... kilabu cha piwa; ndio nini hiyo piwa?Huku wanakopiga muziki kwenye kilabu cha piwa tunashindwa hata kulala,
Upande wa pili ni kanisa nao mchana kutwa ni nyimbo sijui hata kazi wanafanya saa ngapi.
Kundi la nchi yetu haliwezi kuwepo
Nimekujibu, nimekuambia sitaki kuamini, nataka kujua.Acha umuhimu wa ilo swalo uwe juu yangu, jikite kujibu nilichokuuliza.
Ngoja nikukumbushe ikiwa umesahau swali langu ni :, UNAAMINI KUWA MUNGU YUPO AMA HAYUPO?.
NI JIBU TUENDELEE.
😄😄😄😄😄Kwa nini unafikiri swali lako ni muhimu na si off point?
Nikiamini, nisipoamini, kama Mungu yupo, yupo tu, kama hayupo, hayupo tu.
Pia, naweza kuamini Mungu yupo, akawa hayupo, na naweza kuamini Mungu hayupo, akawa yupo.
Sasa kwa nini kuamini kuwe jambo la muhimu, wakati hakutusogezi popote?
Kwa nini tunaangalia imani badala ya facts?
Kwa nini unaniuliza naamini Mungu, badala ya kuniuliza nina facts gani tuzijadili?
Sasa kwa nini unquliza kama mimi naamini Mungu yupo?
Umekubali hata asiyeamini ana haki ya, na anapaswa kuhoji?
Kwa nini kuamini kuwe kitu muhimu wakati mtu anaweza kuamini uongo?
Kama kweli Mungu hayupo, na mimi siamini yupo, na wewe unaamini kimakosa kwamba yupo, hapo nakosa vipi uhalali wa kusema habari za Mungu kuwapo ni uongo na wanaoamini Mungu yupo, kama wanabisha hili, watoe uthibitisho kwamba Mungu yupo?
Hujathibitisha Mungu yupo.
Unarukaruka tu kama bisi kikaangoni.
Swali lako si la msingi.Unaeleza vizuri sana ila Rudi kwenye swali langu la msingi.
Unaamini kuwa Mungu yupo ama Hayupo?.
Usipate presha.Sitaki kuamini, nataka kujua.
Thibitisha Mungu yupo.
Miss you.😂😂
Helloo
Chief, unakwama wapi hasa!!! Unapata nafasi ya kuandika maelezo marefu na mazuri ila unashindwa kujibu swali langu fupi na dogo, shida nini hasa?.Swali lako si la msingi.
Kwa sababu, nikiamini Mungu na kusema Mungu yupo, au nisipoamini na kusema hayupo, au nikisema imani yangu haijapata muelekeo kwamba yupo au hayupo, imani yangu haibadilishi ukweli.
Kama yupo atakuwapo tu bila kutegemea imani yangu.
Kama hayupo, itakuwa hayupo tu bila kutegemea imani yangu.
Sasa hapo imani yangu inakuwa na umuhimu gani?
Tunaweza kujadili facts na kuachana na imani?
Fact 1: Hujathibitisha Mungu yupo kweli nje ya hadithi za watu tu.
Nimekujibu, nimekuambia sitaki kuamini, nataka kujua.
Sasa unanilazimisha niongelee imani wakati mimi sitaki habari za imani, naona imani unaweza kuamini uongo, nataka kujadili ujuzi?
Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
Hii itakuwa haina tofauti na ndume, mapuya, pingu, komoni au kayoga........ kilabu cha piwa; ndio nini hiyo piwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa salute sana. Ligi zako ni za mbeleUstaarabu wafanye Wajapani, sifa umpe Mungu?
Thibitisha huyo Mungu yupo kwanza.
Thibitisha Mungu yupo. Hayo ya miaka 50 leo tutajuaje kwamba hunidanganyi?Usipate presha.
Ndani ya miaka 50 utajua tu maana utakuwa umekufa.
Halafu utamwona na utukufu wake.
Kuwa na subira.
Kwake Mungu miaka 1000 ni sawa na siku moja.
Chief, unakwama wapi hasa!!! Unapata nafasi ya kuandika maelezo marefu na mazuri ila unashindwa kujibu swali langu fupi na dogo, shida nini hasa?.
Jibu ikiwa Mungu YUPO AMA HAYUPO then tuendelee.
Ila pia inasemekana kuwa Mfumo wao wa maisha unawafanya wawe na stress na depression sana. Yani mfumo wao unawalazimisha kuficha mambo mengi yanawauma ndani kwa ndani kutoka na kuishi kwendana na expectation ya jamii juu yako.
Halafu ukifuatilia wana matukio yao ya kuuana ya ajabu sana aisee.
Ukisoma source mbalimbali nyingi tu zinasema hizo na ndio maana nimesema inasemekana. On top of that mimi ni mpenz wa mambo ya crime and investigation uwa natazama channel ya twisted minds ambapo uwa wanacover sana crimes za japan, yani uwa ni za kipekee kwakweliNadhani umesimuliwa. Ila uhalisia upo tofauti na ulivyosimuliwa.
Achana na habari za maovu na majanga ya dunia, hayo yatajibika baada ya kujibu swali langu nililokuuliza toka Mwanzo.Kwanza kabisa, Mungu anayesemwa mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliyeumba ulimwengu huu unaoruhusu maovu, hayupo.
Ni hadithi za watu tu.
Uwepo wake unakuwa contradicted na ulimwengu tunaouona.
Ni sawasawa na mtu kusema kuna pembetatu ambayo hapohapo ni duara katika Euclidean geometry .
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Nakwambia Mungu hayupo halafu unaniuliza tena kama yupo au hayupo?Achana na habari za maovu na majanga ya dunia, hayo yatajibika baada ya kujibu swali langu nililokuuliza toka Mwanzo.
NI JIBU IKIWA MUNGU YUPO AMA HAYUPO.
Ni kweli aisee, Kuna binti mmoja jina lake Kanagawa, baba yake anaitwa Kumamoto, kama ya kibongo tu..Mkuu wajapani sura zao na majina yao ni kama ya kiswahili tu.
Mtu anaitwa nishida,yamamoto,yanagida,fukuzawa.
Hayo si majina ya kiswwhili kabisa.
Hao ni volleyball player baadhi
Unaweza kuthibitisha hayo yanayosemwa ni hadithi za watu?Facts.
Kwanza kabisa, kimantiki, Mungu anayesemwa mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aliyeumba ulimwengu huu unaoruhusu maovu, hayupo.
Ni hadithi za watu tu.
Uwepo wake unakuwa contradicted na ulimwengu tunaouona.
Ni sawasawa na mtu kusema kuna pembetatu ambayo hapohapo ni duara katika Euclidean geometry .
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.