Sura ya Mungu kupitia Wajapani


Hiyo contradiction ni hoja moja tu ya kuthibitisha Mungu hayupo.

Wewe umeshakubali habari ya kuwapo Mungu ni imani tu.

Na imani si lazima iwe kweli.

Awali ya yote, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote hayupo.

Kwa sababu, ulimwengu uliopo unamkanusha.

Kwanza hiyo habari ya "muweza yote" tu, kimantiki ni contradiction tosha kuonesha Mungu huyo katungwa na watu tu.
 
Hapana, contradiction haithibitishi kuwa Mungu hayupo bali inaonesha kuwa haiwezekani kuwa Mungu ndio kaumba huu ulimwengu.
 
Contradiction iko wapi na inasemaje?
Kwa niaba yako ni kwamba contradiction ipo kwenye dhana ya Mungu(mjuzi wa yote mwenye upendo wote na ujuzi wote) kuumba ulimwengu wenye maovu hali ya kuwa yeye ana upendo wote.
 
Kwa niaba yako ni kwamba contradiction ipo kwenye dhana ya Mungu(mjuzi wa yote mwenye upendo wote na ujuzi wote) kuumba ulimwengu wenye maovu hali ya kuwa yeye ana upendo wote.
Contradiction ni kubwa zaidi ya Mungu kuumba.

Yani, uwepo wa ulimwengu unaoruhusu maovu una contradict uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote.

Yani hata ukisema Mungu hakuumba ulimwengu huu, labda tuseme Malaika wake aliuumba, au Shetani aliuumba bila ruhusa, au some mad alien scientist aliuumba, lakini Mungu yupo.

Kimantiki, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote asingeruhusu uwezekano wa ulimwengu unaoruhusu maovu kuweza kuumbika na yeyote.

Uwepo wa ulimwengu unaoruhusu maovu unaonesha Mungu huyo hayupo.
 
Eti wanaume wa japani hawanaga time sana na mbususu
 
Bado tunarudi pale pale kwenye tatizo lako la kukimbilia kutoa hitimisho la kwamba hakuna Mungu.
 
Bado tunarudi pale pale kwenye tatizo lako la kukimbilia kutoa hitimisho la kwamba hakuna Mungu.
Ngoja nijaribu kiingereza labda utaelewa.

This universe, which permits evil, is incompatible with the existence of an omnipotent, omniscient and omnibenevolent God.

Either this universe exists, or that God exists.

This universe clearly exists.

Therefore, God does not exist.
 
Kama kutaja Mungu hayupo maana yake yupo, basi vilevile kutaja Mungu yupo maana yake hayupo. Nonsense.

Thibitisha Mungu yupo.
Kunatangulia kuwepo,ndio kunakuja kutokuwepo.Huwezi kusema kitu hakipo,ila kipo,ndio ukaweza kusema hakipo.
Kisichokuwepo,hakitwaji,kwasababu hakikikuwepo.Kililichopo,ndio hutajwa,hakipo,na husemwa hakipo,kwasababu kipo.
Mtu akisema yule hana akili,ni kuwa akili ipo,ndio kukapatikana kutokuwepo kwa akili.
 
Kinachokuwepo,ndio husemwa hakipo.Kisichokuwepo,hakisemwi hakipo.
Huko kusemwa,na wanaosema Mungu hayupo,ni kuwa yupo,ndio wakasema hayupo.
Mfano mdogo tu uliopo:
Ikiwa yupo mtu anayeitwa Kira.nga.u,akaja mtu akasema Kira.nga.u hayupo,ni kuwa yupo mtu anayeitwa Kira.nga.u,ila hayupo,ni kuwa Kira.nga.u yupo,lakini huyu aliyesema hayupo Kira.ngau,ndio hakuona dalili za kuwepo Kira.ngau,lakini walioana dalili za uwepo Kira.ngau,,wakiulizwa yupo wapi Kira.nga.u watasema yupo Jf,tumeona dalili zake.
 
Kisichokuwepo hakisemwi hakipo,kila kilichoko,ndio husemwa hakipo,ni kuweko kwake,ndiko kunafanywa kutkuwepo,kwa vile kipo,ndiko kukasemwa hakipo.Kisingekuwepo kisingetajwa hakipo,huko kuweko kwake,hicho kilichopo,ndiko kukasemwa hakiko,kwasababu kipo.
 
Ingekuwa hivyo kila mtu angekuwa bilionea kwa kusema tu "mimi si bilionea".

Kwa mujibu wako, kisichokuwepo hakisemwi hakipo, kila kinachosemwa hakipo kipo.

Siwezi kusema ubilionea wangu haupo mpaka uwepo.

Hivyo, nikisema tu "mimi si bilionea" nakuwa bilionea hapohapo.

Hii ndiyo mantiki yako.
 
Yenye nguvu kivipi ,ufafanuzi tafadhali
 
Sifa kubwa ya mjapani ni kusema ukweli hawajui kudanganya au kuficha aibu.
 
Hata ukitumia kichina tatizo ni kulazimisha hilo hitimisho lenye kuendanana na msimamo wako ya kutokuwepo Mungu, yani unazunguka ila unarudi pale pale tu.
 
Hata ukitumia kichina tatizo ni kulazimisha hilo hitimisho lenye kuendanana na msimamo wako ya kutokuwepo Mungu, yani unazunguka ila unarudi pale pale tu.
Nalazimisha kivipi?

Nikikwambia kuna pembetatu ambayo hapohapo ni duara utakubali?
 
Nalazimisha kivipi?

Nikikwambia kuna pembetatu ambayo hapohapo ni duara utakubali?
Sitakubali kwa sababu itakuwa ni contradiction, je hiyo contradiction inafanya kusiwepo Pembe tatu wala duara?
 
Sitakubali kwa sababu itakuwa ni contradiction, je hiyo contradiction inafanya kusiwepo Pembe tatu wala duara?
Kwani mimi nimesema hakuna pembetatu wala duara au nimesema hakuna pembetatu ambayo ni duara hapohapo?

Tutafika huko kwenye pembetatu na duara.

Tuanze kwenye pembetatu ambayo hapohapo ni duara.

Tuanze na pembetatu ambayo ni duara kwanza.

One thing at a time.

Mungu ambaye anakuwa contradicted na ulimwengu huu yupo au hayupo?
 
Unaniambia tutafika huko ila wewe unakimbilia kuhitimisha hakuna Mungu hauhita kusubiri.

Unajua wewe kwa uvivu wa kufikiri na kutaka kuhalalisha huo msimamo wako wa kudai hakuna Mungu ndio maana unakimbilia moja kwa moja kutumia hiyo contradiction kulazimisha hitimisho la kwamba hakuna Mungu, na hiyo ni kwa sababu Mungu haonekani ni imani ila kama huyo Mungu angekuwa ni mtu ambaye unamjua na kumuona sijui kama hilo hitimisho lako lingekuwa kuwa huyo mtu hayupo.
 
Mkuu hakuna MTU atakuthibitishia uwepo wa Mungu. Utathibitisha mwenyewe siku za uhai wako,kabla hujafa utaamini tu Mungu yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…