeweza kutumia common sense kumuadhibu mtu kwa kumpiga mawe mpaka kufa?
Umeongelea agano la kale.. Hiyo ni kwenye dini.. Imani ya Kikristo.. Mimi sijasema imani yangu.. Unaniuliza kitu nisichofungamana nacho..

Kama uliyosema Dini ni utaratibu.. Hayo mambo ya mawe ilikuwa huko kwenye sheria ya Musa.. Israel.. Miaka hiyo ya agano la kale mtu waAfrica ukizini utapigwa mawe..!!?

Kingine.. Unatumia common sense sehemu ambayo hakuna sheria..
Ukifika kwenye barabarani kwenye junction.. Kama hakuna taa zinazofanya kazi utatumia common sense jinsi ya kupita.. Ila kama kuna taa.. Fuata sheria..!
 
Back
Top Bottom